Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Hii post yako ni ya kikuda. Haina ukweli wowote bali uongo uliokithiri. Unalifahamu kanisa katoliki wewe? Unafahamu vyuo vikuu pamoja na mifumo yake ilianzishwa na taasisi gani? Unafahamu kuwa wanasayansi ma-nguli wanaofahamika duniani asilimia kubwa sana wametengenezwa na kanisa katoliki? Acha mzaha wewe. Kama huna taarifa na tafiti za kutosha acha kutoa mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkatoliki kaja sasa
 
Hizo Ni Biashara kama biashara zingine , lazima zijengwe katika misingi ya kiushindani, tofauti na hapo vyuo ya selikari vitaendelea kusomba wateja wote kwa sababu ya mazingira,
 
Leo nimetoka TRA,kodi yangu wamezidisha eti mara 2!

Nikamuuliza why,akasema eti kuna vi-penati fulani fulani,nikamjibu sawa bwana kama unaona ni haki kuonea wanadamu wenzio wenye nyama na damu kama wewe!

Then I left!

Halafu nione matako yeyote kwenye ukoo wangu anaipa CCM kura!Naua mtu!
Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku UDSM itakapoajiri mwalimu aliyesoma SAUT/ St John au St Joseph, itaburuza mkia kwenye rankings za vyuo Afrika na Duniani...

UDSM kwa mfano ni chuo kinachotoa Honorous degree. So its virtually difficult kumleta mtu aliesoma Ordinary Bachelor Degree kuja kuwafundisha watu wa honorus degree!
 
Choka tu. Kwani una mchango gani kwa nchi

Wewe ndio una mchango gani sasa?

Weka bank statement yako hapa tuone!

Hii arrogance ya kujifanya hii nchi ni yako zaidi ya watu wengine inakufanya uonekane mpumbavu zaidi.

Basi tu wacha ninyamaze
 
Wewe ndio una mchango gani sasa?

Weka bank statement yako hapa tuone!

Hii arrogance ya kujifanya hii nchi ni yako zaidi ya watu wengine inakufanya uonekane mpumbavu zaidi.

Basi tu wacha ninyamaze
Ukihama nchi (kama hata huo uwezo unao wa kuhama) kama nchi inapoteza nn zaidi ya kupunguza vibaka wa power window mtaani!
 
Unajua sababu?
Kwanza mpango wa serikali ya Magufuli ni kuhakikisha mashirika yote ya Binafsi yanakufa,

Pili Vyuo vyenyewe hazikuboresha mazingira wakajisahau, sasa njia ili vyuo vife ni kuwaacha wanafunzi wachague wanapotaka siyo kupangiwa na TCU hivo vimekosa wanafunzi maana wakuu wa vyuo walikuwa wanahonga kupata wanafunzi
Baada ya 10years ataondoka?
 
Back
Top Bottom