Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,109
- 17,333
Mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa amesema moja ya mambo yaliyomsukuma kujiunga kufungua kesi dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ni kuwa kutokana na umri wake kama mzee ameona akikaa kimya hatokuwa ametendea haki watoto na wajukuu zake.
Soma: LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa
Amesema hayo Julai 16, 2026 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam akisema "sisi wazee tukikaa kimya nchi hii itatumbukia shimoni"