Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,287
- 72,516
- Thread starter
- #101
Fursa ya kujifunza hii..pamojaHONGERA SANA KWA KUTOA MWONGOZO NZURI WENGINE HATUYAJUI HAYO
Fursa ya kujifunza hii..pamojaHONGERA SANA KWA KUTOA MWONGOZO NZURI WENGINE HATUYAJUI HAYO
ngumu kumeza au??[emoji23][emoji23]15. Usishushe kioo bila idhini ya Mtoa lift.
Hiyo 12 Iangaliwe upya
Mkuu asante kwa hizo kauliMfano wa kauli hizo;
"Dah aisee humu gari lako kuna joto sana huku unajipepea,hivi ac haifanyi kazi eeh au wewe joto hulioni"
"Jamaa gari lake kali halafu new model kabisa pia anatembea sana si unakumbuka tulimpa ananunua mkaa njiani,sasa ametupita"
"ivi unaishia wapi ikiwezekana unisogeze sogeze mbele kidogo maana naposhukia ni mbali sana na ninapoishi"
"hapa barabara imenyooka sasa unaweza ongeza speed,haha"
"Dah..aisee ndugu yangu huyo naomba umchukue tunaishi nyumba moja"
"hiyo nyimbo siipendi kweli yani huyo jamaa hajui kabisa kuimba,weka zile za akina.....(hapo umetaja jina la msanii)"
Mwisho "loh hili gari lako limepata pancha litanichelewesha kaka nashukuru kwa msaada ulionipa mpaka kufikia hapa wacha mimi niwahi,nikutakie matengenezo mema"
] jambo la msingiPia usijambe 🙂
Duuuh aiseeusiulize vyeti vya mtoa lifti
Ndio..mpaka akukaribishe yeyeukikuta vitu vya kula kula usiombe mfano choklate ,pipi au maji
Kauzu zaidi ya Dagaa.... Wananuna nini sasa??[emoji23]Watoto wa udsm wananiboa huwa nikiwabeba hasa madem kujifanya wanabofya simu na mie kauzu siombi namba wanashuka wamenuna Ile mbaya.
WeeeeLift za bure zinaua
Ndio hivyo watu wana mitazamo tofautiAsante kwa ujumbe!!!
Ila hii ya kukaa kiti cha mbele ata siielewagi!
Wanaume wengine wanasema anaekaa kiti cha mbele ni mkewe tu!!! Na wengine hawapendi mtu akae nyuma akati kiti cha mbele kiko wazi kwa kuogopa kuinekana ni dereva wa yule alie nyuma.
Dharau mbaya sana..alijifanya ana haraka sana..angevumilia ingekuwa poa..sasa anaenda kubanana na watu kwenye Daladala huko[emoji23] [emoji23]Kuna siku wadada wawili walipewa lifti, gari ilipofika maeneo ya tazara kuna kitu kikakorofisha ko wakapaki pembeni na kumpigia simu fundi. Mdada mmoja akashuka eti ana haraka sana akaenda kituo cha daladala kusubiri usafiri. Huku nyuma fundi akamuelekeza mzee nini cha kufanya na gari ikawaka na safari ikaendelea. Sasa wakapita hapo kituoni bila ata haya yule mdada akalisimamisha tena gari jamani!!! Kila mtu kwenye gari alifura na kusonya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dharau mbaya sana..alijifanya ana haraka sana..angevumilia ingekuwa poa..sasa anaenda kubanana na watu kwenye Daladala huko[emoji23] [emoji23]
Hahaha poa umesomeka..pia mwambie mwenzio ausome ajue!mkuu bandika haya maelezo ndani ya gari yako ili ujumbe uwafikie walengwa.
itifaki izingatiwe pia hata kwenye baiskeli ili mradi usalama uwepovp lift ya baiskel mkuu
Hawa watu wa Ganda la ndizi a.k.a kitonga wanasumbua kweli..unampa mara moja yeye kila siku anataka as if ni wewe ni dereva wakeKuna wale wanaozoea lifti mpaka wanalifanya gari la kukodi. Yaani usipowapitia mtaa mzima utajua!!! Yaani mapaka mwenye gari anatamani ahame njia
Tupo wengi tu mbona [emoji144] [emoji144]jf ina vituko kila mtu huku ni mwenye gari .wapewa lift wenzangu siwaoni
Pole kwa majanga...ni experience tosha hopefully umejifunzalift ilishawahi kunicost ndugu yangu sina hamu,nilipewa lift ndani ya gari walikuwa mke na mume tena wao walinikuta njiani wakasimama sasa nikawa na mvutano wa nafsi mbili moja inasema watose tu waende zao nyingine inasema jumuika nao tu kuonyesha ujamaa..!1ebwanaee kumbe ile nafsi yenye chembechembe za uungwana ikaniponza kumbe wenzangu kuna mahali wanapita kufika wakaniomba niwasubiri au nijoin nao sasa sikuona kujoin nao kama inamantiki mimi nikawaambia ntabaki kwenye gari,wakani promise hatuchelewi...!!mayowanee nilikaa kwenye gari saa zima yaani mpaka nikajiona kituko nikajuta kwanini nisngeendelea nasafari zangu ningekuwa nishafika home,walivyorudi wakani please ila nikatathimini tu kuwa hiyo pleasing ilikuwa yakunambia ukome kudandiadandia vya watu...!!😕😕😕😕😳😳
unasemea wakati upo ndani ya gari au baada ya kupewa lift maybe kesho yake ndio likaharibika??Ni bora usiombe lift kabisa. mleta mada umesahau ya kwamba gari ikiharibika unachangia matengenezo
[emoji144] [emoji56] [emoji134] [emoji87] [emoji86]Bahati mbaya, mleta huu ujumbe hana gari.......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tuwaulize labdaKwanini wanao onekana kupewa lifti zaidi kwa mujibu wa comment za humu ndani ni akina dada tu?