Hhahaaaahaa pole mwaya ni bora ukawai nyuma afu yeye ndo akuambia ukae mbeleNamba mbili iliniaibisha niliambiwa kakae nyuma
[emoji2] lakini kama dereva ni wa kike hakuna shidaNyingine ya kuzingatia ni ukipewa lifti kwenye pick up na uko na mke wako inabidi yeye kwenye cabin na wewe ukae kule nyuma huku unachungulia kwenye kioo anavyocheka na dereva
Hahahaaa kuna watu mbaka kero mkuu anakusubiri hatakama amewahikutoka ilimradi tu atumie usafiriwako, ukiingia tu kwenye gari unamuona huyooooo anakuja, inabidi ukenue menotu kishkaji lakini moyoni unasema puuuumbavu.nilipokua sina gari nilikua siombi lift kabisa coz sikupenda kupoteza uhuru wangu na utu. sasa hivi ninalo sitoi lift mpaka uniombe na mara nyingi nawakwepa wanaoniomba lift hasa kama natoka kazini, nawazingua napitia sehemu au bado nipo town
Ni sawa na kumwambia mtu asipumuePia usijambe 🙂
😀 😀 😀 hiyo siku hiyo inakuwa bahati yako, lakini kama ni mwanaume ndio anasisitiza mwache mama akae hapa mbele kaka[emoji2] lakini kama dereva ni wa kike hakuna shida
[emoji16]Pia usijambe 🙂
Aaah sio vizuri hivyoooo msitufanyie hivyooo banaHahahaaa kuna watu mbaka kero mkuu anakusubiri hatakama amewahikutoka ilimradi tu atumie usafiriwako, ukiingia tu kwenye gari unamuona huyooooo anakuja, inabidi ukenue menotu kishkaji lakini moyoni unasema puuuumbavu.
Mkuu kama hutaki kusonywa kimyakimya inabidi kuwa lakini sana.Aaah sio vizuri hivyoooo msitufanyie hivyooo bana
Sawa ntazingatiaMkuu kama hutaki kusonywa kimyakimya inabidi kuwa lakini sana.
Kufa maana yake kuliwawangapi walishawai kufa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]usiulize vyeti vya mtoa lifti
Namba 12, mwe! du! Aiiiiiii, oshsssssss!