
Tushukuru bora amepatikana, Kyle Zimbabwe alikosekana hajukua na cha Kabudi wala nani! Ililazimu Rais wa Zimbabwe afanye hiyo kazi bahati aliwahi kuishi Morogoro kama mkimbizi.Wakalimani na watafsiri wa viongozi baadhi ya maneno ya kingereza wanatudanganya, sipati picha kifaransa kama wanasema kweli!






Kiukweli hawa watu wanapogosha sana.Na hasa kwenye kutafsiri alipokuwa anaongea rais wa South.
Kuna muda Rais wa South anasema kwemye kikao cha SADC kilichofanyika Tanzania, departed President John Magufuli ndio alikuwa chairman. Ila mkalimani akatwambia eti "Kiongozi aliyetoka baadae ndio alimpa Magufuli kijiti"![]()
Kama huyu wa Ngeli ametuongopea hivi. Wale wa lugha zingine vipi?
Angalia japo #9 nime attach videoNashindwa tu ku attach video hapa. Ila mwamba katurusha kindez sana

Asijekuwa mchekeshaji kweli unajuahivi huyu alijichagua au alichaguliwa
tumezoea kuona hv vituko kwenye churchil show


