@lwamwashaDah,Deh Kih.Huyu Jamaa anaitwa nani au Ni msigwa?
Nafikiri ni Lack of concentration tu kidogo. Kama ametafsiri mengine hawezi kushindwa kutafsiri maneno rahisi kama hayo.Wengi wanasema Mkalimani huyu aliyetafsiri Uongo, yaani kudanyanya Umma ni kutokana na kuwa na Majonzi...


Mkalimani katuvua nguo wakati wa majonzi, ndugu zetu watatusema hadi tukome.
Ati nini😂😂😂😂Maskini Mwamposa hadi akarudia x2 ili ujumbe ufike
Watu wanatumia leso kufuta jasho. Ila Kabudi alikuwa anatumia leso kujifutia mate pemben ya midomo![]()
Daaah😇😇😇I felt honored because President Magufuli was not a great traveller,He didnt like traveling very much,He preferred to stay here at home...
Siyo wanajifanya wajuzi, wanaijua vizuri hiyo lugha ya malkia kuliko sisi...Wakenya watafurahia sana manake wao wanajifanya wajuzi wa lugha ya malkia
Kuna kiongozi sijui wa wapi, kasema na kumaanisha jina la Marehemu liwe katika miji mikuu ya Afrika (all African capitals), jamaa yeye kasema jina liwe katika makabati yote ya Afrika!Na hasa kwenye kutafsiri alipokuwa anaongea rais wa South...
Na baada ya pale, rais wa Afrika kusini aliendelea aje, pengine ilikuwa yeye alibahatika kutembelewa na Marehemu. Sasa sijui mkalimani alisema nini?yawezekana jamaa alijua akisema jamaa hakupenda safiri na alipenda kaa home tu watu watasema alikuwa anaogopa english basi akaamua akaushe tu
Sijui ni nguo gani tulizo nazo mwilini bado, maana marehemu alishatuvua kabla ya mkalimani.Mkalimani katuvua nguo wakati wa majonzi, ndugu zetu watatusema hadi tukome.
Ndo mkalimani huyu?!!!Huyu hapa Mr Matungwa,na huyu nahisi atakuwa na vinasaba vya Lumumba na MatagaView attachment 1732033
Hakuna cha protocol wala nini. Jamaa kazingua. Ukiondoa wakenya wengine waliobaki hawajui kiswahili. So hatujaaibika sana.Kuna kiongozi sijui wa wapi, kasema na kumaanisha jina la Marehemu liwe katika miji mikuu ya Afrika (all African capitals), jamaa yeye kasema jina liwe katika makabati yote ya Afrika!