Vitu vya kuzingatia unapopewa Lifti

Vitu vya kuzingatia unapopewa Lifti

Daah gar la jamaa yangu limeharibiwa kisa lift anakaa mabonde mporonyoko yani anavyo wajaza watu bhas gari linapiga chin kwenye mashimo njia mbovu...

Baada ya kama mwaka gari kwishinei

Sasa ivi wanamwambia amefuria...ha ha ha

Ubinadamu kazi au tenda wema nenda zako
 
Nilimpa lift brazamen moja hivi kumbe kanywa pombe za kienyeji , basi gari zima ni harufu tu ase ilibid nimshushe tu
 
Ya ziada.
Mwenye gari akipigwa pasi na daladala akaanza mtukana dereva wa daladala unatakiwa utukane kwa nguvu na matusi ya uchungu zaidi ya anavyotukana yeye

akiweka mziki kwenye gari ukaona anatikisa kichwa kuonesha anaupenda mziki unatakiwa utikise kichwa ikiwezekana kuomba asimamishe kidogo gari ili ucheze mziki
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna siku wadada wawili walipewa lifti, gari ilipofika maeneo ya tazara kuna kitu kikakorofisha ko wakapaki pembeni na kumpigia simu fundi. Mdada mmoja akashuka eti ana haraka sana akaenda kituo cha daladala kusubiri usafiri. Huku nyuma fundi akamuelekeza mzee nini cha kufanya na gari ikawaka na safari ikaendelea. Sasa wakapita hapo kituoni bila ata haya yule mdada akalisimamisha tena gari jamani!!! Kila mtu kwenye gari alifura na kusonya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] doh hiyo ni aibu ya karne ningekua mimi ningekodi boda boda fasta au nijificha kabisa
 
Ya ziada.
Mwenye gari akipigwa pasi na daladala akaanza mtukana dereva wa daladala unatakiwa utukane kwa nguvu na matusi ya uchungu zaidi ya anavyotukana yeye

akiweka mziki kwenye gari ukaona anatikisa kichwa kuonesha anaupenda mziki unatakiwa utikise kichwa ikiwezekana kuomba asimamishe kidogo gari ili ucheze mziki
umetisha sana 😄😄😄
 
Unapokuwa umepewa lift katika gari zingatia mambo yafuatayo:-

1. Usiwe busy sana na simu, tablet au kifaa kingine chochote cha ki electronic ulicho nacho kwa wakati huo. Watoa lift huwa hawapendi.

2. Usipende kukimbilia seat ya mbele, vinginevyo uwe umeelekezwa kufanya hivyo.

3. Usilisifie gari lililo mbele au nyuma au gari lingine tofauti na ulilopewa lift.

4. Usimuulize aliygekupa lift habari ya eti safari yake inaishia wapi. Si swali zuri kwa muomba lift.

5. Usimpe maelekezo yeyote mtoa lift. Kwa mfano, kumwambia aongeze kasi. Au awashe ama kuzima AC.

6. Usimpe dharura yako binafsi, mfano, samahani kaka simama kidogo pale ninunue mboga.

7. Usimwombee lift mtu mwingine mbele ya safari.

8. Usipende kulakula vitu kama karanga, korosho au pipi, baadhi ya watoa lift huwa hawapendi.

9. Usifanye maongezi yanayo ashiria kuwa wewe ni much know.

10. Kama unapendelea sana singeli au bongo fleva na muda wote mwenzio ana piga gospel, just keep cool and think clear, if possible make the most of it.

11. Ikitokea gari limepata matatizo ya kiufundi(technical difficulties) usimwache aliyekupa lift mpaka gari liwe sawa mwendelee na safari.

12. Aliyekupa lift akipigwa faini na traffic changia japo nusu ya faini.

13. Usiongee lugha ambayo mwenzio haijui hasa pale unapowasiliana ukiwa ndani ya gari ulilopewa lift.
14. Usimwelezee shida zako. Msaada wa lift unakutosha.

15. Control jicho lako uangaliapo vitu vya nje na comment zako kwa ulivyoviona.

C&P

Usiweke kikono ama kisambusa kwenye kioo cha siti uliyokalia!
Huko no kujifanya gari no lako na mtoa lifti hataelewa kwa kweli !!
 
Kuna dada alipewa lift kaingia kwenye gari kavua ndala kaziacha chini, alipofika huko kaanza kuzitafuta kwenye gari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwenye gari kabaki hoi [emoji849][emoji849][emoji849] kamrudisha alipomtoa kazikuta na kumwacha hapo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna dada alipewa lift kaingia kwenye gari kavua ndala kaziacha chini, alipofika huko kaanza kuzitafuta kwenye gari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwenye gari kabaki hoi [emoji849][emoji849][emoji849] kamrudisha alipomtoa kazikuta na kumwacha hapo hapo [emoji23][emoji23][emoji23]
😄😄😄😄😄😄aisee hii kali ya mwaka
 
Ulweso
sasa hapo alitaka tena kuomba lift arudi mpaka kule anapo enda? 😄😄 sasa hiyo si trip kbs ya daladala 😄😄😄
 
Hapo namba 8 utakuwa umenionea mimi msukuma, yaani safari nzima nisinunue hata mhindi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom