Vita Kali ndani ya CHADEMA

Vita Kali ndani ya CHADEMA

Hii Thread ingekuwa ya page 3 hadi 4 maximum, kama washabiki wa CHADEMA, wangeacha viongozi wao wajibu tuhuma zao wenyewe, sasa mang'amung'amu na maroroso ndio yamejaa humu... nadhani mujilaumu wenyewe.

Ahsante Zitto na Mnyika mnachotakiwa kuelewa ni kwamba kila kitu kilikuwa TUHUMA, ikishajibiwa mambo yakuwa swari,

Waambieni washabiki wetu kwamba munkari wao watafanya tuamini hiki chama MAKINI kiko kama kile cha Ngangari na Ngunguri,,, nadhani mngetusaidia kama mngekuwa wakati mnahariri majibu yetu kutuambia kwa ufupi tu kwamba tunaandika/engineer majibu subiri kidogo tunaleta, hivi kungesaidia watu wasilete za kuletwa...

Katika nchi hii bwana ukiwa sio shabiki wa upande wowote unaona mengi sana, kuliko ukiwa ndani! kwenye Ufisadi utaona, kwenye kutafuta umaarufu utaona... etc. etc.

Mnyika,Zitto, CHADEMA mnaweki as a team eeeh, tumesikia ole wenu siku mje hapa mtuambia ooh, yule, yeye, aaaa, ahaaa!!!

Admin; acha upupu wao ubaki hapa ili wajifunze siku nyingine kutofanya utani na mambo ya uongozi na viongozi ukitaka jamii isijue maisha yako, nenda kalime mtama!!! au kuwa mfugaji wa bata mzinga kama mimi!
 
Wewe Kilitime,

Wenzako wametaka haya yaishe lakini wewe unayaendeleza. Nyie
ndio mnaharibu chama. Wewe nawe (kama mimi pia na wengine hapa)umechangia sana kuendeleza hii topic. Acha yaishe na usitake kuifanya personal. Ukweli tu hii kama ni kampeni ya wana ccm dhidi ya chadema basi waliofanya hiki wameharibu sana na sasa wamezidi kuwapatia wapinzani credits maana wao wataonekana kuwa wanaongea mambo ya nchi na sisi tunaongea mambo binafsi.

Hizi mbinu za kitoto na za kipuuzi inabidi zikemewe. Acheni upuuzi kwani mtaua chama! Hii topic ikikaa hapa kisha hao unaotaka waone upupu watapungukiwa nanini zaidi tu ya kuzidi kuonyesha udhaifu wa ccm?
 
ushaanza mambo yako ya utani kwenye issuez nzito. lini utakua wewe! watu wengine bwana!

Masaka,

Karibu sana. Humu kuna watu kibao, wengine hawana tofauti na hao wanaosign mikataba.

Huyu Demu anachanganyaga mambo, sometimes anaongea point sometimes anaongeza posts tu na mwenzie Kada mpinzani.

Ila hili ni jahazi kubwa wote TU ABIRIA, hatuwezi kumtosa abiria mwenzetu baharini, ana mazuri yake humu lakini ndio hivyo!
 
Yoooh,
Soma tena ulicho andika hapo juu, unaongea nini wewe? mbona unajichanganya sana......?lazima utakuwa umedata flani hivi!!. Yaani ktk siasa zote za dunia hii wewe umeziona za kenya!!!??? ama kweli kazi ipo.

Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Aisee natuma medical bill uilipie kwa kunivunja mbavu!
 
Hii Thread ingekuwa ya page 3 hadi 4 maximum, kama washabiki wa CHADEMA, wangeacha viongozi wao wajibu tuhuma zao wenyewe, sasa mang'amung'amu na maroroso ndio yamejaa humu... nadhani mujilaumu wenyewe.

Ahsante Zitto na Mnyika mnachotakiwa kuelewa ni kwamba kila kitu kilikuwa TUHUMA, ikishajibiwa mambo yakuwa swari,

Waambieni washabiki wetu kwamba munkari wao watafanya tuamini hiki chama MAKINI kiko kama kile cha Ngangari na Ngunguri,,, nadhani mngetusaidia kama mngekuwa wakati mnahariri majibu yetu kutuambia kwa ufupi tu kwamba tunaandika/engineer majibu subiri kidogo tunaleta, hivi kungesaidia watu wasilete za kuletwa...

Katika nchi hii bwana ukiwa sio shabiki wa upande wowote unaona mengi sana, kuliko ukiwa ndani! kwenye Ufisadi utaona, kwenye kutafuta umaarufu utaona... etc. etc.

Mnyika,Zitto, CHADEMA mnaweki as a team eeeh, tumesikia ole wenu siku mje hapa mtuambia ooh, yule, yeye, aaaa, ahaaa!!!

Admin; acha upupu wao ubaki hapa ili wajifunze siku nyingine kutofanya utani na mambo ya uongozi na viongozi ukitaka jamii isijue maisha yako, nenda kalime mtama!!! au kuwa mfugaji wa bata mzinga kama mimi!

i co-sign you ! am with you 100%-10,000,000,000,000% MKUU !!

politics is a mirror, talking sh!t and smearing campaigns while themselves are even more dirty !

wangejibu viongozi na sio washika dau !umeongea mengi mazuri na nakupongeza kwa hayo !
 
Masaka,

Karibu sana. Humu kuna watu kibao, wengine hawana tofauti na hao wanaosign mikataba.

Huyu Demu anachanganyaga mambo, sometimes anaongea point sometimes anaongeza posts tu na mwenzie Kada mpinzani.

Ila hili ni jahazi kubwa wote TU ABIRIA, hatuwezi kumtosa abiria mwenzetu baharini, ana mazuri yake humu lakini ndio hivyo!

mie sina mwenza hapa bana ! kuongeza post ili iweje wakati watu saa nyingine wanahave fun mzee, si unajua watu wakikomaa hapa weee hadi kunaboa, ili kufurahisha barza binafsi naamua siku moja moja kujitoa mhanga ! lakini sio kuongeza post, kama kuongeza post mkuu trust me, up to now ningekuwa nazo nyingi tu, maana naweza nikaenda kwenye thread yoyote ile na kuandika chochote ! so kuhusu kuongeza posts you can count that out ! haya babu miiiiida basi mie nakula kona !
 
Hivyo ni kweli unasema namimi itabidi nisubirie nijionee kwa macho yangu ingawa hata mimi naona kuwa wanaoshabikia chadema ni wengi mno hapa kuliko wanaccm.

Hata hivyo hiyo siyo sababu ya kushabikia vitu vya kipuuzi kama hii email ambayo sio tu inaongelea mambo ya binafsi bali pia mambo ambayo kuna uwezekano mkubwa sio yakweli. Ukifanya hii iwe ndio msimamo wa chama basi unafanya wanaccm wote wenye elimu na akili za kufikiri waonekane wapuuzi tu kama mwandishi wa hii email. Wasomaji wa forum ni wasomi kwa hiyo kama una nia ya kupata wafuasi zaidi wa ccm ambao ni wasomi ni juu yetu wanaccm kutumia hoja na sera zaidi ya mambo ya kitoto kama yaliyosemwa kwenye hii email.

Asante kwa ushauri.

Masaka,

UMEKOSEA SANA, wana CC humu ni sawa na wana chadema labda. Mimi ni CCM damu, wanaonijua in real life wanajua. Sema wengi humu HAWANA VYAMA, NA WENGI WANAISHI UGHAIBUNI. Wapo critic kwasababu wanaona best practices huko nje, yaani wapo exposed kuliko watanzania wengi waliopo humu Tanzania.

Nadhani ulifikia conclusion mapema kabla hujachunguza.

Asante
 
FD,

mambo yako marahisi sana! wanaopendelea kusema fulani CCM na fulani CHADEMA, mara nyingi ni kwa kuwa wameishiwa na hoja tu, kwa kuwa kwani mwana-CCM na mwana-CHADEMA hana yaki ya kutetea nchi yake, tunachokataa hapa ni too much ushabiki wa hivi vyama viwili, wewe endelea na uawanachama wako wa vyama lakini ikija hoja stiki tu it,kama imeelekezwa kwenye chama wacha wenye mamlaka wajibu especially kwa kuwa wengine wapo, mambo ya ooh, umetumwa, eeh wewe hujaaingia kwenye tireni ya mapambano ya fikra etc, wewe sijui nini, ni unazi.

Tungestiki kwenye hoja, i don't care kama unatoka CCM au CHADEMA au TLP etc...tuongelee mambo ya kitaifa kwa mustakabali wa taifa, otherwise kijiwe kisijekuwa kama cha GAHAWA

Tatizo hapa mashabiki wa CCM na wa CHADEMA wanatuharibia kijiwe!!!
 
Mnyika unatuchanganya na maneno mengi. Umezungumzia ishu ya kwamba unamjua mtu anayekuchafulia jina ambaye naye yuko kweye list ya "maSHAME", mi nadhani ungemweka hadharani tu. Sioni sababu ya kumtomsema kwani tayri yuko kenye list na itakuwa UZUSHI au UNAFIKI kutomtaja. HAKUNA SIRI TENA SASA HIVI, WATU TUIMESHAPAGAWA
 
Baada ya Dr.Slaa kutaja majina ya Mafisadi 11 mwaka 2007 na kupata umaarufu mkubwa mtu anayejiita Mtoto wa Mkulima tarehe 15 October 2007 alipost post hii hapa JF

Sasa wanajitahidi kufanya hivyo kwa Zitto katika hili swala la Ruzuku kukaguliwa. CHADEMA Umoja ni Nguvu
 
Mengine sina uhakika nayo lakini ya hotel 56 ninapigia mstari chwaaaaaaaa!!!!
 
Hiki Chama kumbe kilikufa siku nyingi hivyo? sasa hapa wanatafuta kaburi la kuzikia tu.
 
Wewe Kilitime,

Wenzako wametaka haya yaishe lakini wewe unayaendeleza. Nyie
ndio mnaharibu chama. Wewe nawe (kama mimi pia na wengine hapa)umechangia sana kuendeleza hii topic. Acha yaishe na usitake kuifanya personal. Ukweli tu hii kama ni kampeni ya wana ccm dhidi ya chadema basi waliofanya hiki wameharibu sana na sasa wamezidi kuwapatia wapinzani credits maana wao wataonekana kuwa wanaongea mambo ya nchi na sisi tunaongea mambo binafsi.

Hizi mbinu za kitoto na za kipuuzi inabidi zikemewe. Acheni upuuzi kwani mtaua chama! Hii topic ikikaa hapa kisha hao unaotaka waone ----- watapungukiwa nanini zaidi tu ya kuzidi kuonyesha udhaifu wa ccm?

Acha kufifisha demokrasia huwezi kuzuia mtu asitoe mawazo eti kwasababu akifanya hivyo hii topic itaendelea kuwepo,
kama ni ya uongo au uzushi wewe hofu yako ni ya nini?
 
maccm wajinga sana unapoteza muda wako kuandika pumba
 
Baada ya Dr.Slaa kutaja majina ya Mafisadi 11 mwaka 2007 na kupata umaarufu mkubwa mtu anayejiita Mtoto wa Mkulima tarehe 15 October 2007 alipost post hii hapa JF

Sasa wanajitahidi kufanya hivyo kwa Zitto katika hili swala la Ruzuku kukaguliwa. CHADEMA Umoja ni Nguvu
Naona unamtetea marehemu chadema
 
Back
Top Bottom