Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,200
- 2,473
Wanaboa sn cku hzi yn wana tamaa kupitilizaHawa jamaa wa voda bure kabsaa...eti wanatoa vifurushi vyakuanzia kila mara wanapandisha gharama zake....1500,2500,leo wameweka kifurushi cha 5000,Dar supa Uni.....hivi hii bihashara yenu mnarenga Wateja watanzania wenye kipato cha chini au kwa wenye kipato cha Juu tu????
Ni lini mtatuletea vifurushi maalumi (special bundles) vya kustream sisi wateja tunaotumia Smart Devices haswa TV majumbani.Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Tatizo sio voda bob, ni BOT wao ndio hawajairuhusu paypal kufanya kaz tzPAYPAL-VODACOM
Hili suala linaniumiza sana kichwa kwani nina kama $123 kwenye paypal lakini tatizo linakuja kuamisha kutoka paypal kuja hapa Tz mbona kenya wameweza kuunganisha hiyo ishu na wanatoa hela kutoka paypal kuja kwenye M-pesa. Je Tanzania tunakwamia wapi yani hata hiyo M-pesa MasterCard nayo haitaki kupokea hela yenyewe ni kutoa tu kufanyia malipo ya mtandaoni ila mimi ninachoomba muiboleshe basi ili hata tuweze kuweka hela kupitia hiyo M-pesa MasterCard. Mi ni hayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app