Vyuo vikuu Binafsi Taabani kifedha

connections

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
1,003
2,000
Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).
 
britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,477
2,000
Unajua sababu?
Kwanza mpango wa serikali ya Magufuli ni kuhakikisha mashirika yote ya Binafsi yanakufa,

Pili Vyuo vyenyewe hazikuboresha mazingira wakajisahau, sasa njia ili vyuo vife ni kuwaacha wanafunzi wachague wanapotaka siyo kupangiwa na TCU hivo vimekosa wanafunzi maana wakuu wa vyuo walikuwa wanahonga kupata wanafunzi
 
Mango833

JF-Expert Member
May 4, 2011
3,984
2,000
Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa pale UDSM hawatupi hata kazi ya ulinzi

Vifungwe tu kanisa walikuwa wanaanzisha vyuo ovyo ovyo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
breaky

Member
Aug 29, 2013
79
95
Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa pale UDSM hawatupi hata kazi ya ulinzi
Saut Arusha wanatoa kozi ya sheria?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom