Ya kupiga watu wake ?Mamlaka ina rejesha hadhi yake stahili !!
Kwenye hili la kuharibu miji, kwanza naona hatua zimechelewa. Kwa mfano jiji la Mwanza walijitahidi sana kutunza mandhari na kulifanya liwe safi. Lakini lile agizo lilipotolewa hasa kwa kuwa ndugu zetu hawa hawana busara basi wakaanza kuziba njia, kupanga bidhaa kiholela,kwa kweli hali ilikua mbaya sana. Lakini niliamini lazima hatua SAHIHI zitatumika ili kufuata taratibu kama miji inavyotakiwa kuwa.Usicheze na kuambiwa na rais tena hadharani kwa mtu kama IGP kuwa huwezi kazi kisa tu unaamua kuanzisha dhana ya utawala bora na ushirikiano mwema ndani ya jeshi la polisi. Rais anasema kuwa jeshi linatakiwa kuogopwa sana. Anasema kuwa "Jeshi ni jeshi tu, sitaki lichezewe"
Machinga eneo la Kariakoo ambao juzijuzi tu hata wiki tatu hazijaisha walitoka kumshangilia rais Magufuli kuwa ni "rais wao" ni mwenzao na wakaishia kumpachika jina la "rais wa wamachinga", leo ukikutwa tu hata umechomoza pua na tusoksi twako au tuvyombo twako utajuta kulijua jeshi la Magufuli! Unashushiwa virungu kama tai wanavyoushukia mzoga.
Kule Mwanza nako mambo ni waa! Jeshi letu pendwa la polisi linafanya mambo kijeshi usipime. Watoto wa mjini tunaowaita "machinga" wanachapika haswaa. Hapana kuchezea jeshi. "Eti porisi jamii, jeshi ni jeshi tu sitaki richezewe"
Waendesha bodaboda nao hawajaachwa kwenye hii karamu, nao wanachapika kwa nafasi yao kama bodaboda!
Kwa ufupi kwenye huu utawala ishi kama lolote linaweza kutokea wakati wowote!
Lipi hilo tena?Nahisi sio mda mrefu tutasikia rais atengua uteuzi wa mkuu wa mkoa mwanza,mkuu wa wilaya na mkurugenzi wilaya, nahisi tu kwa mawazio yangu baada ya hili tukio la jana na niliyo yazoea kwa rais wangu.
Ndugu nakuonaga unajitaidigi sana kutetea serikali iliyopo madarakani lkn as long as siku zinaenda yatatokea mengi sana na utakosa lakusema it's better some time kukaa kimya sio lazima kila kitu uteteee ata kwa kukejeriFyombo fya dola ni nini?
Kama ulikuwa na maana ya vyombo vya dola basi unatakiwa uelewe kuwa pale waumini wanapoambiwa ndani ya Biblia wamwogope Mungu haina maana kuwa wamwogope Mungu kwa sababu anaadhibu ovyo ovyo.
Hao nao wanahusika sababu polisi wapo chini yao.Kwa nini awatengue wakati wao sio polisi waliopiga na wala hawajawaagiza polisi? Kama waliambiwa waondoke na wakakaidi hakuna jinsi