Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Ukhuty anapika hatari siku moja nitakualika kwangu uje ushuhudie chele la Nazi au wataka mseto
 
Mtamu sana labda hujapata mtu anaoujulia kuupika basi njoo kwangu siku moja nikuandalie chapati na mbaazi za kukata
 
Mate yakujae tu na ndo namwandalia shemeji yako Leo chapati na mbaazi
 
Back
Top Bottom