Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 782
Naombeni majibu ya hili swali, au kama hamna majibu nianzishe uzi wa hivi ili wanijibu wenye ujuzi wa haya mambo.Nina swali moja kwa watu wa mtandao, naombeni tafadhali mnijibu.
Ni hivi, kwa mfano mtu ameenda kusoma nje ya nchi hasa nchi za mbali huko, wakati akiwa nchini alikua akitumia mawasiliano ya simu kwa kupitia laini zenu je anavokua nje ya nchi halafu akakaa huko zaidi ya mwaka atakapokua amerudi masomoni ile laini yake ya simu atakua bado anaendelea kuitumia au haiwezekani na kama haiwezekani je kuna taratibu za kufuata ili aendelee kuitumia ile laini yake?