Video,Hii Hapa Kigoma Mpya. Watu wa Dar Wakidhani Mkoani Kutakuwa na Dhiki Milele.

Kwanini mnapenda kujishindanisha na dar inayonuka?Ni bora ungesema mnatamani kigoma ifanane na miji kama Kigali
Hatujishindaniehi ila tunawaambia kuna Maisha Nje ya Dar,zile perception za zamani hazipo tena.

Wewe hapo huoni unavyoshangaa kuona kumbe Kigoma mnakoita mwisho wa reli Kiko hivyo
 
tukianza kupiga picha barabara zilizopitishwa taa za sora hata geita nayo yapo tena usiku ila usisahau kukutana fisi kanda ya ziwi mkivuka barabara pamoja
 
Back
Top Bottom