Vitu vya kuzingatia unapopewa Lifti

Vitu vya kuzingatia unapopewa Lifti

Ya ziada.
Mwenye gari akipigwa pasi na daladala akaanza mtukana dereva wa daladala unatakiwa utukane kwa nguvu na matusi ya uchungu zaidi ya anavyotukana yeye

akiweka mziki kwenye gari ukaona anatikisa kichwa kuonesha anaupenda mziki unatakiwa utikise kichwa ikiwezekana kuomba asimamishe kidogo gari ili ucheze mziki
Oooohooo
 
11. Ikitokea gari limepata matatizo ya kiufundi(technical difficulties) usimwache aliyekupa lift mpaka gari liwe sawa mwendelee na safari.

Kuna siku wadada wawili walipewa lifti, gari ilipofika maeneo ya tazara kuna kitu kikakorofisha ko wakapaki pembeni na kumpigia simu fundi. Mdada mmoja akashuka eti ana haraka sana akaenda kituo cha daladala kusubiri usafiri. Huku nyuma fundi akamuelekeza mzee nini cha kufanya na gari ikawaka na safari ikaendelea. Sasa wakapita hapo kituoni bila ata haya yule mdada akalisimamisha tena gari jamani!!! Kila mtu kwenye gari alifura na kusonya.
 
Mfano wa kauli hizo;

"Dah aisee humu gari lako kuna joto sana huku unajipepea,hivi ac haifanyi kazi eeh au wewe joto hulioni"

"Jamaa gari lake kali halafu new model kabisa pia anatembea sana si unakumbuka tulimpa ananunua mkaa njiani,sasa ametupita"

"ivi unaishia wapi ikiwezekana unisogeze sogeze mbele kidogo maana naposhukia ni mbali sana na ninapoishi"

"hapa barabara imenyooka sasa unaweza ongeza speed,haha"

"Dah..aisee ndugu yangu huyo naomba umchukue tunaishi nyumba moja"

"hiyo nyimbo siipendi kweli yani huyo jamaa hajui kabisa kuimba,weka zile za akina.....(hapo umetaja jina la msanii)"

Mwisho "loh hili gari lako limepata pancha litanichelewesha kaka nashukuru kwa msaada ulionipa mpaka kufikia hapa wacha mimi niwahi,nikutakie matengenezo mema"
[emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa na hasira unaweza simamisha gari na kumshusha aisee!
 
Kuna siku wadada wawili walipewa lifti, gari ilipofika maeneo ya tazara kuna kitu kikakorofisha ko wakapaki pembeni na kumpigia simu fundi. Mdada mmoja akashuka eti ana haraka sana akaenda kituo cha daladala kusubiri usafiri. Huku nyuma fundi akamuelekeza mzee nini cha kufanya na gari ikawaka na safari ikaendelea. Sasa wakapita hapo kituoni bila ata haya yule mdada akalisimamisha tena gari jamani!!! Kila mtu kwenye gari alifura na kusonya.
walimpandisha?
 
Dah hii gari yako inaonekana ya kitambo, imetembea km zote hizooo, sema gari za siku hizi ni bora zaidii.......hapo unaanza kusifia magari mengine.
 
lift ilishawahi kunicost ndugu yangu sina hamu,nilipewa lift ndani ya gari walikuwa mke na mume tena wao walinikuta njiani wakasimama sasa nikawa na mvutano wa nafsi mbili moja inasema watose tu waende zao nyingine inasema jumuika nao tu kuonyesha ujamaa..!1ebwanaee kumbe ile nafsi yenye chembechembe za uungwana ikaniponza kumbe wenzangu kuna mahali wanapita kufika wakaniomba niwasubiri au nijoin nao sasa sikuona kujoin nao kama inamantiki mimi nikawaambia ntabaki kwenye gari,wakani promise hatuchelewi...!!mayowanee nilikaa kwenye gari saa zima yaani mpaka nikajiona kituko nikajuta kwanini nisngeendelea nasafari zangu ningekuwa nishafika home,walivyorudi wakani please ila nikatathimini tu kuwa hiyo pleasing ilikuwa yakunambia ukome kudandiadandia vya watu...!!😕😕😕😕😳😳
 
hahaaaaaa
 
Hapo minaona chakuzingatia ni usiombe lift tu....[emoji135] [emoji135]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom