Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,520
- 94,675
Jiajiri fungua kanisaJaman mtuonee huruma tuna familia zinatutegemea au kwa sababu tumesomea PhD in Theology?
Jiajiri fungua kanisaJaman mtuonee huruma tuna familia zinatutegemea au kwa sababu tumesomea PhD in Theology?
Wamedahili wanafunzi kutoka Zanzibar, Mogadishu na Kisumayo kusoma sharia .....japo hawana sifa lakini wanalipa fees na mambo yanasonga kina Prof. Arif wanapata vimishara kama kawaida.Jamaa zetu Msamvu hali yao sijui ipoje
Kwani kuna mwenye haki miliki ya kukitaja ?
Kule Kigoma wanatoa shahada ya Pure African chemistryBsc. in African Witchcraft
Acheni kiki za kitoto. Kanisa katoliki lililozalisha wasomi wenye mchango duniani sio hili la Tanzania.Hii post yako ni ya kikuda. Haina ukweli wowote bali uongo uliokithiri. Unalifahamu kanisa katoliki wewe? Unafahamu vyuo vikuu pamoja na mifumo yake ilianzishwa na taasisi gani? Unafahamu kuwa wanasayansi ma-nguli wanaofahamika duniani asilimia kubwa sana wametengenezwa na kanisa katoliki? Acha mzaha wewe. Kama huna taarifa na tafiti za kutosha acha kutoa mapovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi bado hawajuhi umuhimu wa kupiga kura. Wanachojua ni kulalamika mitandaoni.Ni sawa
Ila kura zikiwa nyingi mno hata wakiiba hawataweza!
Mitandao ilivyo ya kifala. Unaweza kukuta hapa mtu na mama yake wanajibishana.Ukihama nchi (kama hata huo uwezo unao wa kuhama) kama nchi inapoteza nn zaidi ya kupunguza vibaka wa power window mtaani!
Ila karne hii Kanisa kupitia viongozi wake linafanya biashara kama halina akili nzuri.Hatuna huo ubavu. Wahadhiri wenye PhD wa kufundisha hizo kozi tunawatoa wapi na hata kama wapo tutawalipa nini? Benki zenyewe za kanisa zinachechemea.
Acheni kiki za kitoto. Kanisa katoliki lililozalisha wasomi wenye mchango duniani sio hili la Tanzania.
Ila karne hii Kanisa kupitia viongozi wake linafanya biashara kama halina akili nzuri.
Nyie ndio praise team wa Kanisa. Badala ya kutoa kasoro na namna ya kuzitatua. Kazi yenu kusifu kuimba na kuabudu tu.Ulitaka wakupe huduma bure? Kwenda mbinguni kwenyewe lazima ulipe gharama. Sembuse kanisa kutoa huduma za msingi ktk jamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti kiwaduNjaa inatumaliza
Nitajie wanasayansi WaWili nguli wa kikatoliki. Toka vyuo vikuu vya kikatoliki.
**Kesho nitawataka ndugu zetu nao watutajie watalaamu (sio watengeneza mabomu ya kujitoa muhanga)
Nyie ndio praise team wa Kanisa. Badala ya kutoa kasoro na namna ya kuzitatua. Kazi yenu kusifu kuimba na kuabudu tu.
Shwain