Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vifurushi vya chuo ndo mmeamua kutukomesha sie tabaka la chini.
Nilikua nawafanyia maombi nikaamua niwashirikishe hapa kwenye uzi.
Ameen!
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Mimi nauliza, kwa nini vifurushi vya chuo vimeongezeka gharama? Je, hamuoni umuhimu wa kuvirejesha kama awali, maana ongezeko hilo ni kubwa, na mahitaji ya vifurushi hivyo ni makubwa sana kwa wanafunzi!!
 
Mlivyopandisha bei za vifurushi vya chuo mlikua mnawaza nini??
Yaani kwa hali hii bado nyie mnaongeza ugumu wa maisha.
Acheni hizo bass
 
Code:
*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE*

Habari ziwafikie popote mlipo........

Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia kutafuta material mbali mbali kwa gharama nafuu .

Sasa mmetuona sisi ndio shamba la bibi kwa kutaka kujinufaisha kwa haraka au yale mamilioni mliyotoa kwenye rambi rambi mnataka mrudishe kupitia sisi ??? Iweje mtupandishie gharama za vifurushi kwa kiasi hicho?

Kueni na huruma kwa watoto wa maskini kama sisi tunaojariwa kuja kuwa wajengaji wa taifa hili letu pendwa la Tanzania. Kiukweli hatuna hamu tena ya kuendelea kuwa wateja wenu teena kwa haya mnayoyafanya . Tunaomba popote msomapo ujumbe huu mjibu swali hili " MMETUCHOKA WANA CHUO"??? AU "MMEONA SISI NDIO SHAMBA LA BIBI???"

Msipolirekebisha hili ndani ya siku nne tunahama mtandao wenu mtumie wenyewe Uni offer maana mmeona tunafaidi sana . Kwa leo acha niishie hapo tusubir utekelezaji

Ewe mwanachuo Share hadi iwafikie

~Fulldose~
 
Nimehamia ttcl juzi, nafurahia vifurushi vyaoo.

Sijui nilikuwa wapi siku zote mpaka nakuja kuwafaidi sasa.

Go to hell vodacom and tigo
 
Ninarudi nyumbani kumenogaaaaaa, naachana na huu mtandao wa kiharamia.... University offer mlichoifanya mnajua wenyewe
 
Nimetuma pesa kwenda tigo pesa lakini nikapata ujumbe kutoka m-pesa "Samahani, muhamala wako haukukamilika kwasababu za kiufundi. Tafadhali wasiliana na huduma kwa wateja".

Cha kushangaza pesa imekatwa!! Nimepiga 100 huduma kwa wateja, nimeishia kuboreka tu! Hakuna chaguo la kuongea moja kwa moja na mhudumu?? Hii ni kero kubwa sana.

Kama kuna tatizo la kiufundi, kwa nini mmekata pesa yangu na kunifanya niingie kwenye shida ya kuwasiliana na wahudumu ambao hakuna jinsi ya kuongea nao!?
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

  • Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
  • Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
  • Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
  • Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
  • Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
 
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

  • Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
  • Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
  • Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
  • Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
  • Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania

Code:
*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE*

Habari ziwafikie popote mlipo........

Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia kutafuta material mbali mbali kwa gharama nafuu.

Sasa mmetuona sisi ndio shamba la bibi kwa kutaka kujinufaisha kwa haraka au yale mamilioni mliyotoa kwenye rambi rambi mnataka mrudishe kupitia sisi? Iweje mtupandishie gharama za vifurushi kwa kiasi hicho ?? Kueni na huruma kwa watoto wa maskini kama sisi tunaojariwa kuja kuwa wajengaji wa taifa hili letu pendwa la Tanzania. 

Kiukweli hatuna hamu tena ya kuendelea kuwa wateja wenu teena kwa haya mnayoyafanya . Tunaomba popote msomapo ujumbe huu mjibu swali hili " MMETUCHOKA WANA CHUO"??? AU "MMEONA SISI NDIO SHAMBA LA BIBI???.

Msipolirekebisha hili ndani ya siku nne tunahama mtandao wenu mtumie wenyewe Uni offer maana mmeona tunafaidi sana . Kwa leo acha niishie hapo tusubir utekelezaji

Ewe mwanachuo Share hadi iwafikie

~Fulldose~
 
43 Reactions
Reply
Back
Top Bottom