Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom Tanzania

Vodacom Tanzania

Verified Member
Aug 12, 2013
320
225
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
 
Last edited by a moderator:
R

Rwankomezi

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
2,028
2,000
Hawa jamaa wa voda bure kabsaa...eti wanatoa vifurushi vyakuanzia kila mara wanapandisha gharama zake....1500,2500,leo wameweka kifurushi cha 5000,Dar supa Uni.....hivi hii bihashara yenu mnarenga Wateja watanzania wenye kipato cha chini au kwa wenye kipato cha Juu tu????
 
A

aloma_matei7

New Member
Dec 13, 2018
2
20
Hawa jamaa wa voda bure kabsaa...eti wanatoa vifurushi vyakuanzia kila mara wanapandisha gharama zake....1500,2500,leo wameweka kifurushi cha 5000,Dar supa Uni.....hivi hii bihashara yenu mnarenga Wateja watanzania wenye kipato cha chini au kwa wenye kipato cha Juu tu????
Wanaboa sn cku hzi yn wana tamaa kupitiliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Manjiizo

Member
Feb 25, 2019
5
20
Jamani mambo si shwari, mtu unanunua umeme unapata muamala muda umeshapita mara unajikuta umenunua mara mbili mbili. Fanyeni kitu kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ChikoFadhey

ChikoFadhey

Member
Feb 26, 2019
34
125
PAYPAL-VODACOM

Hili suala linaniumiza sana kichwa kwani nina kama $123 kwenye paypal lakini tatizo linakuja kuamisha kutoka paypal kuja hapa Tz mbona kenya wameweza kuunganisha hiyo ishu na wanatoa hela kutoka paypal kuja kwenye M-pesa. Je Tanzania tunakwamia wapi yani hata hiyo M-pesa MasterCard nayo haitaki kupokea hela yenyewe ni kutoa tu kufanyia malipo ya mtandaoni ila mimi ninachoomba muiboleshe basi ili hata tuweze kuweka hela kupitia hiyo M-pesa MasterCard. Mi ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
enhe

enhe

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,656
2,000
Ndugu mteja,

Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?

Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.

Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:

- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.

Karibu

Vodacom Tanzania
Ni lini mtatuletea vifurushi maalumi (special bundles) vya kustream sisi wateja tunaotumia Smart Devices haswa TV majumbani.
 
2019

2019

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
606
1,000
PAYPAL-VODACOM

Hili suala linaniumiza sana kichwa kwani nina kama $123 kwenye paypal lakini tatizo linakuja kuamisha kutoka paypal kuja hapa Tz mbona kenya wameweza kuunganisha hiyo ishu na wanatoa hela kutoka paypal kuja kwenye M-pesa. Je Tanzania tunakwamia wapi yani hata hiyo M-pesa MasterCard nayo haitaki kupokea hela yenyewe ni kutoa tu kufanyia malipo ya mtandaoni ila mimi ninachoomba muiboleshe basi ili hata tuweze kuweka hela kupitia hiyo M-pesa MasterCard. Mi ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio voda bob, ni BOT wao ndio hawajairuhusu paypal kufanya kaz tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

Ken mwaikambo

Member
May 18, 2018
55
125
Nilipoteza sim card yangu na baada ya Ku renew inagoma kunipatia huduma za Mpesa.nimejaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja simu yangu haipokelewe tatizo ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Y

Yukina

Senior Member
Feb 2, 2017
184
225
Jamani tuwe macho na mtandao wa Voda nchini kuna wizi unaendelea na tukikaa kimya kweli wanatengeneza za wizi kwa watu wengi sana kwa njia hii. Hata na mimi nakatwa pesa hata sielewi hii huduma ya kutumiwa za habari kwa njia ya Sms nimeiomba lini na sijawahi hata siku moja kuimba !! Kila nikiweka pesa ili ninunue muda wa maongezi naambiwa pesa niliyoweka haitoshi kwani imekatwa kwa ajili ya huduma hiyo. Mhhh nimeamua kutoa line yao na kuweka mtandao mwingine, wahusika mtusaidie kuhusu mtandao huu kweli inawaibiwa wateja wake.

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using Tapatalk
 
kondoowasufi

kondoowasufi

Senior Member
Aug 19, 2014
164
225
Number hii ya VODA 0742 780 349 imesajiliwa kwa jina la HUSNA KETI. Ni ya tapeli. Anakupigia simu akikueleza ni mtumishi wa Vodacom makao makuu, anakueleza umeshinda Mpesa bonance. Ukimshtukia tu matusi atakayokupa ni hatari. Take care. Imesajiliwa kwa jina la kike, anayeitumia ni wa kiume.
Uongozi wa Vodacom Tz. Mpo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
recycle Bin

recycle Bin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
1,741
2,000
Kuna tabia naona inajirudia najiunga kifurush kwa M PESA mnakata mara mbili na salio la kifurushi linabaki lile lile la kimoja, nmeshatoa malalamiko sipatiwi suluhisho...mnakera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
barakamorinho1357

barakamorinho1357

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
298
500
Kuna baadhi ya supervisor ambao ni wavivu na hawasaidi watoa huduma ambao wapo kweny hizi deskshops.. unakuta unawatumia atatue tatizo anachukua mpk miezi 3 hajatatua! Halafu kila siku visingizio ambavyo havina msingi! Kama wanashindwa kuwasaidia ni Bora watoke ofisini na wapewe supervisors ambao watakuwa na uwezo wakuwasaidia Hawa wahudumu wa hizi Vodacom service Desk..Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anthony Merinyo

Anthony Merinyo

Member
Nov 11, 2009
27
45
Juzi Ijumaa nilinunua bundle ya 2GB ya wiki lakini nilpojaribu kutumia internet ilishindikana. Baada ya nusu saa nikaangalia salio. Chakushangaza ni kukuta sina salio! Sikufanya matumizi yoyote kwani Internet ilikuwa haipatikani. Bundle langu limeenda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SOSDANNY

SOSDANNY

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
364
500
Al shabaab na Anthony mtajibiwa kweli hayo maswali yenu? Vodacom mkuje kujibu maswali hapa, simulianzisha wenyewe?

Sent from my Infinix-X551 using Tapatalk
 
Top Bottom