Vijana wa kitambo chetu

Vijana wa kitambo chetu

IMG-20260522-WA0054.jpg
50.......
 
Mimi kama kijana wa kitambo kidogo 1986 January , kwa sasa tunatimiza miaka 40 na na wale wa mwishoni 86 🤔


Kuna changamoto zetu spesheli tunazopitia , kama kurelax na kuona ndio tumefika kwa vimafanikio kidogo , ulevi wa kupitiliza na kupenda starehe kama mimi, kupambana na changamoto vya kipara na kitambi 🤔


Kwa ,uzoefu wangu hakuna umri nilipitia changamoto nyingi na msongo kama miaka 30 kwenda 35 🤔
Wewe sio kijana wa miaka 40 ni mzee wa miaka 40 bwashee
 
Back
Top Bottom