supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Wachache wanakaa karibu karibuWana JF wanaofahamiana ni wachache
Wachache wanakaa karibu karibuWana JF wanaofahamiana ni wachache
Karibu utembelee kwanguWachache wanakaa karibu karibu
Kwangu mimi sina tatizo nitakuja siku moja usijaliKaribu utembelee kwangu
Kwangu nakukaribisha ugali wa muhogo na mlendaKaribu utembelee kwangu

Mlenda mboga ya wagogoKwangu nakukaribisha ugali wa muhogo na mlenda![]()
Mlenda na mboga za majaniKwangu nakukaribisha ugali wa muhogo na mlenda![]()
Majani ya mpapyi ni dawa ya magonjwa ya Dengue, na majani ya Savanah ni lishe ya wanyama pori....Mlenda na mboga za majani
Wanyama pori naogopa chui na simbaMajani ya mpapyi ni dawa ya magonjwa ya Dengue, na majani ya Savanah ni lishe ya wanyama pori....
Simba a.k.a ya DiamomdWanyama pori naogopa chui na simba
Diamond amepata tunzo 3 nigeriaSimba a.k.a ya Diamomd
Nigeria naonaga wababeDiamond amepata tunzo 3 nigeria
Wababe pia wataishia mchangani,wataliwa na waduduNigeria naonaga wababe
Wadudu kama wa aina ganiWababe pia wataishia mchangani,wataliwa na wadudu
Wadudu kama funza hufaidi sana miili yetu baada ya kuzikwa.......Wababe pia wataishia mchangani,wataliwa na wadudu
Baada ya kuzikwa funza wanatukula sisi na wao baadae wanaliwa na kukuWadudu kama funza hufaidi sana miili yetu baada ya kuzikwa.......
Kuku naipenda kuliko nyamaBaada ya kuzikwa funza wanatukula sisi na wao baadae wanaliwa na kuku
Nyama ya mbuzi ya kuchoma tamuKuku naipenda kuliko nyama
Tamu ya kukuNyama ya mbuzi ya kuchoma tamu
Kuku mimi pia napenda sana tu ila wa kisasa hawana ladhaTamu ya kuku
Hawana ladha kama wa kienyejiKuku mimi pia napenda sana tu ila wa kisasa hawana ladha