Vijana wa kitambo chetu

Vijana wa kitambo chetu

Watu wanaogopa uzee kisa unakuja na mengi hasa magonjwa, kupoteza kumbukumbu, kukosa hamu ya vingi

Ila pesa inachangia kuufurahia uzee aseeh

Eniwei niko na 46 min -me nisalimie bwashee
Hahaha wewe bado kidogo tulia utafika karibu na kifo tu bwashee 😄
 
😁😁😁Napiga kambi hapa.
Nipo kwenye 30’s za mwanzo, kichwa ni cha moto sana. Kila kitu naona hakiko kwenye mpangilio.
Biashara imeni stress nimepoteza nyele kichwani nimebaki na solor, na mvi kwa mbaali zimeanza.

Oya ni kamzozo🙌🏽
Pole sana dogo shikilia hapohapo usikate tamaa, giza likizidi kunakaribia kupambazuka
 
Back
Top Bottom