kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,030
Kama siyo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza au Mkuu wa wilaya Nyamagana, wote wanatakiwa kutumbuliwa
Mod pandisheni hiki kideo kiwe post ya kwanza ya thread
Nchi hii kila siku matukio mapya kama nchi ya Trump.Ahaa chezea kauli za "kukurupuka"...nimekumbuka kauli ya jana ya Rais Trump akikana baada ya kuudanganya uma eti yeye ndo Rais pekee wa Republican kutokea aliyesshinda kwa kura nyingi "electoral College" kuliko marais waliomtangulia...alipopewa Facts na mwandishi wa Habari kuwa hata Bush alimshinda akakimbilia kujitetea eti hata yeye alipotoshwa na wasaidizi..
Watapendezwa sana.We unaona kuna kiongozi anayejali wananchi tz hii?Tumekwisha.Ee Mungu tunusuru maana tunaangamia.Nimeona hiyo. Itv. Nafkiri Itv wmeionyesha maksudi ili wakubwa waione. Tusubiri tamko la serikali kesho. Hawatapendezwa na kilichofanyika.
Majeshi yetu ni lazima yaogopewe.Kwa hiyo ni ruksa kwa askari kulipa kisasi? Yule kijana anaonekana amepiga magoti kutii amri kwani apigwe namna ile?
Askari anayetumia weledi hawezi kulipa kisasi kwa mtu mwingine eti kwa vile kuna mtu kampiga mwenzie. Wale askari waliuwawa Mbagala ingekuwa hivyo si nao wangesimama barabarani na kuua raia kwani wenzao wameuwawa?
Ulinganisho wako hauko sawa mkuu
Nimeona hiyo. Itv. Nafkiri Itv wmeionyesha maksudi ili wakubwa waione. Tusubiri tamko la serikali kesho. Hawatapendezwa na kilichofanyika.
Walimpiga sana.....huo ni zaidi ya uonevuNimeona jana kwenye habari ya ITV...Aiseeh yule chinga lazima leo atakuwa anaona kwa tabu sana.
Kwa hiyo ni ruksa kwa askari kulipa kisasi? Yule kijana anaonekana amepiga magoti kutii amri kwani apigwe namna ile?
Askari anayetumia weledi hawezi kulipa kisasi kwa mtu mwingine eti kwa vile kuna mtu kampiga mwenzie. Wale askari waliuwawa Mbagala ingekuwa hivyo si nao wangesimama barabarani na kuua raia kwani wenzao wameuwawa?
Ulinganisho wako hauko sawa mkuu
Mugambo kwani si wameshapandishwa vyeo na kujiunga JW? Kuna clip umu magu kawapandisha akiwa uko bwagalohoMagufuli kabla ya kuwa rais alisema utawala wake yeye hakutakuwa na askari wa Mgambo na akasisitiza hawo jamaa watafute kazi nyengine kabla hajawa rais sasa kumbe ilishindikina? Bado wanaendelea kupiga wananchi kinyama?