Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,886
TOLEO LA 01: HAWA NDIO WANAWAKE

Anaandika, Robert Heriel.

Kuwaelewa wanawake ni moja ya kazi ngumu Kama wengi wasemavyo, Hii ni kutokana na wao kutofautiana wao Kwa wao Kwa kiasi kikubwa licha ya kuwa ni jinsia moja yaani wote ni wanawake, pia tabia Yao ya kubadilika badilika Kama kinyonga inazidi kuwapa changamoto watu wanaotaka kuwaelewa, pia Unafiki na Pretender waliobobea(bobevu).

Bila kupoteza Muda, twende kazi;

1. Wanawake huongozwa zaidi na Hisia na mihemko. Hii inawafanya wawe rahisi kulaghaiwa, kushawishiwa na kuingizwa kingi.

2. Wanawake wao Kwa wao hawaogopani, hii ni kusema hawaheshimiani. Hivyo Mwanamke hataki kuongozwa au kutawaliwa na Mwanamke mwenzake.

3. Silaha kubwa ya Mwanamke ni Machozi, mdomo na mwisho kabisa ni Uchi wake(UKE)

4. Wanawake wanaelewana wenyewe Kwa wenyewe licha ya kuwa Sisi wanaume tunawaona hawaeleweki.
Mwanamke ni rahisi kujua Next step ya mwanamke mwenzake hasa kwenye ishu za mahusiano. Yaani mwanamke anauwezo wa kuona mbele ya mwanamke mwenzake kuwa anakutaka, hata kama ndio siku ya Kwanza mumeonana.

Mwanamke anauwezo WA kujua ukienda Kwa mwanamke Fulani utakubaliwa au utakataliwa.

5. Wanawake hawajui na hawana uwezo wa kutambua wanaume wanaowapenda Kwa dhati. Yaani unapoenda kumtongoza mwanamke hajui kuwa unampenda au humpendi. Watakachotumia Kama ishara ya Upendo ni Kupewa vitu vya thamani na Huduma. Hii huwafanya kulaghaiwa na wanaume wakora.

6. Mwanamke Hapendi mwanaume anayesifia Wanawake wengine mbele yake hasa sifa za kimaumbile, mfano, Yule Dada anasura nzuri Sana, au Ashura anaumbo matata, wengi hawapendi.

7. Wanawake kuna mambo wameyabinafsisha Kama Yao(miliki Yao) Mambo hayo ni UZURI, UREMBO, USAFI, MADEKO, MADAHA, MAPISHI, SAUTI NZURI, UTAMU, MAPOZI, MARINGO, N.K.
Mwanamke ukimsifia katika mambo hayo anajisikia Raha Sana kuliko unavyofikiria.

Ukimsifia mwanamke mwingine katika mambo hayo lazima Mwanamke wako atanuna kwani kila mwanamke anaona mambo hayo ni miliki yake.
Mfano, " Bebe wewe mtamu Kama chocolate"
"Una sauti nzuri Kama mlio wa zumari"
" Mtoto wewe Kwa kudeka umenishinda, yaani Kama mtoto mdogo"
" Napenda unavyoringa Kama Malkia vile, sikomi kukutazama"

Mwanamke haumizwi ukimsifia mwanamke mwingine mambo yasiyo ya kike, mfano mambo ya utawala, nguvu, kupambana n.k.
Mfano, "Ashura ananguvu Kama dume au Simba"
" Hamida anajua kuongoza au kutawala"
Hapo mwanamke hatajisikia vibaya zaidi utasikia akisema, hizo kazi za wanaume mrembo Kama Mimi siwezi kuzifanya.

8. Mwanamke anakuwa na huruma Kwa Mwanaume aliye na Hisia naye za kimapenzi., Mtoto wake, au Baba yake.
Mbali na hapo mwanamke ni kiumbe kisicho na huruma. Hisia zikiisha na huruma zinaisha. Mwanamke akikutoa moyoni kamwe hawezi kukuhurumia.

Mwanamke akiwa na hisia na wewe yaani anakupenda Kwa upendo wa kike(usio wa dhati), hashindwi kukuhonga na kamwe hahitaji chochote kwako zaidi ya Mapenzi yako.
Pesa sio kitu Kwa mwanamke anayekupenda.

Yeye kila kitu anakuonea huruma na kukutetea sababu ya mihemko na hisia zake za kike(Subiri siku ziishe, utaimba hallelujah)

9. Mwanamke anakuwa na kumbukumbu nzuri kwako ikiwa anahisia na wewe. Hisia zake kwako zikiisha na wewe amekufuta kwenye kumbukumbu zake, hakumbuki hata kizuri kimoja ulichowahi kumfanyia. Hapo ndio utamuona Kama Mnyama katili, sijui nilimsomeshe, sijui nilimtoa kijijini hayo hayamhusu.

10. Mwanamke anamtazamo kuwa Yeye ndiye anastahili kupewa vitu vizuri bureburena Mwanaume hata kama hamjuani.

Yaani mwanamke akili zake ni kuwa anaweza kukuomba msaada hapo alafu akataka umpe burebure kisa tuu yeye mwanamke.

11. Mwanamke anaamini kuwa akikupa Penzi lake ndio Malipo ya yote uliyomfanyia. Hata kama umemnunulia Gari la bilioni moja alafu akakupa Papuchi mara moja anaamini papuchi yake imetosha kufidia au kulipa hisani
Hivyo hata akikuacha atakavyojitetea atajiona Hana deni kwako😀.

Mwanamke uliyemuoa hata Kama hafanyi kazi anaamini kitendo cha kukupa penzi lake kinatosha kumfanya yeye kupata mgao wa Mali nusu Kwa nusu tena ikiwezekana yeye ndio apate zaidi.

12. Mwanamke anapenda Uongo kuliko ukweli hii ni kutokana na Kupenda Sifa na hapendi kuumizwa kihisia.
Mwanamke hata kama amekufumania Red-handed usikubali wala kukiri kosa, kataa tena jitahidi kudanganya kadiri ya uwezo wako wote. Hiyo itapunguza maumivu yake na Kupunguza nafasi ya kukulipa kisasi. Hata kama ni mbaya na sio mzuri msifie Kwa uongo uongo tuu kadiri uwezavyo, mwanamke Kwa sifa ni Kama pia na mdomo.

13. Mwanamke anavutiwa na Mwanaume upande wa mbele, Kifuani, Usoni, na kwenye Flaizi au Zipu(eneo uume Ulipo). Wanawake wanakuwa na tamaa ya ngono pale wanapoona Flaizi au zipu imetuna au kuona Uume umejichora kwenye Flaizi au zipu.
Kama vile Sisi wanaume tunavyokuwa na tamaa vyoona Makalio au miraba ya chupi upande wa nyuma kwa wanawake.

Jinsi mwanaume unavyojisikia pale unapoona Maeneo ya nyuma ya mwanamke ndivyo na Mwanamke anavyojisikia anapoona eneo la Flaizi au zipu limetuna. Hii ni kutokana na kuwa wanawake wanapenda uume wa saizi ya Kati kwenda uume Mkubwa.(ingawaje Kwa sababu ya sifa Yao ya Unafiki watakukatalia na kupinga Ila ukweli ndio huo). Hiyo nimefanya uchunguzi mwenyewe.

14. Wanawake wanapenda mashindano wao Kwa wao. Kukomoana wanawake wao Kwa wao ni kitu chakawaida.

15. Mwanamke hapendi kuonewa huruma Bali anapenda kupendwa hasa na mtu anayempenda.

16. Mwanamke hapendi mwanaume mwenye tabia za kike Kwa sababu ya kuona nafasi yake haitaonekana.
Kwa mfano, Mwanaume ukiwa msafi Sana, au ukipenda Kupika pika au vikazi vya nyumbani Automatically hautaona umuhimu wa Mwanamke na hautamthamini tofauti na Mwanaume mwenye tabia za kiume Kama uvivu wa kupika, Kuosha vyombo, Kusafisha nyumba.

Wanawake wanapenda wakifika Kwa mwanaume waone nafasi Yao ipo wazi, lakini wakikuta kila kitu kipo Sawa wanatabia ya kujisikia vibaya au kuona kuwa Kuna mwanamke mwingine anayekusaidia kazi ndio maana kila kitu kipo kwenye mpangilio.

Mwanaume kamili au halisi hawezi ishi bila mwanamke na Hilo ndilo wanawake wanalipenda,
Mwanamke hapendi anapoondoka kwako iwe kaenda kusalimia nyumbani kwao alafu usimwambie kuwa umemiss chakula chake, au umuambie awahi Kurudi kwani kazi za nyumbani na Kupika au Kuosha vyombo kumekushinda.

Sio ajabu akakuambia unatabia za Kike au akishindwa atakuambia unamkera alafu ukiangalia huna ulichomkosea😂😂. Kumbe kisa unajitosheleza na nafasi yake ni ndogo kwenye maisha yako.

Mwanamke anapenda unapomwambia unateseka akiwa mbali hiyo itamfanya ajihisi fahari kubwa.

17. Wanawake Wanapenda Wanaume Wazuri, Handsome boy, wenye nguvu.
Asije akakudanganya Mtu wanawake wote Duniani wanapenda wanaume wazuri , wenye nguvu, lakini pia Wajanja wenye Akili.

18. Wanawake wanavutiwa na wanaume Wenye fikra za Udikteta kuliko Demokrasia. Wanawake wanaenjoi zaidi wakiwa kwenye Udikteta kuliko Demokrasia. Wanawake wanapenda kuamuliwa zaidi kuliko mijadala. Huwezi sikia Mwanamke akilaumu wanaume wenye kuongoza Kwa ubabe na mara nyingi wanaona huo ndio Uanaume.

Mwanamke anapenda kuchaguliwa kuliko kuchagua mwenyewe, hasa achaguliwe na Mwanaume anayempenda.

Mwanamke anapenda mwanaume anayejua kuwianisha Kati ya Madeko na ubabe. Kuna muda atakataa Jambo ili umbembeleze na kuna muda atakataa Jambo ili umfanyie ubabe/udikteta.

19. Siku ya Kwanza ya Kufanya Sex, mwanamke anajali zaidi utamuonaje, he anavutia au havutii kuliko mchezo wenyewe. Wakati Sisi wanaume tunawaza tutafanyaje ili kutotia aibu.

20. Mwanamke kama anakupenda Sana hachagui sehemu ya kufanyia mapenzi. Hata kichakani utamfanya.

21. Mwanamke ni Bora ucheze na Akili yake kuliko kucheza na Hisia zake. Ndio maana wanapenda Playboy Kwa sababu maplayer wanajua kucheza na akili zao.

22. Wanawake wanapenda vitu vipya. Ndio maana mwanaume anayewajua hupeleka Zawadi mara Kwa mara. Kupenda vitu vipya kuna wafanya wapende mitindo na fasheni kila nguo au simu inayotoka wanatamani nao wamiliki. Zingatia hawapendi mambo makubwa Kama majumba au magari makubwa Hasha! Wakati Sisi wanaume tunapenda Wanawake Wapya 😀😀.

23. Wanawake ni Wapelelezi.
Hakuna kiumbe mfukunyuku na mchunguzi Kama Mwanamke. Unapoishi na Mwanamke hili uliweke kichwani.

24. Wanawake Wana Siri nzito mioyoni😂.
Ulikuwa unaambiwa wanawake hawana vifua ukaamini😀 Kwa taarifa yako wanawake hawawezi kukaa na Siri ndogo ndogo kifuani lakini Siri nzito wanauwezo wa kuzificha hasa zinazowahusu wao wenyewe.
Pia Mwanamke anaweza akawa amekufuatilia na akajua unam-cheat lakini akakausha akajifanya Kama hajui. Sasa Usiombe akawa anakuandalia mpango mbaya.

25. Licha ya kuwa Wanawake hawapendi kuolewa Wake wenza lakini Wanawake waliowengi walishawahi kumuona mwanamke Fulani mzuri wakatamani angekuwa Mke mwenza. Tatizo wanapofikiria suala la upendo ndio shida inapoanzia wakihofia huenda mume wake atampenda zaidi huyo mke mwingine kuliko yeye.

26. Mwanamke anapenda kupendwa kuliko kupewa pesa. Zingatia wanawake wanapenda pesa ili wazidi kupendwa na wanaume. Wanataka wavae vizuri wapendeze ili wazidi kuwavutia wanaume.

27. Mwanamke ni Bora akose Pesa na Elimu kuliko kukosa Uzuri na mvuto.

28. Kumsema mwanamke kuwa ni mjinga au sifa zingine mbaya halimsumbui akili. Wanawake wanaweza vumilia matusi na kashfa zote lakini kamwe hawawezi vumilia kashfa ya Umalaya au UCHAFU, au Ubaya wa maumbile. Mkeo mtukane utakavyoweza lakini kuna maneno hupaswi kuyatamka wanajisikia vibaya mno, uchafu, umalaya, au Sura mbaya au maumbile Fulani ya Mwili sio mazuri au sio mtamu.

29. Wanawake ni wajeuri Kwa wanaume wasiowafikisha au kuwaridhisha kimapenzi. Hakuna mwanamke jeuri Kwa mwanaume anayemkojoza.

30. Mwanamke anaweza kukutii na kukuheshimu Kwa miaka hata 100 Kwa sababu ya shida zake, umasikini wake. Shida zikiisha umekwisha.

31. Mwanamke single mother Hana ujanja dhidi ya mwanaume(mzazi mwenziwe) aliyemzalisha ikiwa alimpenda kiukweli kweli, au ikiwa mzazi mwenziwe anauchumi mzuri kukushinda wewe uliyenaye sasa Hivi.

32. Hata ufanyeje Mwanamke hata kama umemuoa hawezi kukupa mtoto uliyemkuta kwake na kumfanya mwanaye ati kisa tuu unamtunza. Atafanya hivyo Kwa kukudanganya na Kutokana na shida zake.

33. Mwanamke anaweza kumsaliti Mama yake mzazi Kwa ajili yako lakini kamwe hawezi Msaliti Baba yake Mzazi. Mwanamke anamuonea huruma zaidi na kumpenda zaidi Baba kuliko Mama

34. Wanawake wengi hupenda na kuvutiwa na Wanaume wanaofanana na Baba zao wazazi (Banana wa mwanamkr) kitabia.

35. Wanawake hurithi tabia za Mama zao Kwa Asilimia kubwa.

36. Mwanamke awapo na Cheo hupenda kuhudumia wanaume zaidi kuliko Wanawake wenzake.
Pia Mwanamke hupenda kuhudumiwa na Mwanaume zaidi kuliko mwanamke mwenzake.
Wanawake hawapendi kujishusha na kuomba msaada mbele ya mwanamke mwenzake ni akheri ajishushe Kwa mwanaume na hiyo kwake ndio hujisikia Raha.

Mwanamke haoni shida akifokewa na Mwanaume tena Hilo huweza kumfanya ajisikie Raha licha ya kuwa anaweza kuigiza hapendi, lakini kamwe Mwanamke hatokubali kufokewa na Mwanamke mwenzake.
Wanawake wanadharauliana na kuonana kuwa ni wanafiki.

37. Mwanamke hupendelea zaidi kumchokoza au kumpima mwanaume anayekupenda ili kuona Reaction yake, na kuona akili yako jinsi inavyofanya kazi.

38. Wanawake ni watu wanaojali na ku-note vitu vidogo vidogo . Hii inawafanya wawe makini katika mambo madogo kuliko makubwa.

39. Kutokana na tabia zao za Kupenda mashindano na kujionyesha hii huwafanya kuwa focus na maendeleo hasa ya nyumbani katika vitu vidogovidogo kulingana na uchumi wao. Mfano vitanda, mashuka, mapazia, mazulia n.k. chumba cha mwanamke kina maendeleo makubwa ya vitu ukilinganisha na vyumba vya wanaume. Hii ni kutokana na tabia zao za Kupenda mashindano na kujionyesha, Kupenda sifa.

40. Mwanamke hana muda wala time ya kupiga Umbeya na Mwanaume asiyempenda. Kwanza humuona Kero na wengi hawatamani Waume zao warudi mapema nyumbani kutokea kazini.
Lakini kama mwanamke anakupenda atakuwa anapenda kukuambia kila kitu na kutoa ripoti utadhani usalama wa taifa, mwanamke ni informer Mzuri ikiwa anakupenda, lakini kama hakupendi sio ajabu anajenga nyumba kisiri bila ya wewe kujua.

41. Uchawi WA kumloga mwanamke ni Ulimi wako(maneno matamu), Huduma (pesa hata kama sio nyingi), Muda na attention yako na Kumkojoza
Mwanamke usipende kumkosoa mara Kwa mara, akikosea anajua amekosea. Jikite kwenye mazuri yake Kwa 90% huo ndio Uchawi Kwa mwanamke.
Mfanye mwanamke wako awe na Amani.

42. Wanawake wote wanapenda kupendeza. Mpendezeshe Mkeo baada ya hapo Msifie. Uone atakuwa kama CHIZI aliyelogwa.

43. Wanawake hawapendi uwasiliane na Mama mtoto wako(mwanamke uliyezaa naye kabla yake).
Jitahidi hata kama unawasiliana naye Kwa mambo ya kuhudumia mtoto wako basi asijue. Hawapendi. Usije sema sijakuambia.
Atajifanya kukuuliza kuwa umewasiliana na Fulani kuhusu mtoto kujifanya anajali lakini kumbe anataka kujua je mnawasiliana na huyo Mzazi mwenzio, kuwa na Akili.

44. Kwa mwanamke ikitokea umezaa nje ya ndoa ukiwa naye ni akheri usimuambie, kaa kimya Kabisa. Wanaumia mno tena Sana. Ni rahisi kukulipa kisasi kwani wengi hawasamehi.

45. Mwanamke usimuambie Siri zako mbaya au misheni zako hatari.

46. Wanawake wakipendeza hupenda waonekane, hivyo kujipitisha pitisha barabarani au Kupenda kwenda Kanisani au kwenye mikutano ili waonekane.
Mwanamke kama hajapendeza hafurahii kupitapita barabarani.

47. Wanawake wanajiamini zaidi wanapopendeza iwe Kwa kupaka Makeup au kusuka nywele nzuri au kuvaa vizuri.
Mwanamke anaweza akakudharau unapomtongoza kisa kapaka Makeup usoni na kujiona kapendeza alafu anakuona wewe sio hadhi yake😂😂.

48. Wanawake wanaogopa zaidi Uzee na Kukonda. Mwanamke umri unavyozidi kwenda ndivyo kujiamini kwake katika mahusiano kunavyopungua. Watu wazima wenye umri Kati ya miaka 30-45 hutumia uzee Kama sehemu ya kukudadisi kuwa bado anamvuto.
Mwanamke akikonda anashindwa kujiamini na pia wanawake wenzake wanazidi kumuona kaishiwa.

49. Wanawake wanajiamini zaidi wakiwa Weupe kuliko wakiwa weusi.
Pia wanajiamini wakiwa na Matako makubwa au Shepu kuliko wakiwa vimbaumbau.
Mwanamke mweupe au mwenye makalio makubwa mazuri hamuogopi mwanamke mwenzake hata awe na elimu au PESA. Kwani hizo sio sifa za msingi za mwanamke.
Mwanamke mweupe au mwenye makalio ndio tishio Kwa wanawake waliowengi.

50. Mwanamke akikupa kitu chochote hata Kama ni kidogo jua kitu hicho kwake anakihesabu Kama deni KUBWA.
Ndio maana inashauriwa Kwa wanaume usipende pesa ya kuchukua vitu vya wanawake kuna siku utaaibika.

51. Wanawake wanapenda Kula nyama.
Ukiona hapendi labda Kwa masharti ya Daktari au kukosa Meno kisa Uzee.

52. Wanawake wanaamini pale mwanaume unaposimamisha Uume ukakaza Sana wanaamini unaumia.😀 Hii ni kutokana na wao hisia za mwili wao zikipanda wanaumia Sana na kuhitaji kutulizwa au kukatwa kiu. Hii ni tofauti kwetu wanaume. Sisi hatuumii Ila tunaigiza hivyo ili tuonewe huruma.

53. Mwanamke anaumizwa na mambo makuu Yafuatayo; I/ Kuchepuka Kwa Mumewe, ii/ Kumpandisha nyege alafu ukamuacha njiani, hili ukilifanya mara Kwa mara basi kuchapiwa hakuepukiki, iii/ Kumuahidi mwanamke ahadi hasa ya kipesa alafu usiitimize. Wanaumia Mno.
Wanawake wanapenda ahadi lakini zenye mashiko.

54. Mwanamke asiyekojozwa anakuwa na kisirani na Gubu, roho yake inakuwa haina Amani. Lazima akuchukie hata kama unampa mipesa.
Mwanamke anamheshimu na kumfurahia mwanaume anayemkojoza kuliko anayempa pesa. Ila anamheshimu mwanaume anayempa pesa Kwa sababu ya shida zake tuu. Mwanamke kama anakipato cha kuongoza Mia mbili Mia mbili hata Kama unapesa vipi lakini kama humkojozi atakuendesha tuu na kamwe hawezi kukuheshimu.

55. Wanawake huwaendesha wanaume wasiowakojoza. Ukiona mwanamke Fulani anamuendesha mume wake basi moja ya sababu kubwa ni hiyo hapo.

56. Mwanamke huwapimia penzi wanaume wasiowakojoza, Kama humkojozi Mkeo ni rahisi Sana kukupa sababu za hapa na pale kutotaka kufanya tendo kwani unampandisha midadi alafu huwezi kuimaliza, unamuumiza na kumchafua tuu.
Mwanamke anayekojozwa yeye ndiye mara Kwa mara huomba michezo Kwa mwanaume na hufurahi.

57. Mwanamke huwa na wivu mkali Kwa mwanaume anayempenda na anayemfikisha kileleni.

Leo tuishie hapa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
 
Duh aisee hii ndo maana halisi tutafika jehanam tumechoka kinyama.

Mimi Nilikuwa mlevi mzur nikilewa Sana pombe Kali Basi fujo lake Lazima ningombane na wife kuna siku nimelewa nikamwita mjini tukanunua nyama tukachukua bodaboda moja kurudi home..tulipofika home me bado Nina arosto na konyagi nikamwambia wife we nenda kaandae mboga me narudi town Mara moja, alichonijib Sasa eti "wanaume wengine mnazurura Kama mnafirwa iliniuma Sana yaani mbele ya bodaboda nilichofanya nikamwacha nikaenda town kuongeza vitu jioni nilimpiga mpk akakoma ikabidi mwenyekiti was mtaa apewe taarifa kwamba naua Huku.

Ikashauriwa tuachane kwa muda, baadae wife anapiga Simu kwamba arudi me nishamuacha sina Tena hisia naye kwa lile tusi nikimkumbusha lile tusi ye anasema mbona na Mimi Nilikuwa namtukana.ina maana ye hajuagi kutofautisha nikiwa sijalewa na nikiwa maji.

Huduma zote Nilikuwa nampatia Sasa nataka nijaribu MWanamke mfanyakazi aliyesoma Huku na Mimi nimekata pombe sinywi Tena toka litokee Hilo tukio Nina mwezi ili sasa nione na wao inakuaje niishi naye hata miezi mitatu nitawapa update.
 
Home kuna nurse alikua an Akijabkumtibu marehem mama. Ninavyoongea na nurse wife akawa anasema huyu nurse anakutaka huyu.

Mimi wala sikua na akili ya kumnyendua nesi ukweli kabisa.
Baasi siku nyingi tu zimepita baadae heee huku na huku nursi nshamla sana.
Kweli utabiri wa wife ulikua wa kweli.
 
TOLEO LA 01; HAWA NDIO WANAWAKE

Anaandika, Robert Heriel.

Kuwaelewa wanawake ni moja ya kazi ngumu Kama wengi wasemavyo, Hii ni kutokana na wao kutofautiana wao Kwa wao Kwa kiasi kikubwa licha ya kuwa ni jinsia moja yaani wote ni wanawake, pia tabia Yao ya kubadilika badilika Kama kinyonga inazidi kuwapa changamoto watu wanaotaka kuwaelewa, pia Unafiki na Pretender waliobobea(bobevu).

Bila kupoteza Muda, twende kazi;

1. Wanawake huongozwa zaidi na Hisia na mihemko. Hii inawafanya wawe rahisi kulaghaiwa, kushawishiwa na kuingizwa kingi.

2. Wanawake wao Kwa wao hawaogopani, hii ni kusema hawaheshimiani.
Hivyo Mwanamke hataki kuongozwa au kutawaliwa na Mwanamke mwenzake.

3. Silaha kubwa ya Mwanamke ni Machozi, mdomo na mwisho kabisa ni Uchi wake(UKE)

4. Wanawake wanaelewana wenyewe Kwa wenyewe licha ya kuwa Sisi wanaume tunawaona hawaeleweki.
Mwanamke ni rahisi kujua Next step ya mwanamke mwenzake hasa kwenye ishu za mahusiano.
Yaani mwanamke anauwezo WA kuona mbele ya mwanamke mwenzake kuwa anakutaka, hata kama ndio siku ya Kwanza mumeonana.
Mwanamke anauwezo WA kujua ukienda Kwa mwanamke Fulani utakubaliwa au utakataliwa.

5. Wanawake hawajui na hawana uwezo wa kutambua wanaume wanaowapenda Kwa dhati. Yaani unapoenda kumtongoza mwanamke hajui kuwa unampenda au humpendi. Watakachotumia Kama ishara ya Upendo ni Kupewa vitu vya thamani na Huduma.
Hii huwafanya kulaghaiwa na wanaume wakora.

6. Mwanamke Hapendi mwanaume anayesifia Wanawake wengine mbele yake hasa sifa za kimaumbile, mfano, Yule Dada anasura nzuri Sana, au Ashura anaumbo matata, wengi hawapendi.

7. Wanawake kuna mambo wameyabinafsisha Kama Yao(miliki Yao) Mambo hayo ni UZURI, UREMBO, USAFI, MADEKO, MADAHA, MAPISHI, SAUTI NZURI, UTAMU, MAPOZI, MARINGO, N.K.
Mwanamke ukimsifia katika mambo hayo anajisikia Raha Sana kuliko unavyofikiria.
Ukimsifia mwanamke mwingine katika mambo hayo lazima Mwanamke wako atanuna kwani kila mwanamke anaona mambo hayo ni miliki yake.
Mfano, " Bebe wewe mtamu Kama chocolate"
"Una sauti nzuri Kama mlio wa zumari"
" Mtoto wewe Kwa kudeka umenishinda, yaani Kama mtoto mdogo"
" Napenda unavyoringa Kama Malkia vile, sikomi kukutazama"

Mwanamke haumizwi ukimsifia mwanamke mwingine mambo yasiyo ya kike, mfano mambo ya utawala, nguvu, kupambana n.k.
Mfano, "Ashura ananguvu Kama dume au Simba"
" Hamida anajua kuongoza au kutawala"
Hapo mwanamke hatajisikia vibaya zaidi utasikia akisema, hizo kazi za wanaume mrembo Kama Mimi siwezi kuzifanya.

8. Mwanamke anakuwa na huruma Kwa Mwanaume aliye na Hisia naye za kimapenzi., Mtoto wake, au Baba yake.
Mbali na hapo mwanamke ni kiumbe kisicho na huruma. Hisia zikiisha na huruma zinaisha.
Mwanamke akikutoa moyoni kamwe hawezi kukuhurumia.
Mwanamke akiwa na hisia na wewe yaani anakupenda Kwa upendo wa kike(usio wa dhati), hashindwi kukuhonga na kamwe hahitaji chochote kwako zaidi ya Mapenzi yako.
Pesa sio kitu Kwa mwanamke anayekupenda.
Yeye kila kitu anakuonea huruma na kukutetea sababu ya mihemko na hisia zake za kike(Subiri siku ziishe, utaimba hallelujah)

9. Mwanamke anakuwa na kumbukumbu nzuri kwako ikiwa anahisia na wewe.
Hisia zake kwako zikiisha na wewe amekufuta kwenye kumbukumbu zake, hakumbuki hata kizuri kimoja ulichowahi kumfanyia..
Hapo ndio utamuona Kama Mnyama katili, sijui nilimsomeshe, sijui nilimtoa kijijini hayo hayamhusu.

10. Mwanamke anamtazamo kuwa Yeye ndiye anastahili kupewa vitu vizuri bureburena Mwanaume hata kama hamjuani.
Yaani mwanamke akili zake ni kuwa anaweza kukuomba msaada hapo alafu akataka umpe burebure kisa tuu yeye mwanamke.

11. Mwanamke anaamini kuwa akikupa Penzi lake ndio Malipo ya yote uliyomfanyia. Hata kama umemnunulia Gari la bilioni moja alafu akakupa Papuchi mara moja anaamini papuchi yake imetosha kufidia au kulipa hisani
Hivyo hata akikuacha atakavyojitetea atajiona Hana deni kwako.

Mwanamke uliyemuoa hata Kama hafanyi kazi anaamini kitendo cha kukupa penzi lake kinatosha kumfanya yeye kupata mgao wa Mali nusu Kwa nusu tena ikiwezekana yeye ndio apate zaidi.

12. Mwanamke anapenda Uongo kuliko ukweli hii ni kutokana na Kupenda Sifa na hapendi kuumizwa kihisia.
Mwanamke hata kama amekufumania Red-handed usikubali wala kukiri kosa, kataa tena jitahidi kudanganya kadiri ya uwezo wako wote. Hiyo itapunguza maumivu yake na Kupunguza nafasi ya kukulipa kisasi.
Hata kama ni mbaya na sio mzuri msifie Kwa uongo uongo tuu kadiri uwezavyo, mwanamke Kwa sifa ni Kama pia na mdomo.

13. Mwanamke anavutiwa na Mwanaume upande wa mbele, Kifuani, Usoni, na kwenye Flaizi au Zipu(eneo uume Ulipo).
Wanawake wanakuwa na tamaa ya ngono pale wanapoona Flaizi au zipu imetuna au kuona Uume umejichora kwenye Flaizi au zipu.
Kama vile Sisi wanaume tunavyokuwa na tamaa vyoona Makalio au miraba ya chupi upande wa nyuma kwa wanawake.
Jinsi mwanaume unavyojisikia pale unapoona Maeneo ya nyuma ya mwanamke ndivyo na Mwanamke anavyojisikia anapoona eneo la Flaizi au zipu limetuna. Hii ni kutokana na kuwa wanawake wanapenda uume wa saizi ya Kati kwenda uume Mkubwa.(ingawaje Kwa sababu ya sifa Yao ya Unafiki watakukatalia na kupinga Ila ukweli ndio huo). Hiyo nimefanya uchunguzi mwenyewe.

14. Wanawake wanapenda mashindano wao Kwa wao. Kukomoana wanawake wao Kwa wao ni kitu chakawaida.

15. Mwanamke hapendi kuonewa huruma Bali anapenda kupendwa hasa na mtu anayempenda.

16. Mwanamke hapendi mwanaume mwenye tabia za kike Kwa sababu ya kuona nafasi yake haitaonekana.
Kwa mfano, Mwanaume ukiwa msafi Sana, au ukipenda Kupika pika au vikazi vya nyumbani Automatically hautaona umuhimu wa Mwanamke na hautamthamini tofauti na Mwanaume mwenye tabia za kiume Kama uvivu wa kupika, Kuosha vyombo, Kusafisha nyumba.

Wanawake wanapenda wakifika Kwa mwanaume waone nafasi Yao ipo wazi, lakini wakikuta kila kitu kipo Sawa wanatabia ya kujisikia vibaya au kuona kuwa Kuna mwanamke mwingine anayekusaidia kazi ndio maana kila kitu kipo kwenye mpangilio.

Mwanaume kamili au halisi hawezi ishi bila mwanamke na Hilo ndilo wanawake wanalipenda,
Mwanamke hapendi anapoondoka kwako iwe kaenda kusalimia nyumbani kwao alafu usimwambie kuwa umemiss chakula chake, au umuambie awahi Kurudi kwani kazi za nyumbani na Kupika au Kuosha vyombo kumekushinda,

Sio ajabu akakuambia unatabia za Kike au akishindwa atakuambia unamkera alafu ukiangalia huna ulichomkosea. Kumbe kisa unajitosheleza na nafasi yake ni ndogo kwenye maisha yako.

Mwanamke anapenda unapomwambia unateseka akiwa mbali hiyo itamfanya ajihisi fahari kubwa.

17. Wanawake Wanapenda Wanaume Wazuri, Handsome boy, wenye nguvu.
Asije akakudanganya Mtu wanawake wote Duniani wanapenda wanaume wazuri , wenye nguvu, lakini pia Wajanja wenye Akili.

18. Wanawake wanavutiwa na wanaume Wenye fikra za Udikteta kuliko Demokrasia.
Wanawake wanaenjoi zaidi wakiwa kwenye Udikteta kuliko Demokrasia. Wanawake wanapenda kuamuliwa zaidi kuliko mijadala.
Huwezi sikia Mwanamke akilaumu wanaume wenye kuongoza Kwa ubabe na mara nyingi wanaona huo ndio Uanaume.

Mwanamke anapenda kuchaguliwa kuliko kuchagua mwenyewe, hasa achaguliwe na Mwanaume anayempenda.

Mwanamke anapenda mwanaume anayejua kuwianisha Kati ya Madeko na ubabe. Kuna muda atakataa Jambo ili umbembeleze na kuna muda atakataa Jambo ili umfanyie ubabe/udikteta.

19. Siku ya Kwanza ya Kufanya Sex, mwanamke anajali zaidi utamuonaje, he anavutia au havutii kuliko mchezo wenyewe. Wakati Sisi wanaume tunawaza tutafanyaje ili kutotia aibu.

20. Mwanamke kama anakupenda Sana hachagui sehemu ya kufanyia mapenzi. Hata kichakani utamfanya.

21. Mwanamke ni Bora ucheze na Akili yake kuliko kucheza na Hisia zake. Ndio maana wanapenda Playboy Kwa sababu maplayer wanajua kucheza na akili zao.

22. Wanawake wanapenda vitu vipya. Ndio maana mwanaume anayewajua hupeleka Zawadi mara Kwa mara. Kupenda vitu vipya kuna wafanya wapende mitindo na fasheni kila nguo au simu inayotoka wanatamani nao wamiliki. Zingatia hawapendi mambo makubwa Kama majumba au magari makubwa Hasha!
Wakati Sisi wanaume tunapenda Wanawake Wapya .

23. Wanawake ni Wapelelezi.
Hakuna kiumbe mfukunyuku na mchunguzi Kama Mwanamke. Unapoishi na Mwanamke hili uliweke kichwani.

24. Wanawake Wana Siri nzito mioyoni.
Ulikuwa unaambiwa wanawake hawana vifua ukaamini Kwa taarifa yako wanawake hawawezi kukaa na Siri ndogo ndogo kifuani lakini Siri nzito wanauwezo wa kuzificha hasa zinazowahusu wao wenyewe.
Pia Mwanamke anaweza akawa amekufuatilia na akajua unam-cheat lakini akakausha akajifanya Kama hajui. Sasa Usiombe akawa anakuandalia mpango mbaya.

25. Licha ya kuwa Wanawake hawapendi kuolewa Wake wenza lakini Wanawake waliowengi walishawahi kumuona mwanamke Fulani mzuri wakatamani angekuwa Mke mwenza. Tatizo wanapofikiria suala la upendo ndio shida inapoanzia wakihofia huenda mume wake atampenda zaidi huyo mke mwingine kuliko yeye.

26. Mwanamke anapenda kupendwa kuliko kupewa pesa.
Zingatia wanawake wanapenda pesa ili wazidi kupendwa na wanaume. Wanataka wavae vizuri wapendeze ili wazidi kuwavutia wanaume.

27. Mwanamke ni Bora akose Pesa na Elimu kuliko kukosa Uzuri na mvuto.

28. Kumsema mwanamke kuwa ni mjinga au sifa zingine mbaya halimsumbui akili. Wanawake wanaweza vumilia matusi na kashfa zote lakini kamwe hawawezi vumilia kashfa ya Umalaya au UCHAFU, au Ubaya wa maumbile.
Mkeo mtukane utakavyoweza lakini kuna maneno hupaswi kuyatamka wanajisikia vibaya mno, uchafu, umalaya, au Sura mbaya au maumbile Fulani ya Mwili sio mazuri au sio mtamu.

29. Wanawake ni wajeuri Kwa wanaume wasiowafikisha au kuwaridhisha kimapenzi. Hakuna mwanamke jeuri Kwa mwanaume anayemkojoza.

30. Mwanamke anaweza kukutii na kukuheshimu Kwa miaka hata 100 Kwa sababu ya shida zake, umasikini wake. Shida zikiisha umekwisha.

Leo tuishie hapa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Nimeona baadhi ya makosa yangu,naona at least nimewajua now...
 
Back
Top Bottom