miss mike
Senior Member
- Aug 25, 2015
- 176
- 250
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akuuuuu,bodaboda na bajaj zimejaa kila kona kwa ajili ya emergency dogoIkukutokea emergency siku moja utapanda tu au sio dogo??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akuuuuu,bodaboda na bajaj zimejaa kila kona kwa ajili ya emergency dogoIkukutokea emergency siku moja utapanda tu au sio dogo??
Usidindishe PiaPia usijambe 🙂
Poa Dogo yakikukuta siku hyo empty kwa mfuko nadhani utaomba japokuwa hupendi au utachabanga kwa miguu??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akuuuuu,bodaboda na bajaj zimejaa kila kona kwa ajili ya emergency dogo
Hahahaa kwako ntakufaje wakat me mdogo ako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40]Mbona nakupaga lift na ujafa kuanzia leo hupand tena...lol
hahahahahaha hatar mkuuuitifaki izingatiwe pia hata kwenye baiskeli ili mradi usalama uwepo
Ukweli Ni upiSio
Kweli
ndugu yangu uache gari la watu wazi siunajua natabia za vijana wa mjini wakiona gari limepaki wanajipitisha pitisha kuchunguliahahaha kwan walilock milango si ungeshuka ukachapa mwendo
haaahaaahh sasa ndugu yangu kesho unaambiwa uliiba power window inakuaje hapo,ilibidi nikubali ujinga nilio ufanya tuAaaarrrgght ulikosea ndugu ilitakiwa uondoke ili wakirudi wakute li jidude Lao
haaaaaa,Mfano wa kauli hizo;
"Dah aisee humu gari lako kuna joto sana huku unajipepea,hivi ac haifanyi kazi eeh au wewe joto hulioni"
"Jamaa gari lake kali halafu new model kabisa pia anatembea sana si unakumbuka tulimpa ananunua mkaa njiani,sasa ametupita"
"ivi unaishia wapi ikiwezekana unisogeze sogeze mbele kidogo maana naposhukia ni mbali sana na ninapoishi"
"hapa barabara imenyooka sasa unaweza ongeza speed,haha"
"Dah..aisee ndugu yangu huyo naomba umchukue tunaishi nyumba moja"
"hiyo nyimbo siipendi kweli yani huyo jamaa hajui kabisa kuimba,weka zile za akina.....(hapo umetaja jina la msanii)"
Mwisho "loh hili gari lako limepata pancha litanichelewesha kaka nashukuru kwa msaada ulionipa mpaka kufikia hapa wacha mimi niwahi,nikutakie matengenezo mema"
Thanks mkuu [emoji481] [emoji482] [emoji481] [emoji482] siku hizi nimeacha aseeMtoa mada unapatikana wapi nikupe beer tatu Leo ?
[emoji13] [emoji13] [emoji13]usiulize vyeti vya mtoa lifti
Mi imenichosha kabisa fine apigwe kwa uzemb wake hela tutoe wote kisa lift ahahahahhahNamba 12, mwe! du! Aiiiiiii, oshsssssss!