Vita Kali ndani ya CHADEMA

Unajua kama ni mwanafunzi huwa wanashauliwa"answer what you are required by the question but not everything that you know which will automatically be nonsense"
Issue apa ni masuala mazito ya kitaifa ambayo Slaa amaeyaraise sasa kumcrash kwa kutumia private affairs zake ni kushiwa kifikra na hoja as well.
Nina wasiwasi na iyo mail isije ikawa imepandikizwa!!!!!!!!!!!???????.
 
katika siasa mara nying watu wakishindwa ku-discret hoja, hukimbilia ku-discret namna hoja ilivyotolewa, na hiyo pia ikishindikana huishia ku-discredit mtoa hoja. vibweka binafsi vya dr slaa is not news! kila mwanasiasa indeed all of us we have 'skeletons in the cupboard'.

bado ukweli uko pale pale. dr slaa katika taarifa yake ya kuwafichua mafedhuli hakuna jipya alilolionyesha. already it was public knowledge. alichokifanya ni kuyapa madai hayo msukumo wa kisiasa kwa vile taasisi zetu za kushughulika na ufedhuli 'ziko impotent kabisaa' na tusitegemee serikali na chama tawala kufanya uchunguzi wowote wa maana kuhisiana na hizi tuhuma za ubadhirifu.

ndio maana tunaona hizi 'diversions' to get us to focus on the personal life of dr slaa. well issue bado ni ile ile. we want see all those mentioned in the list of shame suspended, have them investigated (ushahidi upo..this is just due process), prosecute them and lock them up for good. meanwhile freeze their assests (wake zao, watoto na shemeji zao and business associates..nobody should benefit from theft/defrauding public property!) and recover such properties including monies held in overseas accounts!

over to you Jakaya. Do the right thing! but for a start get yourself a 21st Century political guru to advise you. send Kingunge on compulsory retirement..(year should have gone when JK senior retired in 1985!). oh one more..get TAKUKURU off the backs of your or EL's political opponents. We should not waste vital national resourses 'kuchunguza rushwa za pilau na vitenge'.
 
Wana JF,

Nimesoma majibu ya wanajambo kwa hoja iliyotolewa kuhusiana na uzushi wa maisha ya Dkt. Slaa. Mimi binafsi nilijua haya masuala ya uzushi yatatokea kwani ndio umekua utamaduni wetu kisiasa hapa tanzania. Yalitokea kwa Kambona, Bibi Titi na baade akina Mrema. Slaa, Zitto, Mbowe, Mnyika etc hawatapona katika siasa hizi za kipuuzi kabisa.

Mambo haya yaliyoandikwa juu ya Dr. Slaa ni uzushi ambao hata haiingilii akilini kwa mtu mwenye akili kuanza kujibu. Unajibu nini jamani?

Sisi CHADEMA tunaongoza kama timu. Hatuna la kuoneana kijicho kuhusiana na umaarufu wa yeyote. Kazi ambazo viongozi wetu wanafanya ni kwa niaba ya nchi na ili kuiweka nchi yetu pazuri tunaimarisha chama chetu.

Dkt. Slaa aliacha Upadre kwa taratibu zote za kanisa katoliki na kupewa kibali kutoka Vatican. Wanaosema kafukuzwa, kirahisi tu hawajui wasemacho.

Dkt. Slaa mpaka hapa tunapozungumza ni mjumbe wa bodi ya Tanzania League of the Blind. Pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya CCBRT. Kama aliiba huko angekuwa amefukuzwa!

Mimi ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, mahusiano ya Dkt. Slaa na Lazaro Masay ni mzuri mno na hakuna dalili zozote ati kuwa Dkt. Slaa kachukua mkewe nk.

Ninavyojua mimi Dkt. Slaa hana ambition za Urais. Honest person doing his work. Mbona watu wanaweweseka sana na Urais ujao? Maana kitu hii inazuka sana, mtu akifanya kazi yake, anataka Urais........ mchecheto huu ni wa nini?

Mimi nadhani tuangalie masuala ya msingi zaidi yanayohusu nchi yetu..... Ufisadi unamong'onyoa taifa letu. Juhudi za kuchafua viongozi wa upinzani haziaidii kuliendeleza taifa letu

Kada Mpinzani upo hapo?
 
Haya yanayoendelea hapa ni maendelezo tu ya Kikwete,Lowasa, na mkoloni Rostam Aziz katika kuwachafua wapinzani wao kisisiasa.

The same game ilitumika dhidi ya Dr Salim, Waryoba, Sumaye, Kigoda, na wengine wengi ccm na wakafanikiwa.....
walivyoona mambo yamewafikia shingoni... wamerudi kwenye mchezo wao mchafu ambao nia kubwa ni kupata utajiri na madaraka kwa njia yoyote ile inayowezekana...

Mimi binafsi sikuwalaumu the comedy walivyonasa kwenye mtego wa Rostam Aziz... kama watu mahiri kama Rweyemamu, Shoo na wengine walinasa kwenye mtego wa Rostam ije kuwa the comedy!

tatizo ni kuwa this time wamekosea... wananchi wa leo sio wale wa mwaka 1995-2005. Hali ya maisha imekuwa ngumu sana na mfumuko wa bei unatisha na maisha yanazidi kuwa magumu... hata kama wakitumia wanamuziki wooote Tanzania watachemsha...

Kikwete.....nchi imekushinda.... afadhali uondoke tu usipeleke nchi kwenye vita na machafuko... kwa ubovu wako huu
 
Naona kila mti wanaoshika unateleza. Walianza kwa kumtumia Kingunge, akawa kama amerushiwa kinyesi, maskini akachafuka kwa kiwango asichoweza kusafishika tena. Akaja Warioba, ndio kabisa akawa kama amerushiwa jini la uchizi na sasa heshima yake katika jamii imeingia utata wa kuogopesha na hajui atokeje. Wakawatuma mawaziri kila kona ya nchi wakazomewa na aibu zikawajaa na sasa nasikia wanalalamikiana kwa kukubali kufanya hiyo political strangling. Na sasa wameamua kuwatumia Ze Commedy ambao naowamejiingiza kwenye mtego mbaya wa kuua soko lao milele!

Huyu naye aliyetunga na kuleta email hii hapa bila shaka kama alikuwa anatest zali ameshajua kuwa hili la ufisadi hakuna njia ya kulificha. Kama ni Slaa kuacha upadri watu waliyajua hata kabla ya kuwa mbunge na kutoa hizo tuhuma za ufisadi, lakini watu walimskiliza kwa kila alichoeleza na wala hawataacha kuzingatia uzito wa yale aliyewaeleza eti kwa kuwa aliacha upadri, n.k.

The bottom line: palipo na ukweli, uongo hujitenge. Kwa hili la Slaa ukweli upo uwazi, na kila aina ya uongo na uzandiki utashindwa kabla hata ya kuanza kutolewa!
 
Tatizo la nyani kushindwa kushika miti sawa sawa siku yake inapofika si kwa sababu amekosa ufundi au hana uzoefu.. tatizo ni kuwa "miti huteleza"...! Sasa CCM wanajaribu pa kushikilia sasa hawana.. waliziacha fikra za Mwalimu sasa hawana cha kushikilia na hivi karibuni mtaona watakavyoanza kutafunana na kulaumiana..
 
Hizo pesa za walemavu alizokula mbona hatukuwahi kusikia?Kama habari huzi zingelikuwa kweli jua kwamba kanisa lisingekaa kimya,lingemfukuza na pia kumfungulia mashtaka.Midhali hiyo haijatokea,na mwandishi anadai kwamba yalitokea kitambo,ndo sasa ugundue kwamba huu ni uzushi na utumbo ambao umelenga kumchafua Mzalendo Dr.Slaa.
Hii story nzima ni uzushi mtupu na sidhani kwamba kuna mtu atakayeiamini habari hii.
 
Mjue kwamba hizo ndo siasa,wengine wanakuwa maarufu kupitia migongo ya wenzao,wengine wanaporomoshwa toka juu hadi chini kwa kuundiwa kashfa kama hizi."Politics is a dirty game".Na hawa sasa wanataka kumwangamiza Dr.Slaa kwa hili,ila Wabongo siku hizi wako macho,hawadanganyiki tena.
 
Huu Ni Utumbo Tu Unaosambazwa Kwa Makusudi Na Watu Wenye Ubia Na Mafisadi.kwanza Nani Kawambia Kwamba Dr.slaa Kuwaumbua Hadharani Mafisadi Anataka Urais? Mbona Candidates Wapo Wengi Tu?.
Hiyo Source Ya Huu Utumbo Utafute Mbinu Nyingine,hii Haitafanikiwa,atashambulia Wangapi? Ameanza Na Slaa Atakuja Kwa Akina Zito,butiku,mzee Mwinyi N.k Ataweza Wote?kwanza Sasa Hivi Tunashughulikia Maslahi Ya Taifa (list Of Shame).
 
aaaah wasee,

Hivi nani si fuska huko Tzania?. Kwani kuwa na rafiki shoga ni dhambi?....nadhani hiyo ni plus kwa upande wake, kwamba si mbaguzi kwa watu ambao sexual orientation zao sio mainstream,nampa dole gumba hapo!!. Kama yeye pia ni shoga so what??, hilo ni suala lake la kitandani halihusiani na yeye kuwa kiongozi mzuri au mbaya. ktk dunia hii hatakuwa kiongozi wa kwanza kuwa gay, mfano Abe(Abraham)Lincoln kuna story alikuwa gay...lakini kila mmoja wetu anajua nini alifanya wakati yupo kwa ofisi!!! Ninayo mifano mingine including one of the papaz in mediocre time.......hivyo issue ya u-gay out of the window!!!.
Kwani Slaa yeye ndio padri wa kwanza kula uroda na waumini?? sio wa kwanza na sidhani kama hiyo tabia imekwisha...hivyo hiyo nayo si point.
Hiyo story imejaa udaku na upuuzi ulovuka mipaka, ipo intended kusababisha ugomvi kati ya hao mabwana watatu. i hope kwamba ni smart enough kulijua hilo na kuendelea kuaminiana ktk hii fight ya kutokomeza ufisadi.
 
Kilitime,

Naona unaanza kuishiwa ndugu yangu..

Nduguyo

Tehe tehe tehe,,, FD, Mimi siwezi ishiwa nguvu labda siku uzalendo wako utapokuwa umeondoka ambao sio leo au kesho!!!


Kwa bahati mbaya mimi siye yule ninaye amini kuwa kila mtoa mabomu ni kiongozi mzuri, au kila mkosoaji ni kiongozi mzuri, wakati mwingine kuna mtu ni mzuri kwenye kukosoa tu! mimi nampima kiongozi kwa mambo mengine zaidi, na kwa mwana siasa ambaye pia siasa ni ajira yake kwangu ni sawa sawa na fisadi tu!

Thus why mimi ni mpenzi wa siasa za Kenya sana.

Tunaangalia mambo kwa mapana yake, na tunapenda haki itendeke na ionekane kama inatendeka!!!
 
Tehe tehe tehe,,, FD, Mimi siwezi ishiwa nguvu labda siku uzalendo wako utapokuwa umeondoka ambao sio leo au kesho!!!


Kwa bahati mbaya mimi siye yule ninaye amini kuwa kila mtoa mabomu ni kiongozi mzuri, au kila mkosoaji ni kiongozi mzuri, wakati mwingine kuna mtu ni mzuri kwenye kukosoa tu! mimi nampima kiongozi kwa mambo mengine zaidi, na kwa mwana siasa ambaye pia siasa ni ajira yake kwangu ni sawa sawa na fisadi tu!

Thus why mimi ni mpenzi wa siasa za Kenya sana.

Tunaangalia mambo kwa mapana yake, na tunapenda haki itendeke na ionekane kama inatendeka!!!

Yoooh,
Soma tena ulicho andika hapo juu, unaongea nini wewe? mbona unajichanganya sana......?lazima utakuwa umedata flani hivi!!. Yaani ktk siasa zote za dunia hii wewe umeziona za kenya!!!??? ama kweli kazi ipo.
 
Kiltime said:
Thus why mimi ni mpenzi wa siasa za Kenya sana.

Rafiki yangu moja wa Kenya alinitonya kwamba rais aliyestaafu Mzee Moi ana ardhi kama hekari 500,000. Sasa kwa kiongozi wa nchi kuwa na ardhi kubwa namna hiyo iliniogopesha sana ukitilia maanani Kenya tunaambiwa kuna uhaba wa ardhi. Mkiwa na 100 Moi's hizo ni ekari 50,000,0000 (50 million) na nchi yenyewe ina watu wangapi sijui?

Mimi nafikiri wanaoshambuliwa watakuja kujibu mapigo wenyewe kwa sababu ni members hapa.
 
Mengi yaliyoelezwa humu ni maisha binafsi. Inanikumbusha mwaka 2005 wakati wa kampeni. Magazeti yalivyokuwa yakiiandika "Ohh fulani ana HIV/AIDS n.k. lakini watu walijua hiyo ni private life. Heri mgonjwa mwenye mdomo wa kutetea walalahoi kuliko mwenye akili timamu lakini MFISADI anayesababisha kuangamia kwa watoto through still birth, hospital kukosa madawa, barabara mbovu(ajali kuzidi) na watoto kukosa elimu bora (no maabara, no textbooks) coz of MAFISADI. I kindly request JF to focus on UFISADI, CCM should not misdirect the facts through well cooked claims.
 
watu wanataka kupaka viongozi wa taifa/ccm mavi kama akina jk, el, n.k tunafahamu wana mabaya yao lakini wapi watu wanapata idea ya kusema hii kitu inafanywa na hao viongozi ?

this is a shame, na udaku wa hali ya juu !
 
Yoooh,
Soma tena ulicho andika hapo juu, unaongea nini wewe? mbona unajichanganya sana......?lazima utakuwa umedata flani hivi!!. Yaani ktk siasa zote za dunia hii wewe umeziona za kenya!!!??? ama kweli kazi ipo.

Tujadili hoja, lakini mengine, utaelewa ukivua hilo pazia machoni/mbeleni mwako!!!


Kwa taarifa yako, they are matured in politics than we do!!! kama huamini sio tatizo langu kaka yangu lakini mwenye macho haambiwi ona,,, suala la katiba walivyofanya, issue ya economy kwenda mbele 7%

Mambo ya mawasiliano,,, unajua wanafanya connection na Uarabuni kwa kutumia fibre,,, baada ya nchi kama Tanzania, SA etc... kuwa na mwendo wa kinyonga...

Wenzetu wamekomaa,,, wanauwezo wa kukataa wanasiasa wa chama tawala na wa upinzani kwa hoja pia,,, mapungufu yapo ya ukabila lakini sio makubwa sana.
 
watu wanataka kupaka viongozi wa taifa/ccm mavi kama akina jk, el, n.k tunafahamu wana mabaya yao lakini wapi watu wanapata idea ya kusema hii kitu inafanywa na hao viongozi ?

this is a shame, na udaku wa hali ya juu !

KadaMpinzani,

sio wana ccm wote tunakubaliana na huu upuuzi mnaojaribu kuuweka hapa. KUna vitu vingine viko chini ya uwezo wa kawaida wa elimu na kufikiri. unaweza kuendelea kutetea hili kama mtu binafsi lakini kujiita mwanaccm huku ukitetea upuuzi wa hii email ni aibu na kashfa kwa chama
 
Rafiki yangu moja wa Kenya alinitonya kwamba rais aliyestaafu Mzee Moi ana ardhi kama hekari 500,000. Sasa kwa kiongozi wa nchi kuwa na ardhi kubwa namna hiyo iliniogopesha sana ukitilia maanani Kenya tunaambiwa kuna uhaba wa ardhi. Mkiwa na 100 Moi's hizo ni ekari 50,000,0000 (50 million) na nchi yenyewe ina watu wangapi sijui?

Mimi nafikiri wanaoshambuliwa watakuja kujibu mapigo wenyewe kwa sababu ni members hapa.


Kuna Mambo tunajidanganya sana, hata hapa Tanzania, mapinduzi ya kilimo yataletwa na matajiri wa ndani wachue ardhi kubwa waanzishe mashamba makubwa,,, walizishe kwa ajili ya akiba ya ndani na wa-export.

Hata tukipeena kila moja ekari sawa,,, kwa ukulima wa kifamilia na ekari zake 2 au tano, hatuendi popote...

Issue ni kwamba watu wawe matajiri, mambo yawe kwenye mfumo wa wazi wa uchumi, kodi zilipwe,,, kazi ziwe kwa ajili ya watanzania zaidi then we are done...

Ilikuwa ni ujinga kupiga makelele at Waziri Mkuu mstahafu ana ekari mia mbili, kwani ni mapori mangapi hayana watu sasa hivi...
 
Tujadili hoja, lakini mengine, utaelewa ukivua hilo pazia machoni/mbeleni mwako!!!


Kwa taarifa yako, they are matured in politics than we do!!! kama huamini sio tatizo langu kaka yangu lakini mwenye macho haambiwi ona,,, suala la katiba walivyofanya, issue ya economy kwenda mbele 7%

Mambo ya mawasiliano,,, unajua wanafanya connection na Uarabuni kwa kutumia fibre,,, baada ya nchi kama Tanzania, SA etc... kuwa na mwendo wa kinyonga...

Wenzetu wamekomaa,,, wanauwezo wa kukataa wanasiasa wa chama tawala na wa upinzani kwa hoja pia,,, mapungufu yapo ya ukabila lakini sio makubwa sana.

Mwaka huu tutatea chama na sera na sio vitendo
 
Jamani mwaka huu Bomu lililotua SISIEMU mimi sijawahi kuona ni la mwaka.

Sasa hivi ni mshike mshike ni kukimbia tu. Nina wasiwasi kuna hatari kama hali itaendelea hivi kwa wiki moja tu watu tutakimbiana.

Jamani kazi ni kazi, kaza uzi mwendo mdundo jahazi linazama.

hahahahahah, sikutegemea kama kuna siku itafikia hapa tumefika pazuri leteni mabomu mengine.

Wamekosa dira, muda sio mrefu watabwaga manyanga.
 
Back
Top Bottom