1.
Vita Kali Ndani Ya Chadema
Great, lakini no thank you vita vya ndani ya chama cha Chadema, sisi wananchi kama taifa ni none of our bussines, hili kama lipo kweli ni tatizo la wanachama wa Chadema, matatizo ya ndani ya Yanga na Simba, sisi taifa hayatuhusu!
2.
Jamani hii nimeipata kwenye e mail na naona inazunguka hapa sijaadd chochote nawasiliasha hoja
Quote:
Sawa sawa mjumbe hauwawi, ingawa ni vyema ukasema source yako au kama ni dataz, itaeleweka!
3.
Tarehe 11/10/2007 katika kituo kimoja maarufu cha runinga kulionyeshwa kipindi kimoja cha vichekesho ambacho sasa kimezua jambo ndani ya chama maarufu cha CHADEMA. Katika kipindi hicho, baadhi ya vitendo vichafu vya Dr. WILBROD SLAA vilianikwa hadharani. Awali watazamaji wengi hawakutilia maanani yaliyosemwa kwenye kipindi hicho kwani walidhani ni vichekesho vya kawaida. Lakini sio hivyo tena baada ya hali ya kisiasa isiyotarajiwa kufahamika ndani ya chama cha CHADEMA.
Again, matatizo ya ndani ya Chadema au CCM, hayatuhusu taifa, But, lakini wananchi at large tunaweza kuwa na best interest kama kuna ugomvi wa ndani ya chama tawala, maana kama kusingekuwepo huo ugomvi tusingejionea mkataba wa Buzwagi, jinsi tunavyoibiwa mchana kweupe, halafu pia ni hatari sana kwa mtu yoyote kufikiri kuwa nchi yetu inaweza kuongozwa kwa kutumia maigizo, kwa maneo hayo juu ina maana kuna mtu ndai ya CCM aliyeamua ku-penetrate kwenye usanii ili kupitisha hiyo agenda, kama ni kweli basi ni hatari sana kwa taifa kuongozwa kwa kutumia maigizo, I do not buy that maigizo thing!
4.
Katika siku za karibuni Dr. SLAA amejichotea sifa nyingi baada ya kutoa hadharani tuhuma alizoziita za kifisadi na kutaja majina ya watu aliowaita mafisadi. Ingawaje Dr. SLAA mwenyewe amekiri miongoni mwa marafiki zake kwamba tuhuma zake hazina hata chembe ya uthibitisho lakini amepata furaha ya mshangao kuona jinsi ambavyo tuhuma zake zimempa sifa lukuki ndani na nje ya nchi
.
Hii hoja ni a lie, tena a big lie Slaa amedanganya kwenye evidence za BOT? Kwa hiyo Coondoliza-Rice, alipomuuliza Muungwana kule DC kuwa wao State Department, wanafuatilia kwa makini the outcome ya uchunguzi wa wizi wa BOT, alikuwa akinukuuu uongo wa Slaaa? Hivi kweli unaweza kumueleza hata mtoto mdogo akaamini hii spinning? Hivi unajua Rice ana sources gani na ngapi mpaka kufikia kusema hiyo mbele ya the sitting president wetu? Huuu ni uongo wa mchana, kwenye tuhuma against Mbunge/Mwanasheria Mkono, slaa amenukuu the outcome ya uchunguzi wa kamati ya bunge, ambayo iliwakilishwa bungeni na kutofanyiwa kitu, sasa inakuwaje kuwa eti Slaa amesema uongo? Hii hoja nayo pia ni NONESENSE, waliotuhumiwa kwa nini wasiende mahakamani kama wanaamini kuwa Dr. Slaa ni muongo?
5.
Habari toka ndani ya chama cha CHADEMA zinasema kuwa ingawaje kwa juu juu MBOWE na ZITTO KABWE wanaonekana kufurahia umaarufu wa Dr. SLAA lakini wote hao wawili kwa sababu zao tofauti wameelezwa kuumia sana kwani wanaona Dr. SLAA anawapiku umaarufu wa kisiasa na kwamba huenda akaamua kugombea urais mwaka 2010 kwa tiketi ya CHADEMA. Mhe. MBOWE na ZITTO KABWE wameapa kummaliza kabla hajafika mbali. Ati MBOWE anaona Ikulu inamwita na njia ni nyeupe lakini sasa anaibuka mtu anaitwa SLAA anataka kumnyang'nya kilicho chake!
Hii kwenye taifa haituhusu, lakini logically haiwezi ku-stand, Zitto, hatakuwa na umri wa kutosha ku-full fill katiba yetu kuwa mgombea urais by 2010, Freeman, kama hii hadithi ni kweli basi alipaswa kuwa na tatizo na Ndesamburo kwanza kwenye ile ishu ya Sitta na Malima, Dr. Slaa hakuitoa hii ishu ya mafisadi peke yake, hawa watatu wamekuwa wakifanya kazi kwa pamoja na kuzunguka pamoja, kama Freeman alitaka kummaliza Slaa, njia ilikuwa ni rahisi sana yaani yeye kubana kule Hull, UK akisingizia shule, lakini that has not beeen the case, Dr. Slaa asingeweza kusimama peke yake, na ndio maana hakuitoa bungeni hii ishu, akashauriwa kuitoa kwenye public kwa kukitumia chama kizima cha Chadema, kama kweli creators wa hii article wanaaamini, hii hoja ni kweli then wanashindwa nini kwenda mahakamani?
Hapa ukweli ni kinyume, CCM chama changu ndiyo chenye matatizo ya ndani baina ya makundi yake, ambayo ndio chanzo cha Dr. slaa, kama alivyokuwa Mzindakaya zamani, kupata evidence za ufisadi, this time Mzindakaya amejiunga pia na wafisadi baada ya kukatiwa mgawo wake kule BOT, kwa hiyo kundi moja la CCM wakaamua kumpatia Dr. Slaa hizo evidence, sasa evidence ni za moto kiasi kwamba CCM hatuwezi kutafutana uchawi kwa kuogopa kutolewa data zaidi na hilo kundi, kwa hiyo dawa ni ku-divide and rule upande wa pili, it won't happen maana mimi binafsi nilifahamishwa toka last week kuwa hii article inakuja, inatengenezwa mahali flani, watuhumiwa wajibu tuhuma za Slaa, Butiku amesema, Mwinyi amesema, mabalozi wa nje hapa bongo wamesema, hawa wote hawakuuona huo uongo wa Slaaa?
6.
Ni kwa msingi huo, sasa MBOWE na ZITTO wameamua kuanika madhambi ya Dr. SLAA ili wananchi wajionee kwani wanaamini madhambi yao wao hayajulikani maana wameshatumia mamilioni ya pesa kuyazika madhambi hayo. Ili kutimiza lengo lao wameamua kusambaza baadhi ya vioja vya Dr. SLAA. Hivi wanadai ni baadhi tu kwa vile orodha ni ndefu na wataitoa kwa awamu. Wameanza na nyepesinyepesi. Haya ndiyo wameyaanika kwa sasa:
MJUE DR SLAA
Mpaka sasa SLAA hana nyumba huko Karatu, badala yake hulala kwa rafiki yake ambaye inadaiwa ni shoga.
Absolutely, none ishu kwa taifa hata kama anlala na mbuzi leave alone shoga, unless huyo shoga ni mbunge naye pia au kiongozi wa taifa then yes, otherwise hakuna ishu hapo wala hoja! Kama ni nyuma mbona kina Sozigwa, marehemu Mnauye hawakuwa na nyumba, je iliwafanya wawe viongozi wabovu kwa kutokuwa na nyumba?
7.
Tangu mwaka 1977 hadi 1991, SLAA alikuwa Padre wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu. Aliachishwa Upadre baada ya kukosa uaminifu na kuendekeza tabia ya ufuska na wake za waumini. Hali hiyo ilimpelekea kupata watoto wawili wakati akiendelea kutoa huduma za kiroho. Watoto hao ni EMILIANA aliyezaliwa 18/06/1987 na LINUS aliyezaliwa 23/09/1988. Dr. SLAA alimuoa ROSE, mmoja wa waumini wake mwaka 1991 ndipo kanisa likamfukuza Upadri. Wakati huo ROSE alikuwa mchumba wa mweka hazina wa Kanisa ambaye miaka michache baadaye alikufa kutokana na mfadhaiko. Uchunguzi umeonesha kwamba, Dr. SLAA ni fuska aliyebobea, na anayo tabia ya kufanya mapenzi na wake wa marafiki zake hata baada ya kuoa. Kwa mfano Diwani wa Kata ya Baray wilayani Karatu LAZARO TITUS MASSAY (CHADEMA) aliwahi kupeleka malalamiko katika uongozi wa juu wa CHADEMA kuhusu tabia ya SLAA ya kufanya mapenzi na wake za watu wakiwemo hata wake za Madiwani Jimboni Karatu. Aidha, tarehe 01/11/2004, SLAA alifumaniwa na mkewe katika chumba kimojawapo cha Hotel 56 mjini Dodoma akiwa anafanya mapenzi na msichana aitwaye NJARI. SLAA aliruka dirishani bila nguo na wahudumu wa hoteli wakamsetiri kwa shuka na kumficha hadi mke wake alipoondoka kwa hasira kali baada ya kupambana na wizi・wake sawasawa - tukio hilo lilinaswa kwenye mkanda wa simu ya mkononi ya mhudumu na umehifadhiwa kwa matumizi katika wakati muafaka.
Haya yote hayajahusika na kumfanya aasifanye kazi yake ya ubunge wa upinzani, na kama ni ya kweli basi aendelee nayo maana yanaweza kuwa motivation kwake kuwataja viongozi mafisadi hadharani bila woga, hata Mungu kuna wakati alimtumia a prostitute kuwaficha watu wake wasihsikwe na maadui, huenda in our case Tanzania, tunahitaji kiongozi "Fuska" wa level ya Slaa kama madai haya ni ya kweli, kutuletea ukombozi, hiii nayo pia ni hoja hafifu sana, yangekuwa ya kweli wananchi wa jimbo lake wangeshamtoa siku nyingi sana!
8.
Dr. SLAA anasumbuliwa na ugonjwa mkubwa・ Amekuwa akienda kutibiwa mara kwa mara nchini Afrika Kusini. Mwezi Oktoba hadi Desemba, 2006, SLAA alilazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam akitibwa gonjwa moja hatari sana
・
Viongozi wangapi wa CCM, wanaumwa ngoma jamani mbona nyani anajaribu kulicheka behind yake? Mpaka tuwatake majina? Mbona wanaongoza bila tatizo sasa tatizo liko wapi Slaa kuwa nao? Magic Johnson, mbna anazidi kuwa tajiri tu ndio kwanza amenunua Starbucks Coffee, kama kuwa na ngoma ni dhambi kiasi hiki kwa nini wanamuuzia? Hoja hafifu!
9.
Dr. SLAA amewahi kula mamilioni ya fedha za vilema ambazo zililetwa na wafadhili toka Ujerumani. Ushahidi upo kama atafanya ubishi.
Okay, Now this is a serious charge, Dr. Slaa anatakiwa kuijibu hoja hii kwa ushahidi lakini iwapo tu wale wanamtuhumu watatoa ushahidi kama yeye alivyoutoa wa mafisadi, ila so far haupo hakuna ushahidi zaidi ya hadithi tu! Kwa hiyo na yeye aijibu hii kihadithi hadithi tu kama ilivyotolewa, unless kuna more serious evidence!
10.
Alihongwa nyumba Ujerumani na hawara yake wa Kijerumani ambaye sasa ni marehemu na Dr. SLAA anategemea kuhamia huko. Inasemekana Dr. SLAA na hawara yake ambaye ni marehemu walishirikiana kumuua mume halali wa mama huyo aliyejulikana kwa jina la 全imbosh・
Kama kweli, basi ni ishu ya serikali ya ujerumani, na sio Tanzania au Chadema, again NONE-ISHU!
11.
Dr. SLAA alikuwa kachero wa Idara ya Usalama wa Taifa kama alivyo LYATONGA MREMA na alikuwa anaendelea kulipwa kiasi kikubwa cha fedha. Baadaye Idara hiyo nyeti iligundua fedha hizo anapeleka kwa hawara zake hivyo ikasitisha malipo hayo hali ambayo imemuudhi na akaanza kuipaka matope kwa kuituhumu na taarifa za kughushi anazodai amezipata. Vyanzo vya kuaminika vimebaini SLAA alipewa taarifa ya kughushi na akainunua kwa bei mbaya. Baada ya kubaini hivyo sasa anamsaka mbaya wake aliyemwingiza mjini.
Sijui kama aliwahi kuwa kweli agent au hapana, lakini kama alikuwa tatizo ni nini? Mbona Membe alikuwa agent na sasa ni waziri so what? Again NONE-ISHU! Wakati wa kugombea ubunge wa Karatu, kama CCM walijua hili kwa nini wasiseme kuwa Slaa ni mmuongo kwa kutosema kazi yake ya zamani? WHY now?
13.
Ujumbe huu ambao inaaminika MBOWE na ZITTO KABWE wanausambaza kwa kasi umemtia hofu Dr. SLAA kwani anajua yapo mengi yanayomhusu ambayo asingependa yajulikane. MBOWE na ZITTO wanaungwa mkono na chama cha CUF ambacho nacho kinadhani CHADEMA imekipiku katika umaarufu wa upinzani. Sera ni jino kwa jino.
JAMANI ATI HAWA NDIO WANATAKA KUCHUKUA
NCHI ・WATANZANIA TUTAFAKARI KWA MAKINI
Again kwenye hii where is an-ishu? in the whole thing kama kweli kuna ishu ya Slaa kuijibu, ni ile tu ya hela za vilema, lakini only kama kutakuwa na ushaidi zaidi ya hayo maneno tu ya mtaaani ambayo one time yalidai kuwa na Mengi naye pia alikula hela za vilema. Otherwise ningewashauri kina Slaa, waendelee na shughuli zao za kutuamsha wananchi na uozo unaoendelea ndani ya taifa letu, hii article isihusihwe kabisa na ushahidi ulitolewa na Dr. Slaaa, against mafisadi hazifanani kabisa,
Hapa ninapenda kuwaomba wale wananchi tulipo hapa forum, na ambao we are serious kuhusu mustakabali wa taifa letu, kuwa tukate hii ishu bila ya kulinganisha na orodha ya mafisadi, kwa sababu kama una akili timamu, hizi ni ishu mbili tofauti, hatuwezi kuangukia mtego wao walioiandika hii article, kutaka kulinganisha hii article na orodha ya mafisadi, not even close!
Hii nyepesi nyepesi imeandikwa na wepesi wepesi, ni nani hao? Ndugu zangu huuu uwanja sasa ni mkubwa mno kukoseshwa usingizi na this kind of article, haina facts muhimu kwa taifa letu, Pure Nonesense, kama kuna hoja ni ya hela za vilema, lakini where are the evidence?
Wakuu tufikie mahali in the future inapoletwa article kama hii tuigomee kabisa kuijibu! Tunataka ishu muhimu kwa taifa sio good kwa maigizo huko vichochoroni! Hili taifa haliwezi kuongozwa kwa maigizo, eti wananchi waone maigizo waelewe kuwa serikali yao inasema nini, THAT IS NONESENSE, maana it was os horrible hata wananchi walalhoi walishindwa kuelewa the message kwenye maigizo, lakini thank God kwamba wananchi hawa walalahoi hawakuhitaji maigizo kulelewa mkatba wa Buzwagi kuwa ni wizi wa mchana, na kwamba orodha ya mafisadi ina serious evidence, ndio maana wakawazomea viongozi wetu wa taifa, maana hawkuhitaji maigizo kuelewa kuwa kwenye mkataba wa Buzwagi, wameibiwa!
Mungu Ibariki Bongo!