Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,368
Jamaa inawezekana ni mzuri kutafsiri ila akafanya makusudi ili kunijibu watu wasijue sifa aliyosemewa marehemu ya kutosafiriNashindwa tu ku attach video hapa. Ila mwamba katurusha kindez sana.
Jamaa inawezekana ni mzuri kutafsiri ila akafanya makusudi ili kunijibu watu wasijue sifa aliyosemewa marehemu ya kutosafiriNashindwa tu ku attach video hapa. Ila mwamba katurusha kindez sana.
Sidhani kama anaweza kuhatarisha kazi yake kizembe vile.Jamaa inawezekana ni mzuri kutafsiri ila akafanya makusudi ili kunijibu watu wasijue sifa aliyosemewa marehemu ya kutosafiri
Blunder square [emoji28][emoji28][emoji28]Not even a blunder
Yaap hata Mimi nilipaskia daahh!nikajua Mimi ndo sijui kizungu may be!!!Na hasa kwenye kutafsiri alipokuwa anaongea rais wa South.
Kuna muda Rais wa South anasema kwemye kikao cha SADC kilichofanyika Tanzania, departed President John Magufuli ndio alikuwa chairman. Ila mkalimani akatwambia eti "Kiongozi aliyetoka baadae ndio alimpa Magufuli kijiti" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkalimani atakuwa katuburuza sana kwenye zile lugha zingine pia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yaap hata Mimi nilipaskia daahh!nikajua Mimi ndo sijui kizungu may be!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kama French [emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]ndio tumekoma kuringa aseeehh!!!maana sio poa!!!Mkalimani atakuwa katuburuza sana kwenye zile lugha zingine pia [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mashaka yangu yashaenda hadi kwa wale watafsiri kwa ishara.Km French [emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]ndo tumekoma kuringa aseeehh!!!maana sio poa!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikiwa nimekaa na mzee mmoja akasema
"huyu mkalimani hasikii vizuri eeeeh!?"
Na mimi nikajifanya sikumsikia vizuri yule mzee, tukaendelea kula matango pori
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]Mi kanichekesha kabudi tu anatangaza Kama Mc wa WWE yan Hana uzuni hta kdogo
Tobaa[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wanamtetea kwamba alikosea bahati mbaya lakini ukweli ni kwamba hata kifaransa alikuwa anakosea kukalimani.
umeshawai kulaliwa mgongoni?Mbona unakuwa headless chicken kama baba yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijajua! Nawaza, au itakuwa ndiyo wale waliovamia uwanjani juzi! Labda wapo walioondoka na ndege. 😅 😅 😅 😅Hivi wananchi wa kawe wameshaenda Marekani?
Chaka si ya nchi hiiWakalimani na watafsiri wa viongozi baadhi ya maneno ya kingereza wanatudanganya sana sijui kwa faida ya nani, sipati picha kifaransa kama wanasema kweli!
Tu assume jamaa alipitiwa labda hakusikia vizuri, lakini je; aliyatoa wapi Yale maneno aliyotuongopea?
View attachment 1731915
Yaani najiuliza hapa hususani mahakamani unakuta wakalimani wa lugha ya kichini.Kama huyu wa Ngeli ametuongopea hivi. Wale wa lugha zingine vipi?
HahahSijajua! Nawaza, au itakuwa ndiyo wale waliovamia uwanjani juzi! Labda wapo walioondoka na ndege. 😅 😅 😅 😅
Everyday is Saturday................................😎