Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,287
- 72,516
- Thread starter
- #181
Mmhhaise aya maelezo yanafanana na kauli za mtukufu Magufuli.
Anapenda sana kauli kama hizi.
Mmhhaise aya maelezo yanafanana na kauli za mtukufu Magufuli.
Anapenda sana kauli kama hizi.
Unapokuwa umepewa lift katika gari zingatia mambo yafuatayo:-
1. Usiwe busy sana na simu, tablet au kifaa kingine chochote cha ki electronic ulicho nacho kwa wakati huo. Watoa lift huwa hawapendi.
simu zinachelewesha tanzania ya v~wonders kutwa nzima mnaposti umbea mkuu hapendi.
2. Usipende kukimbilia seat ya mbele, vinginevyo uwe umeelekezwa kufanya hivyo.
unachotakiwa kufanya ni kile atakacho mkuu tu"maamuzi yake tu"
3. Usilisifie gari lililo mbele au nyuma au gari lingine tofauti na ulilopewa lift.
unasifia ukawa badala ya chama tawala na yenye dola inaongoza nchi, tutawafunga tu nisifieni mimi na ccm
4. Usimuulize aliyekupa lift habari ya eti safari yake inaishia wapi. Si swali zuri kwa muomba lift.
unamuulza mwenye nchi njaa kwani yeye ndo mpishi.
Post hii lakini haina mrengo wowote wa kisiasa mkuu
Pia kichwa cha habari ungeongezea 'maalum kwa kina dada ' maana wenyewe ndio hupenda lifti na vya dezooo piaUnapokuwa umepewa lift katika gari zingatia mambo yafuatayo:-
1. Usiwe busy sana na simu, tablet au kifaa kingine chochote cha ki electronic ulicho nacho kwa wakati huo. Watoa lift huwa hawapendi.
2. Usipende kukimbilia seat ya mbele, vinginevyo uwe umeelekezwa kufanya hivyo.
3. Usilisifie gari lililo mbele au nyuma au gari lingine tofauti na ulilopewa lift.
4. Usimuulize aliyekupa lift habari ya eti safari yake inaishia wapi. Si swali zuri kwa muomba lift.
5. Usimpe maelekezo yeyote mtoa lift. Kwa mfano, kumwambia aongeze kasi. Au awashe ama kuzima AC.
6. Usimpe dharura yako binafsi, mfano, samahani kaka simama kidogo pale ninunue mboga.
7. Usimwombee lift mtu mwingine mbele ya safari.
8. Usipende kulakula vitu kama karanga, korosho au pipi, baadhi ya watoa lift huwa hawapendi.
9. Usifanye maongezi yanayo ashiria kuwa wewe ni much know.
10. Kama unapendelea sana singeli au bongo fleva na muda wote mwenzio ana piga gospel, just keep cool and think clear, if possible make the most of it.
11. Ikitokea gari limepata matatizo ya kiufundi(technical difficulties) usimwache aliyekupa lift mpaka gari liwe sawa mwendelee na safari.
12. Aliyekupa lift akipigwa faini na traffic changia japo nusu ya faini.
13. Usiongee lugha ambayo mwenzio haijui hasa pale unapowasiliana ukiwa ndani ya gari ulilopewa lift.
14. Usimwelezee shida zako. Msaada wa lift unakutosha.
15. Control jicho lako uangaliapo vitu vya nje na comment zako kwa ulivyoviona.
C&P
Kwani wewe hujawahi kuomba lift kwa mwanamke?Pia kichwa cha habari ungeongezea 'maalum kwa kina dada ' maana wenyewe ndio hupenda lifti na vya dezooo pia
Hata mimi,akitokea mtu anataka kunipa lift,najifanya kusema asante nshafika,maana najuaga kinachofata ni dada naomba namba yako ya simu (kama simfahamu) na kama namfahamu nahisigi namboa uwepo wangu kwenye gari yake kama ana mishe zake nyingine anataka apige kisa kanipa lift naona kama namkera tu,ebu nifanye kazi na ninunue langu!masharti mengine magumu sanaNdio maana sipandagi lift mimi.
Sijawahi na sitarajii, boda boda na daladala vipo kwa ajili yetu sisi tusiopenda dezoKwani wewe hujawahi kuomba lift kwa mwanamke?
KweliKuna jamaa nilimpa lift akaomba aendeshe yeye eti anahamu
Hahahaha
Fresh mkuu lakini Lift haichagui jinsiaSijawahi na sitarajii, boda boda na daladala vipo kwa ajili yetu sisi tusiopenda dezo
Dhumuni la lift ni kufikishwa sehemu utakayo..sasa mambo ya kutoa namba si unajitakia mwenyewe aunty sio lazima kutoa lakini eeHata mimi,akitokea mtu anataka kunipa lift,najifanya kusema asante nshafika,maana najuaga kinachofata ni dada naomba namba yako ya simu (kama simfahamu) na kama namfahamu nahisigi namboa uwepo wangu kwenye gari yake kama ana mishe zake nyingine anataka apige kisa kanipa lift naona kama namkera tu,ebu nifanye kazi na ninunue langu!masharti mengine magumu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo mana nkasema siombagi wala kukubali lift![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kupanic dogoDhumuni la lift ni kufikishwa sehemu utakayo..sasa mambo ya kutoa namba si unajitakia mwenyewe aunty sio lazima kutoa lakini ee
Mkuu umeuaYa ziada.
Mwenye gari akipigwa pasi na daladala akaanza mtukana dereva wa daladala unatakiwa utukane kwa nguvu na matusi ya uchungu zaidi ya anavyotukana yeye
akiweka mziki kwenye gari ukaona anatikisa kichwa kuonesha anaupenda mziki unatakiwa utikise kichwa ikiwezekana kuomba asimamishe kidogo gari ili ucheze mziki
Tunaojielewa huwa hatuombi lifti, tunachofanya ni kufaiti na kununua kijiusafiri chako hata kama ni baiskeli fresh mkuu, dezo zinalemazaFresh mkuu lakini Lift haichagui jinsia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna jamaa nilimpa lift akaomba aendeshe yeye eti anahamu
Hahahaha
Fresh fighter...Tunaojielewa huwa hatuombi lifti, tunachofanya ni kufaiti na kununua kijiusafiri chako hata kama ni baiskeli fresh mkuu, dezo zinalemaza
Ikukutokea emergency siku moja utapanda tu au sio dogo??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo mana nkasema siombagi wala kukubali lift![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha kupanic dogo