Mbwilo jr
New Member
- Jun 28, 2023
- 4
- 5
Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January , kwa sasa tunatimiza miaka 40 na na wale wa mwishoni 86 🤔
Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia , kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo , ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto vya kipara na kitambi 🤔
Kwa ,uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35