cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,057
Soko la nini? Uzee haukimbiwii.Kuna menopause, kuna vitu vingi na soko lake nalo linashuka
Soko la nini? Uzee haukimbiwii.Kuna menopause, kuna vitu vingi na soko lake nalo linashuka
Sure thing ila kila mzee hutaka arudi nyumaSoko la nini? Uzee haukimbiwii.
Mkuu, kama hautojali, nifundishe kutengeneza michembe.Nipo Nyashishi hapa nabugia michembe huku nashushia na togwa.Karibu yakhe!
Yaani Auntie Mungu afanye wepesi wake kiukweli nimekuwa mzito na jf au sijui ni huu umri wangu wa kizee unanipeleka mbio we niombee tu Auntie Mungu atafanya wepesi wakeYaaaani[emoji22]
Hebu fanya namna Auntie..
Itarudi mdogo wanguIrudishe Makaps bhanaa.
Nimelia sana😭😭😭Sawa Shindiii wewe haunipi shida
🙏Itarudi mdogo wangu
Amen Auntie...Yaani Auntie Mungu afanye wepesi wake kiukweli nimekuwa mzito na jf au sijui ni huu umri wangu wa kizee unanipeleka mbio we niombee tu Auntie Mungu atafanya wepesi wake
Uzee huuhuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu niambie auntie mambo gani unayamiss nikiwa sipoAmen Auntie...
Huo uzee vipi kwanza[emoji28]Nategemea kuendelea kukuona jamani...
Kuna mambo nayamiss mno..
Turudi Makapuku yetu kwanza...Uzee huuhuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu niambie auntie mambo gani unayamiss nikiwa sipo
Nimefanyaje mangii?Bwashee 😅 wewe kweli ni mpare😅
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndio nipo ukoTurudi Makapuku yetu kwanza...
Utayaona Auntie[emoji1]
Maisha yamefanyaje Shunie, mtu wa magazeti na makapuku😅Maisha [emoji22] mpaka tunasahau kama kuna jf
[emoji1787][emoji1787] Umenikumbusha we mzee ukiingia makapuku unaanza me sio makapuku lakiniMaisha yamefanyaje Shunie, mtu wa magazeti na makapuku[emoji28]
Nilikataa kahisa kuwa kapuku😅😅[emoji1787][emoji1787] Umenikumbusha we mzee ukiingia makapuku unaanza me sio makapuku lakini
Ha! inasikitisha sana...Mavi janaaaa = mavi ya kale
Nina kipara kikali vijana wananiita solar panel
ndiooooUpo ghorofa ya nne..?