kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,547
Wacha awanyooshe si wanajikuta wanafiki
2020 sisi machinga tujiandae tutauza hadi ndani ya BOT na kwa RC. Akuna wa kutugusa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwani kuna uchaguzi hivi karibuni, kama hakuna basi kipigo haki yao
Uzuri ni kwamba watanzania husahau haraka sana, ukimpa sahani moja ya chakula tu hata kama uliwahi kumpora mke anasahau kabisa.2020 baba
Usicheze na kuambiwa na rais tena hadharani kwa mtu kama IGP kuwa huwezi kazi kisa tu unaamua kuanzisha dhana ya utawala bora na ushirikiano mwema ndani ya jeshi la polisi. Rais anasema kuwa jeshi linatakiwa kuogopwa sana. Anasema kuwa "Jeshi ni jeshi tu, sitaki lichezewe"
Machinga eneo la Kariakoo ambao juzijuzi tu hata wiki tatu hazijaisha walitoka kumshangilia rais Magufuli kuwa ni "rais wao" ni mwenzao na wakaishia kumpachika jina la "rais wa wamachinga". Leo ukikutwa tu hata umechomoza pua na tusoksi twako au tuvyombo twako utajuta kulijua jeshi la Magufuli! Unashushiwa virungu kama tai wanavyoushukia mzoga.
Kule Mwanza nako mambo ni waa! Jeshi letu pendwa la polisi linafanya mambo kijeshi usipime. Watoto wa mjini tunaowaita "machinga" wanachapika haswaa. Hapana kuchezea jeshi. "Eti porisi jamii, jeshi ni jeshi tu"
Waendesha bodaboda nao hawajaachwa kwenye hii karamu, nao wanachapika kwa nafasi yao kama bodaboda!
Kwa ufupi kwenye huu utawala ishi kama lolote linaweza kutokea wakati wowote!
Nahisi sio mda mrefu tutasikia rais atengua uteuzi wa mkuu wa mkoa mwanza,mkuu wa wilaya na mkurugenzi wilaya, nahisi tu kwa mawazio yangu baada ya hili tukio la jana na niliyo yazoea kwa rais wangu.Usicheze na kuambiwa na rais tena hadharani kwa mtu kama IGP kuwa huwezi kazi kisa tu unaamua kuanzisha dhana ya utawala bora na ushirikiano mwema ndani ya jeshi la polisi. Rais anasema kuwa jeshi linatakiwa kuogopwa sana. Anasema kuwa "Jeshi ni jeshi tu, sitaki lichezewe"
Machinga eneo la Kariakoo ambao juzijuzi tu hata wiki tatu hazijaisha walitoka kumshangilia rais Magufuli kuwa ni "rais wao" ni mwenzao na wakaishia kumpachika jina la "rais wa wamachinga". Leo ukikutwa tu hata umechomoza pua na tusoksi twako au tuvyombo twako utajuta kulijua jeshi la Magufuli! Unashushiwa virungu kama tai wanavyoushukia mzoga.
Kule Mwanza nako mambo ni waa! Jeshi letu pendwa la polisi linafanya mambo kijeshi usipime. Watoto wa mjini tunaowaita "machinga" wanachapika haswaa. Hapana kuchezea jeshi. "Eti porisi jamii, jeshi ni jeshi tu"
Waendesha bodaboda nao hawajaachwa kwenye hii karamu, nao wanachapika kwa nafasi yao kama bodaboda!
Kwa ufupi kwenye huu utawala ishi kama lolote linaweza kutokea wakati wowote!
Kwa nini awatengue wakati wao sio polisi waliopiga na wala hawajawaagiza polisi? Kama waliambiwa waondoke na wakakaidi hakuna jinsiNahisi sio mda mrefu tutasikia rais atengua uteuzi wa mkuu wa mkoa mwanza,mkuu wa wilaya na mkurugenzi wilaya, nahisi tu kwa mawazio yangu baada ya hili tukio la jana na niliyo yazoea kwa rais wangu.