Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 744
Hii e mail ni uoza.
Naipuuza kwa staili ya Kingunge.
Naipuuza kwa staili ya Kingunge.
Kuna Mambo tunajidanganya sana, hata hapa Tanzania, mapinduzi ya kilimo yataletwa na matajiri wa ndani wachue ardhi kubwa waanzishe mashamba makubwa,,, walizishe kwa ajili ya akiba ya ndani na wa-export.
Hata tukipeena kila moja ekari sawa,,, kwa ukulima wa kifamilia na ekari zake 2 au tano, hatuendi popote...
Issue ni kwamba watu wawe matajiri, mambo yawe kwenye mfumo wa wazi wa uchumi, kodi zilipwe,,, kazi ziwe kwa ajili ya watanzania zaidi then we are done...
Ilikuwa ni ujinga kupiga makelele at Waziri Mkuu mstahafu ana ekari mia mbili, kwani ni mapori mangapi hayana watu sasa hivi...
Tujadili hoja, lakini mengine, utaelewa ukivua hilo pazia machoni/mbeleni mwako!!!
Kwa taarifa yako, they are matured in politics than we do!!! kama huamini sio tatizo langu kaka yangu lakini mwenye macho haambiwi ona,,, suala la katiba walivyofanya, issue ya economy kwenda mbele 7%
Mambo ya mawasiliano,,, unajua wanafanya connection na Uarabuni kwa kutumia fibre,,, baada ya nchi kama Tanzania, SA etc... kuwa na mwendo wa kinyonga...
Wenzetu wamekomaa,,, wanauwezo wa kukataa wanasiasa wa chama tawala na wa upinzani kwa hoja pia,,, mapungufu yapo ya ukabila lakini sio makubwa sana.
KadaMpinzani,
sio wana ccm wote tunakubaliana na huu upuuzi mnaojaribu kuuweka hapa. KUna vitu vingine viko chini ya uwezo wa kawaida wa elimu na kufikiri. unaweza kuendelea kutetea hili kama mtu binafsi lakini kujiita mwanaccm huku ukitetea upuuzi wa hii email ni aibu na kashfa kwa chama
sitokulaumu simply because hujui ninachosimamia, nini msimamo wangu from the beginning, nini kilichonifanya nijiunge JF, mtazamo wangu juu ya vyama vya siasa tz, watu (chadema) kupaka matope viongozi wa ccm kusikokuwa na sababu za msingi, kama kweli ungejua huo msimamo wangu nadhani leo hii usingeandika ulichoandika kuhusu mie, nadhani umekuja kuona maneno yangu meeeengi baada ya hii email ndio maana unasema hivyo !
lakini nakusihi kaa kwa makini, chunguza mambo mwenyewe yanavyoenda hapa Forum, then utajua ninachoongelea !
am not here to tell you to believe in what am saying, but observe yourself na utaona ninachoongelea !
hata mie nilikuwa kama wewe mwanzo lakini utaona tu mwishowe treni lilivyopindishwa hapa na kuelekea upande mmoja !
Hivyo ni kweli unasema namimi itabidi nisubirie nijionee kwa macho yangu ingawa hata mimi naona kuwa wanaoshabikia chadema ni wengi mno hapa kuliko wanaccm.
Kweli tuna kazi kubwa kufikia malengo ktk mchakato huu wa kima pambano ya kifikra. Mapambano yaliyojikita ktk kutazama upande mmoja tu kwa ukosoaji.
Dr Slaa ni mwanachama hapa JF kama alivyo Zitto, kwa mtaji huo basi Mh. Zitto nadhani itakuwa ni jambo la busara kama utawasiliana na bosi wako Slaa ili aje atimize wajibu wake kama mwana JF kuweka wazi haya masuala.
Kinachoonekana hapa ni kutolewa majibu myepesi kutoka kwenye maswali magumu kama kawaida yetu jambo lipohusu maadili ya viongozi wa upinzani hususan Chadema.
Labda niseme tu kuwa suala hapa sio source ya hiyo document, suala ni contents zilizomo ndani ya Doc, badala ya kujadili contents tuna mnashambulia alie leta hilo doc na wengine wana enda mbali na conclude kuwa ni njama za CCM. Mbona lilipoletwa Doc la BOT na la Maliasili yote (hayakuwa na source bayana) tulishabikia na kuanza kujadili na ndio imepelekea leo tuna "list of shame" Nani kati yetu ali hoji chanzo cha BOT Doc? Lakini ukirudi na kuangali kwa makini source zake ni hizi hizi za ki-anonymous na tupo willing kujadili kwa kina. Vipi leo hili la Slaa tunapatwa na kigugumizi?
Kwa mwendo huu soon JF tutakuwa/tushakuwa wasanii kuliko hao tuwao wapiga vita
LETS DISCUSS CLEAN POLITICS BY BASING BOTH SIDES, RULING PARTY AND THAT OF THE OPPOSITION. na sio kuangalia upande mmoja tu !!
Asanteni!
Hapana. Mimi sidhani kama wengi wanashabikia Chadema. Ila Chadema kinaonekana kupita katika mstari wa matarajio ya wengi. Kwa hilo, wanatoa matumaini....sio kama CCM ambao wanatuburuza.
Ndio Kada huwezi kuwa na clean politics kama nawewe unacheza mchezo mchafu kama wa hii email. Kama unataka viongozi wote wa ccm na upinzani wachunguzwe ni vizuri kuja na hoja na sera sio kuzusha mambo kuwa fulani ni mgonjwa, au shoga, nk. hii haitusaidii wanaccm kama vile isivyowasaidia wapinzani.
Kushabikia hii email ni makosa na inabidi isichukuliwe kama wanaccm wote tunaungana na huu upuuzi. Kama ni clean itabidi ianze na wewe mwenyewe kabla ya kutaka wenzako wawe clean.
Asante
Hapana. Mimi sidhani kama wengi wanashabikia Chadema. Ila Chadema kinaonekana kupita katika mstari wa matarajio ya wengi. Kwa hilo, wanatoa matumaini....sio kama CCM ambao wanatuburuza.
Mkuu, wewe kaa tu angalia wanaocheza ! sasa mambo ya kuendorse wapi tena ! kweli mzee maneno yako yamekamilisha nilichokuwa nafikiri !
Hapana. Mimi sidhani kama wengi wanashabikia Chadema. Ila Chadema kinaonekana kupita katika mstari wa matarajio ya wengi. Kwa hilo, wanatoa matumaini....sio kama CCM ambao wanatuburuza.
Lakini mimi kama mtanzania huru, nitapenda kusema tena na tena,,, kwamba mtoa mabomu kwangu ni jambo jema, lakini sio sababu ya mimi kukuita kiongozi mzuri!!!
Ndio maana sitawahi kuamini Lyatonga ni kiongozi mzuri,,, hata siku moja,,, lakini nitaendelea kumheshimu Sana Mbowe, Zitto na Slaa kwa uzalendo wao in that order
JibuLabda nikuulize swali dogo kilitime na una kila sababu ya kujibu au kutokujibu.
1. Bila zitto kuweka bungeni issuee ya Buzwagi (kutoa mabomu kama unavyoita wewe), je ni watanzania wangapi wangeyajua yaliyosainiwa na Karamagi huko London?
,,, hata siku moja,,, lakini nitaendelea kumheshimu Sana Mbowe, Zitto na Slaa kwa uzalendo wao in that order
Mama,,, Mama nani kakuambia nimelazimishwa,,, unaweza kujaribu kidogo kuheshimu mawazo, imani ya mtu, hata kama hupendi iwe hivyo!!!Kuna sehemu yoyote hapa JF umelazimishwa kumuamini Lyatonga au anybody in this case?
Mama,,, Mama nani kakuambia nimelazimishwa,,, unaweza kujaribu kidogo kuheshimu mawazo, imani ya mtu, hata kama hupendi iwe hivyo!!!