Visa vya Uchawi na Ushirikina Mkoani Kigoma Mwisho wa Reli

Ipo miiko mingi kutofautina na mganga na kizimba alichochanganyia dawa yake mwiko maarufu sana ni kuacha kutiana porini na kutiana na ke ambae yupo kwenye siku zake,
Kwangu nilikalia kinu na kula mboga zenye asili ya kamba ikawa nimedhoofisha kinga
Hiyo miiko ni karibia kwa dawa zote za kigoma.
 
Huyo mjinga alie komaa na jina la diwani uko juu si muachane nae tu thread nzima imejaa diwani diwani ata kama ni story za kutunga kikubwa siku iende.kuamini au kutoa kuamini iyo ni kazi ya msomaji
 
Kuanzia hiyo Kalya mpaka Kapalamsenga ni ngumu kuipata,miaka ya 2000 mwanzoni nilisikia labda maeneo ya Mwese ila napo ni kubahatisha
Shida kuu ni miiko yake inakinzana sana na hii modern Life hivyo kufanya hata waganga waogope kuitoa
Nenda ikola huko vidono na vinkuti ni Kijiji kizima
 
Au, tukimchukua babu wa babu wa babu wa babu yako aliyezaliwa miaka zaidi ya 140 iliyopita, ukamleta leo aone watu wanavyowasiliana kwa simu, ataona kama uchawi, wakati si uchawi, ni teknolojia tu ambayo hajaijua.

Kiranga nilikuwa sijawahi kushiriki mazishi ambayo baada ya miezi miwili marehemu akatolewa na waganga dukani kwa Kaka yake .KUMBE NI TEKNOLOJIA TU AMBAYO SIJAIJUA nilidhani ni uchawi.
Mazishi umeyahakiki vipi?

Ulimpima huyu marehemu kafa?

Ulifuatilia "chain of custody" ya huo mwili wa marehemu tangu hapo?

Unaelewa hata "chain of custody" ni nini?

Hiyo habari uliyoileta kwa nini tukubali hata wewe unasema ukweli? unaweza kuthibitisha ilitokea kweli?

Huyo mtu jina lake nani? Habari ilitokea wapi? Lini? Alipimwa na daktari nani na kuhakikiwa kafariki? Mbona habari hii haikujulikana?
 
Mimi - Lugano Mwaitako Mwasapumbu.

Mama - Atu Paulo Mwakifengo.
Unaona sasa majina ya kusadikika

Unadhani Mimi siwajui wanyakyusa nimekaa unyakyusani sana nawajua nje ndani majina yao nikilisoma tu nalijui

Hakuna mnyakyusa anaitwa mwaitako wala mwasapumbu

Kama yupo nithibitishie

Hii ni kiashiria kuwa unaogopa unawaogopa wachawi na uchawi wao

Taja majina yako halisi hapa na ya mama yako watu wamalize kazi huko huko uliko haina haja
 
Sababu JPM kasema ndo niamini? Story yake inatofauti gani na story ya kusadikika aliyoleta huyu bwana hapa. Sio JPM huyo huyo aliyewaambia hakuna corona na kugomea chanjo afu ikamuondoa yeye mwenyewe?

Kuhusu kaburi la Kiyeyeu Isimila Iringa ukweli ni huu: Survey ya kwanza ya kupitisha nyaya za umeme eneo hilo ilifanyika bila kuzingatia uwepo wa makaburi hayo ya familia ya Kiyeyeu. Nguzo zilipofikishwa hapo ikaonekana kuwa nyaya za umeme itabidi zipite juu ya makaburi hayo, hivyo yakaibuka masuala ya FIDIA KWA FAMILIA YA KIYEYEU NA KUHAMISHA YALE MAKABURI. Kwa kuwa mradi ulikwisha anza, wenye mradi wakaamua kuyakwepa makaburi hayo ili kutatua matatizo hayo mawili niliyoyataja. Hilo watu hawakuambiwa hali ambayo imeelekea kuleta tafsiri potofu kama inavyoenezwa!

Aidha 2010 TANROADS ilifukua na kulitupilia mbali huko na hamna kitu kilitokea. Link hii hapa:


Tatizo lenu kila mnachoambiwa nyie mnaamini tu kama minyumbu hamtumii bongo zenu kabisa kufikiri, kichwa sio kwaajili ya kufuga nywele tu nyie midanganyika tumieni akili.

Mwisho, wasaidie wenzio kutaja jina la huyo Diwani ambalo hata mleta uzi mwenyewe halijui ila nyie midanganyika mnaamini nikutumie muamala 500k taslim TSH.

Mh Mwigulu Nchemba kwa kiwango hiki cha ujinga wanachoonyesha hawa wadanganyika kwenye jukwaa la great thinkers natoa rai kuwe na tozo ya uzwazwa. Hawa watu ni empty set kabisa inabidi walipie ujinga wao.

Nashukuru Mh waziri alisikia kilio changu cha kuongeza tozo kwa hii mitanganyika inayoamini bila kufikiri kabisa. Kwa viwango hivi vya uzwazwa ni lazima watu walipie tozo ujinga wao.
 
Kuna Mmama mmoja aliua Mtoto wa jirani

Yaan hao majiran walikua na ugonv, sasa mtoto wa jiran X akiwa anacheza nawenzake mpira, mpira ukaenda kwa nyumba ya jiran Y, alivyoufata tu..akakauka palepale na kufa



Familia X wakaamua kulipiza kisasi.. Yule mama Y, siku anakufa, Alikua anazaa watoto wanageuka kua watu wazima wale wote alowaua, kisha wanayeyuka

Alikufa kwa mateso sanaaa
Duu noma sana aisee
 
Back
Top Bottom