McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Hii ni lift ya gari au ndege?
Aaaarrrgght ulikosea ndugu ilitakiwa uondoke ili wakirudi wakute li jidude Laolift ilishawahi kunicost ndugu yangu sina hamu,nilipewa lift ndani ya gari walikuwa mke na mume tena wao walinikuta njiani wakasimama sasa nikawa na mvutano wa nafsi mbili moja inasema watose tu waende zao nyingine inasema jumuika nao tu kuonyesha ujamaa..!1ebwanaee kumbe ile nafsi yenye chembechembe za uungwana ikaniponza kumbe wenzangu kuna mahali wanapita kufika wakaniomba niwasubiri au nijoin nao sasa sikuona kujoin nao kama inamantiki mimi nikawaambia ntabaki kwenye gari,wakani promise hatuchelewi...!!mayowanee nilikaa kwenye gari saa zima yaani mpaka nikajiona kituko nikajuta kwanini nisngeendelea nasafari zangu ningekuwa nishafika home,walivyorudi wakani please ila nikatathimini tu kuwa hiyo pleasing ilikuwa yakunambia ukome kudandiadandia vya watu...!!😕😕😕😕😳😳
[emoji28] wewe.Asante kwa ujumbe!!!
Ila hii ya kukaa kiti cha mbele ata siielewagi!
Wanaume wengine wanasema anaekaa kiti cha mbele ni mkewe tu!!! Na wengine hawapendi mtu akae nyuma akati kiti cha mbele kiko wazi kwa kuogopa kuinekana ni dereva wa yule alie nyuma.
Wanawake wasiweke papuchi kwenye AcUnapokuwa umepewa lift katika gari zingatia mambo yafuatayo:-
1. Usiwe busy sana na simu, tablet au kifaa kingine chochote cha ki electronic ulicho nacho kwa wakati huo. Watoa lift huwa hawapendi.
2. Usipende kukimbilia seat ya mbele, vinginevyo uwe umeelekezwa kufanya hivyo.
3. Usilisifie gari lililo mbele au nyuma au gari lingine tofauti na ulilopewa lift.
4. Usimuulize aliyekupa lift habari ya eti safari yake inaishia wapi. Si swali zuri kwa muomba lift.
5. Usimpe maelekezo yeyote mtoa lift. Kwa mfano, kumwambia aongeze kasi. Au awashe ama kuzima AC.
6. Usimpe dharura yako binafsi, mfano, samahani kaka simama kidogo pale ninunue mboga.
7. Usimwombee lift mtu mwingine mbele ya safari.
8. Usipende kulakula vitu kama karanga, korosho au pipi, baadhi ya watoa lift huwa hawapendi.
9. Usifanye maongezi yanayo ashiria kuwa wewe ni much know.
10. Kama unapendelea sana singeli au bongo fleva na muda wote mwenzio ana piga gospel, just keep cool and think clear, if possible make the most of it.
11. Ikitokea gari limepata matatizo ya kiufundi(technical difficulties) usimwache aliyekupa lift mpaka gari liwe sawa mwendelee na safari.
12. Aliyekupa lift akipigwa faini na traffic changia japo nusu ya faini.
13. Usiongee lugha ambayo mwenzio haijui hasa pale unapowasiliana ukiwa ndani ya gari ulilopewa lift.
14. Usimwelezee shida zako. Msaada wa lift unakutosha.
15. Control jicho lako uangaliapo vitu vya nje na comment zako kwa ulivyoviona.
C&P
Mi sipendagi kabisa kiti cha mbele!!! Najihisi kila mtu anatuona kama mke na mume! [emoji4][emoji4][emoji28] wewe.
Kiti cha mbele ni kama kitanda cha mwenye nyumba, anakaa mama na baba tu, tofauti na hapo ni kwa ruhusa maalum, maana wengine huwa kinakaguliwa.
Labda nikuulize, unapopewa lifti na mwanaume halafu ukakaa siti ya mbele, huwa unahisi nini usoni[emoji57].sasa wewe sio mkewe/unadanganya watu barabarani[emoji2] [emoji2] .
Tupojf ina vituko kila mtu huku ni mwenye gari .wapewa lift wenzangu siwaoni
hahaha kwan walilock milango si ungeshuka ukachapa mwendolift ilishawahi kunicost ndugu yangu sina hamu,nilipewa lift ndani ya gari walikuwa mke na mume tena wao walinikuta njiani wakasimama sasa nikawa na mvutano wa nafsi mbili moja inasema watose tu waende zao nyingine inasema jumuika nao tu kuonyesha ujamaa..!1ebwanaee kumbe ile nafsi yenye chembechembe za uungwana ikaniponza kumbe wenzangu kuna mahali wanapita kufika wakaniomba niwasubiri au nijoin nao sasa sikuona kujoin nao kama inamantiki mimi nikawaambia ntabaki kwenye gari,wakani promise hatuchelewi...!!mayowanee nilikaa kwenye gari saa zima yaani mpaka nikajiona kituko nikajuta kwanini nisngeendelea nasafari zangu ningekuwa nishafika home,walivyorudi wakani please ila nikatathimini tu kuwa hiyo pleasing ilikuwa yakunambia ukome kudandiadandia vya watu...!!😕😕😕😕😳😳
Wengi tuwangapi walishawai kufa?
Hata gari sina ila huwa nasikia pale napokuwa na Boss wangu kuna sehemu zingine ujue mtu akiomba lift huezi muacha sasa stori zake ndani ni hatari,wenyewe wanasema kikubwa afike anapoenda.Mkuu unatoaga lift nini
Hahahaaaaaaaa
Ukitaka umkomeshe awe kimya mwambie "gari yangu naona imekorofisha hivyo naweza kuahirisha safari popote pale kama ikiendelea kuwa hivi" utaona kimya huku ekiendelea kufanya maombi kimya kimya ili mfike mnapoenda[emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa na hasira unaweza simamisha gari na kumshusha aisee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaaaa! Mbona mashart hivi. Mnajishauaa na magari yenu
Ha haSasa tukinunua tuyalaze wapi? kituo cha polisi au kituo cha mafuta ali maarufu sheli!!!!
Unamsaidia japo kidogoNamba 12, mwe! du! Aiiiiiii, oshsssssss!
Hahaha ndio hivyoWacha wee
chezea vya bure weye