VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

Wengi wanasema Mkalimani huyu aliyetafsiri Uongo, yaani kudanyanya Umma ni kutokana na kuwa na Majonzi...
IMG-20210322-WA0097.jpg
 
Kabisa haya ndio matatizo yanayoletwa na kutaka kuajiri vilaza kutoka umoja wa vijana wa ccm!!! Hiyo ndio ccm katika ubora wakebwana hakuna nyingine!!
Hiyo si sababu, hats Rais na Waziri wa mambo ya nje! Na Uganda wakati wa kujibu swali toka kwa mwandishi wa BBC, ikabidi Museveni aingilie kati!
 
yawezekana jamaa alijua akisema jamaa hakupenda safiri na alipenda kaa home tu watu watasema alikuwa anaogopa english basi akaamua akaushe tu
Kuna watu humu walikuwa wanamtetea hayati kwa kutojua english leo wameona umuhimu wake
 
Na wakati mwingine mataifa yanaingia kwenye mizozo kwasababu ya watu kama hao wakitumwa kuwakilisha nchi
 
Yule jamaa ni mtu ambae alikuwa karibu na hayati, yule ni mwajiriwa wa mjengoni pale pale so huwezi jua ukaribu wake na hayati...ibaki tu kusema alikuwa ktk simanzi bac kodogo akateleza
Halafu
 
Kadanganya nini? Alichokua anafanya mkalimani ni kuelezea nini anaongea mhusika ila ktk lugha ya kiswahili, ni kama simulizi ila ktk kiswahili.
tatizo la wengi wa shule ya kata kama alisikia neno ABOUT kwenye speech ya kizungu basi kwa kiswahili anategemea neno KUHUSU liwepo na asipolisikia anasema umemuingiza cha kike...
Acha kuwa mjinga kiasi hicho wewe, shwain.
 
Magu angekuwa mzima, kuna watu wangekosa kazi leo leo!
Kwani Gwajiboy yupo wapi atuletee wakalimani wake?? Au ndiyo hawa katuazima??

Everyday is Saturday............................... 😎
Hivi wananchi wa kawe wameshaenda Marekani?
 
Huyo ameshazoea kuongopa toka huyo ninja akiwa hai.
Kiongozi anaweza kusema "H.E John Magufuli congratulation for being elected" mkarimani alivyo mnafiki utasikia "Hongera sana Mheshimiwa Rais Magufuli kwa ushindi wa kishindo mitano tena"

Mtzji wao sasa (wajinga ambao ni wengi) sio kwa shangwe watakazozitoa.
Hahahaaaa, mkuu umeua! Mitano tena
 
Kuna kiongozi sijui wa wapi, kasema na kumaanisha jina la Marehemu liwe katika miji mikuu ya Afrika (all African capitals), jamaa yeye kasema jina liwe katika makabati yote ya Afrika!
jamaa katurusha sana
 
Back
Top Bottom