Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

Vipigo vya Machinga Mwanza ni kama kwa Makaburu

Nimesikitika sana na nimeshindwa kuelewa tatizo nini mpaka mgambo wa jiji wanamshushia kichapo kikali vile machinga!kwa aliyeangalia taarifa ya habari ya itv nadhani atakua ameona hilo tukio la mgambo wawili kumpa kichapo jamaa utadhani mwizi!?

Kwann inatumika nguvu kubwa vile!?hv kweli tumefikia hatua ya kung'oana meno kwa ajiri ya kujitafutia kipato!?kwa kweli mkurugenzi wawajibishe hao mgambo huo ni uonevu wa hali ya juu saana.
 
Hawa Machinga wametolewa kupanga vitu barabarani kwenye uso wa mji.na wameambiwa kwa upole sana gari lilipita likitangaza mala tatu kua waingize budhaa zao mle makoroboi na kule sahara na wameendelea kukaidi,jana wameshusha kichapo kwa mgambo wawili hapa mjini,leo kumekucha mgambo nao wameamka na yao na hasira,sometimes sisi wananchi pia tuna shida na ni wepesi kukimbilia kujenga hoja ya kuilaumu serikali.
 
​

Walioshuhudia mapigo ya wamachinga jijini Mwanza kwa macho or through ITV habari jioni wamesema hayo mambo yalikuwa yanatokea before 1994 kule South Africa na ni nadra sana kuyaona katika nchi huru.

Hivi si ni Rais aliyewaruhusu hawa Watanzania wenzetu wafanye biashara?
Tuna serikali yenye midomo miwili?

Machozi yamenitoka kuona mtu amepiga magoti kujisalimisha akipigwa teke usoni.

Sizonje!!! ... Mungu anakuona hata watu wako wa Mwanza unawageuka ... leo hii mtu anajisalimisha kwa hofu na woga anapigwa teke la uso ... nimeshaona watu wanapigwa mateke duniani ila sio teke la uso jamani ... !!!

Hata zile muvi za Bruce Lee sikumbuki kama kuna muvi yeyote inateke la uso ... du!!!

Sasa nashindwa kuelewa ni kama vile baada ya kuwarusu hadharani baadae amri ikatoka nyuma ya pazia kwa kuwanong'oneza maofisa kua PIGAAAA mateke ya uso ...
 
Hiyo inaitwa PIGA UA! Sasa Sizonje hivi hao watu wamemkosea nini yarabi? Mbona watu anaowatuma wamekuwa wauaji kiasi hicho? Kweli 2020 hata akiwapigia pushup 1000 watamuelewa kweli? Haya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom