Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)


Vodacom Tanzania

Vodacom Tanzania

Verified Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
320
Points
225
Vodacom Tanzania

Vodacom Tanzania

Verified Member
Joined Aug 12, 2013
320 225
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Anthony Merinyo

Anthony Merinyo

Member
Joined
Nov 11, 2009
Messages
26
Points
45
Anthony Merinyo

Anthony Merinyo

Member
Joined Nov 11, 2009
26 45
Juzi Ijumaa nilinunua bundle ya 2GB ya wiki lakini nilpojaribu kutumia internet ilishindikana. Baada ya nusu saa nikaangalia salio. Chakushangaza ni kukuta sina salio! Sikufanya matumizi yoyote kwani Internet ilikuwa haipatikani. Bundle langu limeenda wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
SOSDANNY

SOSDANNY

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
309
Points
250
SOSDANNY

SOSDANNY

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
309 250
Al shabaab na Anthony mtajibiwa kweli hayo maswali yenu? Vodacom mkuje kujibu maswali hapa, simulianzisha wenyewe?

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
 
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
1,263
Points
2,000
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2014
1,263 2,000
leo tarehe 24 march internet yenu ipo slow utazani haijui kama stars wameshinda leo mlipaswa muwe sharp
 
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
1,625
Points
2,000
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
1,625 2,000
Vifurushi vyenu sio rafiki kwa wateja, halafu nakerwa na msg mnazotuma pasipo ridhaa yangu mara za mpira mara za kubet mara nk, unaweka sh 500 kwenye simu lkn unatumiwa msg kibao, kwa nn isitumwe msg 1 yenye maelezo yote, huwa inanibore sana, mtu unaweka vocha lkn inakubidi usubiri kutumia mpaka mtakapomaluza kutuma msg zenu.
 
Fau60e

Fau60e

Member
Joined
Nov 30, 2014
Messages
73
Points
125
Fau60e

Fau60e

Member
Joined Nov 30, 2014
73 125
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
naomba msaada kujua kuwa unapokuwa na akiba kwenye M-PAWA gawio linakuwaje? maana kwanza gawio lenu mnalitoa baada ya miezi mitatu. Na je nikiwa na salio kwenye mpesa kuna gawio lolote lile? na tofauti kati ya gawio la m-pawa na m-pesa ni ipi?
 
lushalila

lushalila

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
270
Points
225
lushalila

lushalila

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
270 225
Kwanini bando zenu za dar supa in zinatofautiana, Luna wanaopewa mb nyingi wengine chache, wengine dakika nyingi wengine kidogo,
Mala bei nayo inapanda mala inashuka vipi mbona havieleweki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

Katali

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2016
Messages
242
Points
250
Age
49
K

Katali

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2016
242 250
Nimechoshwa sana na meseji za matangazo ya biashara zenu mara Tatu mzuka,Beti na upuuzi mwingi kama huo kama vipi muanze kutulipa maana matangazo sehemu zote yanalipiwa hata nashindwa kupumzika kila baada ya muda meseji au mtupe namna ya kuya block.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
3,559
Points
2,000
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
3,559 2,000
Pumbavu zenu VIDACOM, kama deni la 6b ndio mnataka mlilipe hivi mbwa nyie, kila siku nikiweka vocha ya 2,000 nakwata hizo tsh 3,
Pumbavu zenu fala sana nyie, MNAKERA SANA

screenshot_2019-04-17-18-45-19-png.1074387
 

Forum statistics

Threads 1,285,009
Members 494,369
Posts 30,847,189
Top