Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

pole.... jikaze 2020 usifanye kosa
Mkuu una point nzuri, lakini katika kuwasilisha ujumbe, kwanini utumie lugha ya kitaa?...'jikaze'...'kaza' ama 'kukazana', hilo ni neno1matumizi mbalimbali kwa nyakati tofauti.

Unalielewa huko mtaani linatumiwaje?

Embu futa hiyo kauli halafu tafuta neno mbadala la maana lisiloumiza masikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wafe tu washenzi wale.

Niliwahi kuomba nafasi ya kujiunga st John,eti nikakosa wakati ufaulu wangu ni mzuri kabisa.Nilichoshangaa,mtu ninayemfahamu,akiwa hata o'Level amefeli,na hajawahi kurudia mtihani hata siku moja,alichaguliwa kujiunga na kozi niliyoomba,kwa mlungula tu.

Kama vile haitoshi,kuna watu wamepata degree na huku wakiwa darasa la saba tu.Walichofanya ni kununua watu wakawafanyia mitihani ya form four,ili wapate credits na walizipata.Sasa huko chuoni ilikuwa ni kuhonga walimu tu hadi wana degree zao.

Siwaonei huruma kama kufa na wawafe maana wamezalisha wajinga wengi mno mtaani.Hawa ndio kazi yao kutukana watu wasio na degree,huku wao wakishindwa kuonesha usomi wao.Tena siku hizi wanapenda kutukana hata wasomi wa udsm,kwa kuwa wao walikosa sifa za kuingia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmh mbona unahasira

nacheka kama mazuri vile!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyuo vyote bongo ni vya ovyo tu hakuna nafuu wala afadhali.Wahitimu wote toka Ud,Udom,Sua,sijui wap ,St zote ni kutwa kuangaika na mabahasha hakuna anaeweza kufaragua mazingira akatengeneza maisha yake yakawe mazuri.Vyuo vyote havijui maana ya elimu nini vipo kukamilisha ratiba basi.

Kama UDSM ni chuo bora wakati waalim wahapo ni kama Kabudi analialia na kimuabudu binadam mwenzake,ni kama Mwakyembe alafu useme UDSM ni chuo bora? Kuweni serious ndugu zangu Tanzania vyuo vyote ovyooo kabisa.

Mimi nilisoma UDOM lakini nikiangalia niliosoma nao na wengine waliotangulia tena GPA za kuanzia 3.5 kichwani hamna kitu ,waliacha hapo kwenye karatasi.Wasomi wote watanzania tupo kwenye mfereji wa maji machafu,tunajua kuandika tu ila sikufanya kwa vitendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii post yako ni ya kikuda. Haina ukweli wowote bali uongo uliokithiri. Unalifahamu kanisa katoliki wewe? Unafahamu vyuo vikuu pamoja na mifumo yake ilianzishwa na taasisi gani? Unafahamu kuwa wanasayansi ma-nguli wanaofahamika duniani asilimia kubwa sana wametengenezwa na kanisa katoliki? Acha mzaha wewe. Kama huna taarifa na tafiti za kutosha acha kutoa mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitegemea kanisa lijivunie kupeleka watu mbinguni badala yake kanisa linaona fahari kuwa na ma vyuo mengi. Feeling prestigious on material things

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila Baba Mhashamu Askofu anataka Chuo Kikuu jimboni mwake. Fikiria Jimbo la Mbinga nao wanataka Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Kizito Litumbandyoso - Mbinga.
Hivi vyuo kama uyoga wa mvua za kiangazi inabidi Serikali ifuatilie.Vingine havina sifaya kuwa vyuo vikuu.Wahitimu wake kazi kupiga milegezo,viduku,piko,kutinda nyusi,vinguo taiti vya kulalia na kuvaa ovyo bila nidhamu mitaani.

Halafu reasoning yao sasa unapowasikiliza,unajiuliza huyu/hao ni wahitimu wa chuo kikuu kweli au?

Hata vijana wa form 4 & 6 wanaosoma shule nzuri reasoning capacity yao inakuwa nzuri na inayoeleweka zaidi ya hao digrii holidazi!!!

Tusichekelee kuchipua vyuo vikuu kila mahali bila kuzingatia sifa za kuanzishwa .Taifa litakuwa taabani miaka ijayo kwa kukosa wataalamu mahiri wazalendo.
 
Back
Top Bottom