dem boyz
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 7,340
- 16,909
Wizkid na ojuelegba yake haiwezi kumshinda Ali kiba na Aje yakeThanks ma pipo and everybadi kwenye mtv mama alisema wizkid
Wizkid na ojuelegba yake haiwezi kumshinda Ali kiba na Aje yakeThanks ma pipo and everybadi kwenye mtv mama alisema wizkid
Yake ndogo ya mwenzie kubwaWizkid na ojuelegba yake haiwezi kumshinda Ali kiba na Aje yake
Mkuu wa kikao cha wazee ni Mzee Jongo Pondamali !!!!Kubwa ni zile za billboard tu mkuu
Mkuu wa mkoa wa TangaKubwa ni zile za billboard tu mkuu
TangaNyika alikufa kifo cha kuzama bahari hindi, ila mrithi wake Zanzibar alipona.....Mkuu wa mkoa wa Tanga
Alipona hakuzamaTangaNyika alikufa kifo cha kuzama bahari hindi, ila mrithi wake Zanzibar alipona.....
Hakuzama katika matope yaliyoletwa na mafuriko.....Alipona hakuzama
Mafuriko yakitokea msilaani mvua,Mungu anatupima kama tutamshukuru au tutamkufuruHakuzama katika matope yaliyoletwa na mafuriko.....
Mafuriko ya Dar hufika hadi kwenye jengo la YangaHakuzama katika matope yaliyoletwa na mafuriko.....
Yanga ni Young africans enzi za kocha Faru ilikuwa ng'angari.....Mafuriko ya Dar hufika hadi kwenye jengo la Yanga
Yanga si wapo JangawaniMafuriko ya Dar hufika hadi kwenye jengo la Yanga
Jangwani kuna upepo wa vumbi na mchanga mwingi hujaa kama mlima....Yanga si wapo Jangawani
Mlima Kilimanjaro nataka niupandeJangwani kuna upepo wa vumbi na mchanga mwingi hujaa kama mlima....
Mlima Kilimanjaro nata niupande
Niupande top of the World lakini ubavu sina maana WaTz lishe yetu ni kutembea tambarare....Mlima Kilimanjaro nata niupande
World ni dunia au sio Wana JF?Niupande na Mt Everest ili kukamilisha kiu yangu ya kuwa on top of the World.
Wana JF wanaofahamiana ni wachacheWorld ni dunia au sio Wana JF?
Wachache wenye manufaa ni bora kuliko wengi kama mapovu ya sabuni......Wana JF wanaofahamiana ni wachache