Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Vyuo vikuu binafsi taabani kifedha

Hii post yako ni ya kikuda. Haina ukweli wowote bali uongo uliokithiri. Unalifahamu kanisa katoliki wewe? Unafahamu vyuo vikuu pamoja na mifumo yake ilianzishwa na taasisi gani? Unafahamu kuwa wanasayansi ma-nguli wanaofahamika duniani asilimia kubwa sana wametengenezwa na kanisa katoliki? Acha mzaha wewe. Kama huna taarifa na tafiti za kutosha acha kutoa mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tawi la Arusha hawajalipwa mbona jamaa zetu tunao huku kitaa wanalia njaa na sio Mara hii tu hata huko nyuma ulipaji ni danadana wengine mpaka wanaenda kupiga part time bagamoyo mkono uende kinywani.Hali ni mbaya
 
Vyuo tajwa vipo hoi kifedha mathalani SAUT Tawi la Arusha hatujalipwa mwezi wa tatu sasa. St. John's centre ya Kigoma imefungwa kwa kukosa wanafunzi. Hakika twafwa na elimu yetu ya kuunga-unga.
**Twende wapi na tumesoma vyuo vya kanisa tukiomba kazi pale UDSM sijui SUA hawatupi hata kazi ya ulinzi. Wanatudharau sana asee. Wanadai sisi eti KIWANGO DUNI (KIWADU).
KIWADU 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom