Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
ila kusema kweli chuo Kigoma cha nini?
Kwani kanisa katoliki ndiyo nini mdini wewe? Nenda SAUT tawi la Mtwara uone wafanyakazi wanavyolia (Stellar Maris),nenda SAUT tawi la Bagamoyo (Maruco). Kote huko hawana mishahara, na Maruco ndiyo mbaya zaidi hata wanafunzi hawapo.Hii post yako ni ya kikuda. Haina ukweli wowote bali uongo uliokithiri. Unalifahamu kanisa katoliki wewe? Unafahamu vyuo vikuu pamoja na mifumo yake ilianzishwa na taasisi gani? Unafahamu kuwa wanasayansi ma-nguli wanaofahamika duniani asilimia kubwa sana wametengenezwa na kanisa katoliki? Acha mzaha wewe. Kama huna taarifa na tafiti za kutosha acha kutoa mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe sadaka zenu na hata hivyo vimasaada mnavyopata kutoka Vatican havitoshi kuendesha vyuo.katoliki lilikuwa linaishi kiujanja ujanja Ku enrolled wanafunzi wengi kwenye vyuo ili kupewa ruzuku ya kutosha na serikali hivi sasa mambo yamebana utaona kama vita surviveHii post yako ni ya kikuda. Haina ukweli wowote bali uongo uliokithiri. Unalifahamu kanisa katoliki wewe? Unafahamu vyuo vikuu pamoja na mifumo yake ilianzishwa na taasisi gani? Unafahamu kuwa wanasayansi ma-nguli wanaofahamika duniani asilimia kubwa sana wametengenezwa na kanisa katoliki? Acha mzaha wewe. Kama huna taarifa na tafiti za kutosha acha kutoa mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalam watoke wapi katoliki bwana!! Anajishebedua tu huyu mbwiga, udini umemjaa. Katoliki inaongozwa na walawiti na wafiraji tu. Papa kila siku anaomba radhiNitajie wanasayansi WaWili nguli wa kikatoliki. Toka vyuo vikuu vya kikatoliki.
**Kesho nitawataka ndugu zetu nao watutajie watalaamu (sio watengeneza mabomu ya kujitoa muhanga)
Muhimbili, Bugando, KCMC vife tu, siyo?
Acha kukurupuka wewe, kapitie staff list ya UDSM, SUA, UDOM...ndio uje uandike huu upupu.Siku UDSM itakapoajiri mwalimu aliyesoma SAUT/ St John au St Joseph, itaburuza mkia kwenye rankings za vyuo Afrika na Duniani...
UDSM kwa mfano ni chuo kinachotoa Honorous degree. So its virtually difficult kumleta mtu aliesoma Ordinary Bachelor Degree kuja kuwafundisha watu wa honorus degree!
Ha ha ha ha ha ha me nilijua utasema nione mtu yoyote wa TRA ananizoea.Leo nimetoka TRA,kodi yangu wamezidisha eti mara 2!
Nikamuuliza why,akasema eti kuna vi-penati fulani fulani,nikamjibu sawa bwana kama unaona ni haki kuonea wanadamu wenzio wenye nyama na damu kama wewe!
Then I left!
Halafu nione matako yeyote kwenye ukoo wangu anaipa CCM kura!Naua mtu!
Ha ha ha ha ha ha me nilijua utasema nione mtu yoyote wa TRA ananizoea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kwenye google; Honorous Degree Vs Ordinary Degree.
Sijakataa SUA kuwa na mkata majani au karani wa kutoka St...Acha kukurupuka wewe, kapitie staff list ya UDSM, SUA, UDOM...ndio uje uandike huu upupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua kanisa uendelee kutoa huduma.Jaman mtuonee huruma tuna familia zinatutegemea au kwa sababu tumesomea PhD in Theology?
Asante mtumishi. Ndio uje kuniunga mkonoFungua kanisa uendelee kutoa huduma.
Hujui unachosema na hujui kama hujui. Be humbleSoma kwenye google; Honorous Degree Vs Ordinary Degree.
Pole mkuu kama nimegusa maslahi yako.