Kwekitui
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 1,071
- 1,090
Maskini Mwamposa hadi akarudia x2 ili ujumbe ufikeWengi wanasema Mkalimani huyu aliyetafsiri Uongo, yaani kudanyanya Umma ni kutokana na kuwa na Majonzi.
Wengine wanadai hajui chichote ingawa alijua watu wako kwenye majonzi na wasinge shtukia chochote.
Wengine wanaenda mbali zaidi nakusema tatizo nikuweka mkazo zaidi wa Kiingereza kuanzia kidato cha kwanza ndiyo maana na kwamba ingekuwa hivyo tangu msingi mambo yangekuwa "Super"
Tazama Video [emoji116]View attachment 1731800