Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,295
Sasa kila kitu ni kuvuruga tu halafu ni kusingizia kifo
Umeanza kumtetea kwakuwa ni Kaka yako!! Haya ngoja tuwaache watu na Kaka zao..🤣Hamna K Vant hapo mkalimani alivusha yaani mawazo hayakuwa uwanjani.
HahahConnection
Unaeza kushangaa anatwiti... '' KENZYNa ni kweli ngoja nitulize Figo zangu..🤣
Mkuu tuishie hapa watu wengine hao ni nuksi.. unaweza kuta picha zangu zikaanza vuja nikawa habari nchi nzima na ukiwa habari time hii jua utauona mkono wa bwana maana utaonekana unaingilia huzuni..Unaeza kushangaa anatwiti... '' KENZY
nakuona hapo mabibo unanunua miguu ya kuku na utumbo''
Alafu kumbe ndo upo maeneo hayo na tukio ndo hilohilo... Sidhani hata utaenda kukata gogo mkuu 😂😂








HahahMagu angekuwa mzima, kuna watu wangekosa kazi leo leo!
Kwani Gwajiboy yupo wapi atuletee wakalimani wake?? Au ndiyo hawa katuazima??
Everyday is Saturday............................... 😎
kwa aina hii ya watafsiri bila shaka hata mikataba mingi tunaingizwa cha kike.
Bora ungekaa kimyaelezeni alipokosea,hebu acheni unafiki,mkalimani hakuna alichokosea sema nyie mnataka atafsiri kama mnavyotaka nyie
Wakalimani na watafsiri wa viongozi baadhi ya maneno ya kingereza wanatudanganya, sipati picha kifaransa kama wanasema kweli!