Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Apokee tuzo sana. Mpaka za kutetea mambo yanayofanyika chumbani. Mtapata tabu sana. Poakea na mwenzio mumpe tuzo ya kuhama Arusha.
 
Kwahiyo hiyo tuzo ndio wameamua kumpoza na kiki hiyo? 😂😂 daah amakweli baada ya Mungu - Mzungu!!!!
 
Hizi ndio degree za St Augustine na Mzumbe

Yule mwezako wa vyuo vya kata ameshindwa kusoma kiapo lakini tungesema asifie angeimba na kujigaraza chini

Ahaaa dunia ina mambo mengi sana

Huwezi kufikiri nje ya aliyokudanganya mwalimu wako

Unachojua wewe ni kupiga taarabu na mapambio

Mimi ni mwana ccm lakini sikubaliani na watu mnaojitoa ufahamu

Hamuwezi kujenga hoja kazi ni kusifu na kusifia huku hamjui mtakula kitu gani kesho
Hapo ulipo una TIN number? Au unabwabwaja tu humu.

👉Degree kitu gani, wakati kila siku unalia humu kuwa maisha magumu?
 
Hizi ndio degree za St Augustine na Mzumbe

Yule mwezako wa vyuo vya kata ameshindwa kusoma kiapo lakini tungesema asifie angeimba na kujigaraza chini

Ahaaa dunia ina mambo mengi sana

Huwezi kufikiri nje ya aliyokudanganya mwalimu wako

Unachojua wewe ni kupiga taarabu na mapambio

Mimi ni mwana ccm lakini sikubaliani na watu mnaojitoa ufahamu

Hamuwezi kujenga hoja kazi ni kusifu na kusifia huku hamjui mtakula kitu gani kesho
CCM hatuna 'Wendawazimu' na 'Mashoga' kama Wewe tafadhali. Ukiona hadi GENTAMYCINE naipenda CCM jua hata Mwenyezi Mungu anakipenda.
 
Back
Top Bottom