Vitu vya kuzingatia unapopewa Lifti

Vitu vya kuzingatia unapopewa Lifti

Sio sheria kwamba ni lazima ulipie ndugu...kiroho safi na kistaarabu unaweza ukamwambia tu ningekuwa na uwezo ningekusaidia ila tu sina hela..Atakuelewa na haiwagombanishi mbona
Akuuu!! Makosa ufanye wewe alafu nilipie mimi!! Najikaushaaa na kama likiharibika nawahi na safari yangu mimi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapana bwana.Halafu eti kuchangia pesa akipigwa faini mie hata gari sijui kiendesha wala sheria zake naanzaje kuchangia pesa na mbaya zaidi eti usiongee lugha nyingine mie imetokea nimepigiwa na bibi tunaongea zetu kikurya nitaikata simu kisa lifti?
Sio lazima kulipia ila ni kama unaona inafaa (usiogope)... Kuhusu simu haikatazwi ili mradi tu unaongea kistaarabu na si kwa jazba mpaka umkere dereva akutilie mashaka na wasiwasi...tuko sawa ee
 
Akuuu!! Makosa ufanye wewe alafu nilipie mimi!! Najikaushaaa na kama likiharibika nawahi na safari yangu mimi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aisee kwa hiyo unakula nduki hata msaada kidogo hutoi...sio vizuri ujue?? Siku nyingine ukimuomba lifti atakuchukuliaje!?
 
Sio lazima kulipia ila ni kama unaona inafaa (usiogope)... Kuhusu simu haikatazwi ili mradi tu unaongea kistaarabu na si kwa jazba mpaka umkere dereva akutilie mashaka na wasiwasi...tuko sawa ee
Vya bure vyagoga siku zote
 
Aisee kwa hiyo unakula nduki hata msaada kidogo hutoi...sio vizuri ujue?? Siku nyingine ukimuomba lifti atakuchukuliaje!?
Sasa nitoe msaada gani!! Ye abaki atengeneze gari lake mimi niwahi, siku nyingine si anatoa tu lift.
Anichukulieje kivipi wakati tumekutana tu njiani!!
 
Unajua msaada sio lazima wa pesa...hata ushauri na ujuzi kidogo (kama unao) ni msaada tosha..

Atakuchukulia hivi 'yule fulani sio mstaarabu kwa maana kipindi kile gari lilipopata hitilafu aliondoka kimyakimya na kwa dharau' kwa hiyo nkimuona nampita!
 
Waswahili hekima zero,yaani anapenda ujiko mpaka kwenye mali ya mtu, mwingine ataomba na kuendesha
 
Unajua msaada sio lazima wa pesa...hata ushauri na ujuzi kidogo (kama unao) ni msaada tosha..

Atakuchukulia hivi 'yule fulani sio mstaarabu kwa maana kipindi kile gari lilipopata hitilafu aliondoka kimyakimya na kwa dharau' kwa hiyo nkimuona nampita!
Siondoki kwa dharau, namuaga vizuri tu nasepa as mie sio fundi.
 
Yeah bora uondoke vizuri na umpe maneno ya kumfariji kuliko kuondoka fasta bila hata kuaga
 
Kuaga lazia niage as amenisaidia kwakweli kwahiyo sio ustaarabu kuondoka bila kuaga, ila kumsaidia kutengeneza!! Labda iwe sina haraka alafu nina ujuzi na hayo mambo.
 
aise aya maelezo yanafanana na kauli za mtukufu Magufuli.
Anapenda sana kauli kama hizi.
 
Kuaga lazia niage as amenisaidia kwakweli kwahiyo sio ustaarabu kuondoka bila kuaga, ila kumsaidia kutengeneza!! Labda iwe sina haraka alafu nina ujuzi na hayo mambo.
Nzuri sana hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom