Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,991
- 25,331
....
.....wavumilie tu
.....wavumilie tu
....Sidhani kama wamefanya makusudi wametimiza wajibu wao kwa kuwapasha habari watanzania, hawa mgambo wanatakiwa wafikishwe mahakamani.
.....nchi imekuwa ya machinga huku dodoma kila mtu ni machinga
....Kile kipigo sio cha nchi hii!
karibu dodoma uje ujioneee.....
.....hahaha
.....karibu dodoma uje ujioneee
Hiyo ndio Kazi ya CCM kama chama chetu, Tutaendelea kupiga wananchi mpaka wanyoke, Chama chetu Sasa kipo kwenye mstari, CCM juu juu juu zaidiInachukiza na kusikitisha kuona wanamgambo wanampiga mtu teke la kichwa wakati ameishapiga magopi. Ningeelewa kidogo kama yule kijana angekuwa anakaidi amri.
Hawa wana mgambo hawana hata chembe ya ubinadamu achilia mbali maadili ya kazi.
Wao na Viongozi wao wamekalia kuti kavu.
ulitaka apigwe nani? Lazima raia wapigwe ni kazi ya chama chetu CCMKitendo cha askari mgambo kumpiga yule mmachinga vile mpaka watu wengine wakawa wanawasihi kwa maneno ya watamuua kinapaswa kulaaniwa na wapenda amani wote.. Kinachonisikitisha ni kwamba hakuna askari yeyote ambae atachukuliwa hatua na maisha yataendelea kama kawaida, kwa hao askari kuendelea kutembeza kipigo kwa raia wengine..
Very sad aiseee..
Hili nadhani lipo karibu Tz nzimahuku kwetu boda boda wanakamatwa na kukimbizwa daily utafikiri si raia wa nchi hii.
Ya Trump ni tofauti. Ulitegemea hata angepata 20? Clinton alishaanza kuserebuka. Kumbe? Akashindwa. Hii ya Mwz ni yale yale haki kuombwa bila wajibu. Sheria si tulipanga wenyewe?Ahaa chezea kauli za "kukurupuka"...nimekumbuka kauli ya jana ya Rais Trump akikana baada ya kuudanganya uma eti yeye ndo Rais pekee wa Republican kutokea aliyesshinda kwa kura nyingi "electoral College" kuliko marais waliomtangulia...alipopewa Facts na mwandishi wa Habari kuwa hata Bush alimshinda akakimbilia kujitetea eti hata yeye alipotoshwa na wasaidizi..
Mambo mengi aliyoahidi anafanya kinyume chake. Yapo pia anafanya kama alivyoahidi ila mengi ni kinyume. Nikikumbuka jinsi alivyoahidi kuwa Rais atakayeshirikiana na vyama vyote hivyo watu wampe kura ila leo amekuwa mwiba kwa wapinzani, na kila kitu kinaangaliwa chama kwanza. Mikopo watoto wetu wanalia, ajira pia kizungumkuti.Magufuli kabla ya kuwa rais alisema utawala wake yeye hakutakuwa na askari wa Mgambo na akasisitiza hawo jamaa watafute kazi nyengine kabla hajawa rais sasa kumbe ilishindikina? Bado wanaendelea kupiga wananchi kinyama?
Na mwishowe kaishia wapi! Kama kweli alifanya ujecha halafu katumbuliwa litakuwa likimuuma hilo si mchezo.Mwz walipiga kura vizuri tu lakini walifanyiwa u Zanzibari kwa makusudi chini ya Magesa Mulongo aliyedai ni kwa gharama yoyote.