Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,698
Binafsi hajaniaibisha. Ule ni mzigo wakeMkalimani katuvua nguo wakati wa majonzi, ndugu zetu watatusema hadi tukome.
Binafsi hajaniaibisha. Ule ni mzigo wakeMkalimani katuvua nguo wakati wa majonzi, ndugu zetu watatusema hadi tukome.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Mkalimani inabidi atubu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1732269
Rubbish [emoji3][emoji3][emoji3]Kuna wanao dai angetafsiri kwa usahihi wana ‘nzengo’ wange chukulia kama udhalilishaji kwa marehem mpendwa wao, hivyo mtafasiri akaona mi bora yeye abe be lawama kwa kupindisha mameno kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna mambo ya ukalimani ukalimani hapa.
Merci mon frereJ'aimera vous remercier les tanzaniens de votre patience pendant cette période difficile Dieu qu'il soit avec vous
Walahi hata mie nilihisi hivyo. Kaona isiwe tabu, ampotezee jamaa na adanganye wasikilizajiyawezekana jamaa alijua akisema jamaa hakupenda safiri na alipenda kaa home tu watu watasema alikuwa anaogopa english basi akaamua akaushe tu
So unataka kusema umekuwa headless chicken kwa sababu ulilaliwa mgongoni?umeshawai kulaliwa mgongoni?
Wanazuga tu ...kikubwa mkono uende kinywaniKiukweli hata wale wa kwenye Tv, wanaotafsiri kwa ishara nina wasiwasi nao sana aisee.
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kiukweli hata wale wa kwenye Tv, wanaotafsiri kwa ishara nina wasiwasi nao sana aisee.
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Mkalimani alipindisha ili asisemwe vibaya marhemu.