Vijana wa kitambo chetu

Vijana wa kitambo chetu

Bwashee kwa hizi familia zetu apache alolo changamoto kubwa mitaji ya biashara ,kujilinganisha kuogopa kufa , familia na changamoto ya kuanza upya .
Nadhani hii ndio inatutesa wengi, wengi wanaona wanachelewa na vitu haviendi so msongo wa mawazo unazidi.... Kuna sehemu nilionaga uliwahi kucomment ulisema ulianza kujipata around 33, nataka kujua hapo ulikua tayari umeshatoka Tanzania au laa.
 
Sijawahi kutoka Tanzania ila nafanya kazi za vipindi tu kwa kutumia makampuni ya nchi mbalimbali
 
Okay, hapo nimekupata.... Anyway, umri wa kuanzia 30 hadi 40 ndio umri ambao watu wanatamani wafix makosa yao yote waliyoyafanya kwenye 20s, kwahiyo mtu hujikuta anataka kutimiza kila kitu na usipokua na vipaumbele nirahisi sana kupoteana.
 
Shkamoo mzee ni nyingi sana huku mtaani na kuombwa ushauri sana na hen z !ama hakika tumezeeka ni vile tu wengine hatuna mvi
 
Ulikuwa unafanya nini at your twenties?
Early adulthood, ?
Was your life figured already brother?

Was your path clear?
Nilitaka kukuuliza jambo.

Ulipokuwa kwenye miaka yako ya ishirini (20s), maisha yako yalikuwaje?

Je, tayari ulikuwa umejua unataka kufanya nini maishani?

Je, njia yako ilikuwa tayari imekaa wazi, au ulikuwa bado unatafuta mwelekeo?
 
Okay, hapo nimekupata.... Anyway, umri wa kuanzia 30 hadi 40 ndio umri ambao watu wanatamani wafix makosa yao yote waliyoyafanya kwenye 20s, kwahiyo mtu hujikuta anataka kutimiza kila kitu na usipokua na vipaumbele nirahisi sana kupoteana.
Yes ni kipindi ambacho unakuwa na stress sana kwasababu ndo unaanza kuona uhalisia wa maisha na umri
 
Okay, hapo nimekupata.... Anyway, umri wa kuanzia 30 hadi 40 ndio umri ambao watu wanatamani wafix makosa yao yote waliyoyafanya kwenye 20s, kwahiyo mtu hujikuta anataka kutimiza kila kitu na usipokua na vipaumbele nirahisi sana kupoteana.
Bwashee naamini kwenye ubahili na kusave pesa , hasa kwa sisi tulio tokea maishi ya kawaida tu
 
Back
Top Bottom