VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

VIDEO: Mkalimani aliyeingiza watu "Chemba"

Mkalimani katuvua nguo wakati wa majonzi, ndugu zetu watatusema hadi tukome.
 
Wakalimani na watafsiri wa viongozi baadhi ya maneno ya kingereza wanatudanganya, sipati picha kifaransa kama wanasema kweli!
Daah as if kila mtu anajua hii issue... Umeshindwa hata kuweka kautangulizi kidogo na angalau sentensi moja iliyotafsiriwa ndivyo sivyo??
 
Kumbuka mtafsiri alikuwa ktk hali ya simanzi so kupoteza concentration ni kawaida
Rubbish... Mbona kwenye TV watangazaji wanaelezea matukio yote ya msiba kwani wao hawana simanzi??
 
yawezekana jamaa alijua akisema jamaa hakupenda safiri na alipenda kaa home tu watu watasema alikuwa anaogopa english basi akaamua akaushe tu
Nimehisi hivyo pia. Yaani sio kwamba jamaa hakusikia vizuri au hakuelewa, ila alihisi kilichosemwa na Rais Ramaphosa ni kama kilikuwa negative kwa JPM (kwa mtazamo wake), akaamua 'ayeyushe' kwa kuweka maneno yake.
 
Nahisi badala ya kusukuma lawama kwa huyu aliyejitahidi ni bora kujiuliza sababu au chanzo cha tatizo hili.
Huenda huyu akawa ndiye bora.
Hebu acheni upuuzi bwana, yaani mtu kaboronga halafu unatetea? Kwani nchi nzima mkalimani ni yeye peke yake??
 
Wengi wanasema Mkalimani huyu aliyetafsiri Uongo, yaani kudanyanya Umma ni kutokana na kuwa na Majonzi.

Wengine wanadai hajui chichote ingawa alijua watu wako kwenye majonzi na wasinge shtukia chochote.

Wengine wanaenda mbali zaidi nakusema tatizo nikuweka mkazo zaidi wa Kiingereza kuanzia kidato cha kwanza ndiyo maana na kwamba ingekuwa hivyo tangu msingi mambo yangekuwa "Super"

Tazama Video View attachment 1731800
Sio kweli.
Mkalimani katumia tafsiri hiyo ili kuepusha kubadili maana Msiba/Majonzi.

Nadhani neno lililotegemewa na wengi. Ni lile la Kuogopa kusafiri au kupanda ndege, kwa haraka na mtazamo wangu watu wengi wangecheka kwa vicheko ambavyo pengine vingebadili Hali ya hewa kwa muda.
 
Nimehisi hivyo pia. Yaani sio kwamba jamaa hakusikia vizuri au hakuelewa, ila alihisi kilichosemwa na Rais Ramaphosa ni kama kilikuwa negative kwa JPM (kwa mtazamo wake), akaamua 'ayeyushe' kwa kuweka maneno yake.
yap huyu jamaa ni mbongo na anajua unaa wa wabongo juu ya jamaa kutosafiri nje hivyo akaona akaushe tu
 
Wengine tulikuwa shamba kulima sasa hatuelewi kimetokea nini tuambie alikosea nini huyo mkalimani,
Wazee wa acheche production wanatupigaga kamba Sana tunavumilia tu kwa sababu hatukusoma.
 
Wengi wanasema Mkalimani huyu aliyetafsiri Uongo, yaani kudanyanya Umma ni kutokana na kuwa na Majonzi.

Wengine wanadai hajui chichote ingawa alijua watu wako kwenye majonzi na wasinge shtukia chochote.

Wengine wanaenda mbali zaidi nakusema tatizo nikuweka mkazo zaidi wa Kiingereza kuanzia kidato cha kwanza ndiyo maana na kwamba ingekuwa hivyo tangu msingi mambo yangekuwa "Super"

Tazama Video View attachment 1731800
Dah mbavu zangu mie mkalimani kaenda OP kabisaaa.
 
Back
Top Bottom