VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

Angenyamaza kuliko kuamua kudanganya watu had wakaguna
Kadanganya nini? Alichokua anafanya mkalimani ni kuelezea nini anaongea mhusika ila ktk lugha ya kiswahili, ni kama simulizi ila ktk kiswahili.
tatizo la wengi wa shule ya kata kama alisikia neno ABOUT kwenye speech ya kizungu basi kwa kiswahili anategemea neno KUHUSU liwepo na asipolisikia anasema umemuingiza cha kike...
 
Imefika mara hii🤣🤣🤣🤣 hii video clip itatembea huko kwenye magrp balaaa. Nahs jamaa akili yake ilikuwa mbali kdg😁 ndiyo maana rais aliamua kurudia tena alivyoona watu wameguna, au huenda naye kiswahili anakielewa kwa mbali😁
 
Mkali kama mkalimani leta mwongozo kwa wenzako 😂😂..... Yani hata traveller hukuiskia dahh alafu unaeza kuta ndo kidukulilo yule 😁
Jamaa kwa pale alifanya hearing na siyo listening, ndiyo maana katoa tafsiri tofauti kabisa😁
 
Mmmh hapanaaa hapanaaaa hii ni hatari aiseee yaani ni ooop kabisaaaaa jamaa kapotosha aisee
 
Hahahahaaa. Ni kweli kabisa japo hapa kawaachia story wale wageni. 😅😅

Mana ile ni zaidi ya lugha gongana.
Ni kweli mbona hata kule south Africa yupo alishawahi kuyaboronga mi nahisi jamaa kafanya kusudi huyu.. 🤣
Mwambie Kaka yako apunguze k vant..😅
 
Back
Top Bottom